Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,662
Wameishiwa majina?
...ni katika kulipa wema.
Wameishiwa majina?
Madiwani wa manispaa ya İlala watakuwa wameamua hlo
Meck sadick kasema hiyo ni kama zawadi ambayo manispaa ya Ilala imeamua kumpa Rais wa Marekani baraka Obama.
Mimi naona wamekosea kufanya hivyo. wangempa kinyago cha samaki sababu samaki ndo ipo kwenye nembo ya Ilala. mia
Wamekuja wangapi toka USA, kuna mabadiliko gani kiuchumi kwa walio Kigoma, Kagera mipakani etc, etc, etc, etc!
Nimeandika joke mkuu!! Ubongo wangu mzima Sana!! Nawajua Museveni na Kagame vzr!!mkuu inaonekana unapenda,watu wapropaganda aina ya akina kagame,na mseveni utawala waku renuew pole sana!maziwa uaminishwa ni maji.
hapo kwenye herufi kubwa ulitaka usemeje kwa kiswahili?barabara ya OCEAN ROAD.
Madiwani wa manispaa ya İlala watakuwa wameamua hlo
Thubutu
sasa na hospitali itaitwaje? Ocean road hospital au barak obama road hospital? Poor minded! Akili ndogo kutawala akili kubwa.. Aagh..!
MWAI KIBAKI ana barabara imejengwa 4 ways THIKA SUPER-EXPRESS HIGHWAY,wewe unamwita hapa unatafuta kichochoro cha matajiri uchwara wa MBEZI beach kukwepea traffic jam unakiita MWAI KIBAKI ROAD?Ndiyo maana mzee wa watu akashauri WATZ mtembee tembee hata huku EAST AFRICA muone wenzenu wanafanya nini!PITY!
Hizi tabia za kuwapa viongozi wa nchi zingine majina ya barabara wamerithi kwa Nyerere.
Hizi tabia za kuwapa viongozi wa nchi zingine majina ya barabara wamerithi kwa Nyerere.