ODM:.... Get set.... Goooo!

Husninyo aliahidi kuosha vyombo kesho ndio maana kalala mapema. Mi nitaamkia kwa somo kuendelea kufundwa :)

Akiamka mwambia asianze kazi hadi uncle wake niamke, nitaoteshwa usiku huu mambo mazito juu yake....

Mwali utaendelea kufundwa na Aunti yako bila wasi wasi....
 
Akiamka mwambia asianze kazi hadi uncle wake niamke, nitaoteshwa usiku huu mambo mazito juu yake....
Mwali utaendelea kufundwa na Aunti yako bila wasi wasi....
Nitamwambia. Ukiota yangu nambie pia. Aunty tayari ananipa somo kule jukwaa la kikubwa.
 
Nitamwambia. Ukiota yangu nambie pia. Aunty tayari ananipa somo kule jukwaa la kikubwa.
w
asi wasi wangu ni kuwa na hivi bado Mwali, unaweza kusikia lakini usiielewe ndoto yenyewe ukalazimika kuwatafuta wafasiri. Unamfahamu Yusufu?
 
Kwa kweli mi siendi... ukitoka huko njoo unambie ukagusi huo unahusisha nini na nini alafu ndio nione kama nitabadilisha mawazo.

Poa poa lost twin, ni raha kwa babu wewe....nitakuhadithia kesho basi...bye for now!!
 
Haya mkuu,utanikuta hapa nje na AD....its time babu aachane na mpira ndo maana anaugua!

Kabla hujampa huo mkongojo wake he so badly need, mwambie aachane na mpira kwanza lol......AD amevaa kile ki-skin jeans chake tena?
 
w
asi wasi wangu ni kuwa na hivi bado Mwali, unaweza kusikia lakini usiielewe ndoto yenyewe ukalazimika kuwatafuta wafasiri. Unamfahamu Yusufu?
Namfahamu Uncle, si yule mwana wa yakobu alietoa tafsiri ya ndoto ya firauni kuhusu n'gombe saba zilizo konda na n'gombe saba zilizo nona?
 
Kwa kweli mi siendi... ukitoka huko njoo unambie ukaguzi huo unahusisha nini na nini alafu ndio nione kama nitabadilisha mawazo.
Sasa weye kumbe waogopa nini? Babu au ukaguzi? Hebu acha woga....Ntakuchapa na mkongojo wangu, ohooo.
 
Namfahamu Uncle, si yule mwana wa yakobu alietoa tafsiri ya ndoto ya firauni kuhusu n'gombe saba zilizo konda na n'gombe saba zilizo nona?

ewaaa, sasa kwa jinsi ulivyo mteke, nikiota ndoto yako, si utamtafuta "Yusufu" wako? lol
 
ewaaa, sasa kwa jinsi ulivyo mteke, nikiota ndoto yako, si utamtafuta "Yusufu" wako? lol
Mi mwenyewe yusufu hapa. pia kuna kujana mmoja wa humu JF alisema nikiwa na shida ya kutafsiriwa ndoto niende kwake atanisaidia... lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom