ODM:.... Get set.... Goooo!

Bado mpo? Sijafurahishwa na mapokezi. Hasa ya wajukuu. Niteme mate chini?
 
Babu,
Kweli sote tulikuwa na machungu ya Rejia, lakini mwenzetu nadhani ulijaribisha hadi uwezekano wa kwenda naye huko alikoamua kupumzikia!...lol!
Come on meeen, look , u can run fast...finally u r okkkkkk!!!!
Karibu sana mkubwa!
 
ndugu yangu pole,in your absence a lot of water has passed under the bridge,hope ulikuwa unapata kanguvu kidogo ka ku browse,karibu sana Mkuu,wajukuu naona wanarukaruka!
 
Acha tu mpwa. Regia amefanikiwa kuustua mtima wangu. Yule dada nyie mwacheni. Natamani nipate nguvu niamke hapa kitandani nikaweke shada la maua kwenye kaburi lake.... Hahah afu na maumivu haya najigangamala kuja kuwasabahi hapa jamvini lakini kuna binadamu asiye na huruma ananipiga dongo eti natafuta umaarufu kwa kuanzisha sredi. Damn haka kanokia na adiksheni ya JF bana. Anyway, Mungu amsamehe. Ntapona tu, inshallah!
 
ndugu yangu pole,in your absence a lot of water has passed under the bridge,hope ulikuwa unapata kanguvu kidogo ka ku browse,karibu sana Mkuu,wajukuu naona wanarukaruka!
Kasinge wakora... Pamoja mkuu. Sisi ndo wanaume bana!
 
Ashukuriwe mungu,hatimae ndan ya nyumba!karibu sn our swty babu,tulikumic sn wajukuu,pande zetu kule pm ndio ucseme tunasubiri ukaguzi wako lol!
 
Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom