Obama's - Post Election Thread

Mods tafadhali unganisheni hizi threads za Prez-elect Obama maana ziko nyingi na ziko kila sehemu as of today zimebaki siku 75 kabla ya kuapishwa tuwe na thread moja ya kujadili watu atakaowachagua kwenye serikali yake na vitu kama hivyo.

Ahsante.
610x.jpg

Wazo zuri sana. Inachosha sana kufuatilia habari za Obama; kwa sababu inabidi ufuatilie threads kibao!
 
Huyu Jesse Jackson nadhani alikuwa analia
1.Ndoto ya MLK imetimia
2.Anatamani ingekuwa yeye miaka 20 na ushee iliyopita
3.Hating on Obama(I feel lik cutting his nuts off)
 
Haya mambo jamani acheni tu...Hata mimi machozi yalikaribia kutoka sasa kwa mtu kama Jessie Jackson kulia ni jambo lisilopingika. Jamaa wamepitia magumu mengi sana sasa inapofikia hatua mpaka white house kuingia black si jambo dogo it's really so emotional watu wamenusurika vitanzi na madhira mengine kibao na huenda Jessie anajisemea kimoyomoyo " I wish martin Luther King Jr" angekuwepo ashuhudie hilo tukio...Congratulation Obama!!!!
 
The photo reminds me when I first ran into this guy at the Sullivan Summit in Arusha!
America has real made history and not just a collection of races as Obama said but the UNITED STATES OF AMERICA!
 
SASA wamarekani watakuwa na haki ya kujigamba kuwa hakuna racialism nchini marekani wala ubaguzi wa kijinzia.
 
Ubaguzi Marekani bado upo ila Wamarekani kwa ujumla walikuwa wamechoshwa na sera za kibabe za Republican na Bush.Walikuwa wanatamani changes na Barack ali-present sera ya changes kwa watu wakamwamini.Neccesity hiyo na hali mbaya ya kiuchumi ndiyo iliyomwingiza Barack White House.Watu hawakuwa na imani tena na Rebublican.

Kwa mambo ya ubaguzi haya hayawezi kwisha,watu weupe wana bado na yale mawazo ya white supremacy na hali hii ili iweze kuondoka kabisa itachukua generation nyingine moja.Ndugu yangu SaidSabke hali ya kubaguana ipo hata kati ya makabila na makabila hapa nchini ila watu wanafuata matakwa ya kisiasa na kuimba nyimbo za utaifa.Kabla moja likikaa kando litaanza kutetea...na hali hii ipo hata hapa kwetu Tanzania.Ni dhahiri umeshapitia mahala ukasikia "Mwarabu kokoliko...anajamba bwi bwi!!!"N.k sasa hiyo nini kama si ubaguzi!makabila mengine yanawachukia Wachaga ati wao wanaajiriwa sana TRA n.k.Na huko USA usidhani ubaguzi ndiyo mwisho...no...
 
Duh mungu amjalie bibi Ann n cooper maisha marefu na ikiwezekana aone vipindi vyote viwili vya Obama
 
With all the hate he(Jesse) was trying to put on him(Obama), he couldn't believe the guy is now up to the top job on Earth......Jesse Jackson is among the guys who were supposed to pull him up but i'm afraid he showed the World that he was not, with all apologies he(Jesse) has made about his comments on Obama especially in this crucial moments shows that he had a sort of jealous on him.
I like Farrakhan, but also Louis Farrakhan was not so straight on the issue...some of his comments about Obama was appalling!!! one of his meeting he tried to mention true black Americans where he mentioned Jesse and himself among others and refered to Obama as some one who apologies for being black...which is not true....imagine a guy (Obama) who has seen his dad once in his life time and has been in the hands of his mum and mums' family..what do you think will be talkink about...they are all black but with different raise up....Jesse has to know this and Farrakhan too. I respect these two people but i was turned off by their unwarranted comments...but as human being ...i still like them, they are great but they have to learn to go with facts and not being ruled by opinions.

Obama is the guy who never resprocate hate to hate, he is the guy who believe in himself...and guys who lets things go, when some were saying that "he is less American" others like respected black Americans say he is not a black American but African American" he resprocated like what Collin Powell said that "he is and will remain American in first place", other things are subsidiary.

Collin Powell is a distiquished figure of our time, he is selfless, thinker and objective person(American)...if you make a followup of his analysis before election and after election you'll agree with me that he is great person, to me he is second to non and he deserves a special mention.

So the action showed by Jesse on that day, is not easy to define in absolute terms but we still can give him the benefit of doubt that it's emotions about what happened mixed with happiness that the black kid wherever he/she is has got a really down to earth and selfless role model (Obama) and the dream Jesse and others were searching is atleast starting (in my view) to emerge.

Big Up Obama.
 
Hongera Obama. Nafurahi kuona wamarekani wameweza kupiga kura kwa kutumia ubora wa sera badala ya zile chuki zilizokuwa zinahubiriwa dhidi ya Obama, kama vile kufananisha jina lake na Osama, na kuchukia waziwazi rangi yake nyeusi. Wapo hata waliodai kuwa hafai kuwa rais ati kwa kuwa ana jina la katikati "Hussein" ambalo ni la kiislamu, na wengine wakadiriki kudai hafai kwa kuwa ati ni mwarabu, kana kwamba ni haramu kwa mwarabu au mwislamu kuwa rais wa Marekani! Wamarekani wamepiga kura kwa akili zao, wakiongozwa na sera zaidi kuliko hizo hisia za chuki zilizopandikizwa. Wameonesha ukomavu, na zawadi kwa ukomavu huo wameipata: RAIS BORA. Imewezekana Marekani, inawezekana kila mahali, inawezekana.
 
Kula five...umeongea point ya nguvu. Halafu kitu kingine...Jesse is becoming obsolete kwa sababu siku zote wao wamekuwa wakiongea kuhusu rangi...black people this...black people that. Umaarufu wa Jesse umetokana na uwezo wake wa kuchochea racial tension na yeye kuonekana kama the only black leader who can redeem black folks who are oppressed by the white. Unakumbuka ile kesi ya ubakaji iliyowa involve Duke University students na yule dada mweusi aliyekuwa stripper? Mchungaji Jackson aliirukia halafu baadae wale wanafunzi wakaja kuwa cleared kwa sababu binti alidanganya au evidence hazikuonyesha kwamba alibakwa kama alivyodai yeye.
Obama ameendesha kampeni yake kwa lengo la kuvunja barriers za rangi na social classes, kampeni yake ili run kujumuisha watu wote tofauti na matakwa NAACP.
Kwa maoni yangu...Jesse analia kwa sababu ana fade away. There is a new black star in the house.
 
Andrew Young alisema Obama bado ni mdogo wakati wake haujafikia kwa hiyo he should not run.
 
Na Robert Johnson founder wa BET na owner wa Charlotte Bobcats ambaye alikuwa akim support Hillary Clinton alisema hivi January mwaka huu:

"As an African American, I am frankly insulted that the Obama campaign would imply that we are so stupid that we would think Hillary and Bill Clinton, who have been deeply and emotionally involved in black issues, when Barack Obama was doing something in the neighborhood that I won't say what he was doing but he said it in his book...(akimaanisha Obama was doing drugs) When they have been involved, to say that these two people would denigrate the accomplishment of civil rights marchers, men and women who were hosed, beaten and bled, and some died... To say and to expect us now all of a sudden to say we are attacking a black man. That kind of campaign behavior does not resonate with me or a guy that says I want to be a reasonable, likeable Sidney Poitier 'Guess Who's Coming to Dinner.' And I'm thinking to myself, this ain't a movie, Sidney."

Baadae Johnson ali apologize kwa Obama.
 
Bradley effect actually manifested but it was overshadowed by non-white votes. America is changing demographically. Although Bantus are celebrating Obantu's win in a " we've stuck it to the White man" manner, it will be them that they will end up hurting. Think about it this way, Latinos will become a majority in the US and if you look at any latin country on this earth, Bantus are usually the underclass e.g. Cuba, Colombia, Brazil etc. Latinos will do this to Bantus when they become the majority in America. Second, when Bantus take power, the situation tends to get worse for Bantus. There will be few Obantu cronies that will benefit similar to when Mandela took over South Africa. His ANC cronies got wealthy but the rest of the population didn't fair any better. The country went south economically. So only time will tell about Obantu, but if history is any indication I wouldn't be celebrating if I were you. I would sit down and weep...

You need to get down from your high horse. The man has made history regardless of everything you have said. So did Mandela, rome was not built in one day. The whole world has been touched by his achievement umesikia wapi hiyo wewe?mpaka japan wamepiga vigelegele!!!
 
Bradley effect actually manifested but it was overshadowed by non-white votes. America is changing demographically. Although Bantus are celebrating Obantu's win in a " we've stuck it to the White man" manner, it will be them that they will end up hurting. Think about it this way, Latinos will become a majority in the US and if you look at any latin country on this earth, Bantus are usually the underclass e.g. Cuba, Colombia, Brazil etc. Latinos will do this to Bantus when they become the majority in America. Second, when Bantus take power, the situation tends to get worse for Bantus. There will be few Obantu cronies that will benefit similar to when Mandela took over South Africa. His ANC cronies got wealthy but the rest of the population didn't fair any better. The country went south economically. So only time will tell about Obantu, but if history is any indication I wouldn't be celebrating if I were you. I would sit down and weep...

Are you sick or something? You need to see a specialist in malfuctioning brains. Whatever you have/had against Obama, its time you succumb and let it go. The world has spoken and America has spoken too. Obama is the president elect of the USA. Whether you like it or not, but thats the fact. Whether he will deliver to the expectations of America and the world, time will always tell. If he will fail, he will fail like a president and not a black president. Stop being racist.
 
NYT leo linasema kumekuwa na "reverse Bradley effect" ambayo wazungu wamesema publicly watampigia kura Mccain lakini kwenye ballot wakampigia Obama.
 
Kula five...umeongea point ya nguvu. Halafu kitu kingine...Jesse is becoming obsolete kwa sababu siku zote wao wamekuwa wakiongea kuhusu rangi...black people this...black people that. Umaarufu wa Jesse umetokana na uwezo wake wa kuchochea racial tension na yeye kuonekana kama the only black leader who can redeem black folks who are oppressed by the white. Unakumbuka ile kesi ya ubakaji iliyowa involve Duke University students na yule dada mweusi aliyekuwa stripper? Mchungaji Jackson aliirukia halafu baadae wale wanafunzi wakaja kuwa cleared kwa sababu binti alidanganya au evidence hazikuonyesha kwamba alibakwa kama alivyodai yeye.
Obama ameendesha kampeni yake kwa lengo la kuvunja barriers za rangi na social classes, kampeni yake ili run kujumuisha watu wote tofauti na matakwa NAACP.
Kwa maoni yangu...Jesse analia kwa sababu ana fade away. There is a new black star in the house.

.....Capitol mkuu hapo sikubaliani na wewe kabisa,ni kweli Jesse hakuwa in tank kwa Obama from the get go lakini kumlaumu au kumsema jesse ana wivu au hakuna alilofanya nafikiri ni kusahau mema na sacrifice ya Jesse ambayo ndio imemfanya hata Obama kufika alipofika,jesse alipigana kipindi kigumu sana na ndio watu waliofanya hata mtu mweusi aliweza kusikika na kuonekana ni binadamu...jaribu kusoma history ya Jesse ndio utagundua mchango wake,niko na Obama sio kwa sababu ni mweusi lakini i consider him very smart na mengi anayoamini ni sawa na mimi lakini Jesse nitamheshimu siku zote hayo mambo madogo madogo ya kuongea trash towards Obama hata Clinton na wengine waliongea lakini at the end of the day fundamental zinabaki palepale,mzee usisahau watu waliopigana wakati wa ONLY FOR WHITE or COLORED PEOPLE,hizi tofauti ndogo ndogo lazima ziwepo na ni vizuri for democracy!
 
Hii ni Kweli kaka, ni kama watu wengine wanaowadharau kina mlm Nyerere ambao walipigana na kuwapa njia viongozi wengine hawa. Respect lazima iwepo kwa wazee waliotuwekea njia, hata kama wakichemka baadae kwa sababu wamefanya mema mengi kulinganisha na mabaya waliyoyafanya. ni mengi sana J. Jackson ambayo kayafanya kuweka njia kwa Pres Elect Obama na hilo analijua, na najua yale machozi naona alikuwa anawaza jinsi mambo waliyopitia na hapa walipofikia, it is not easy kuona mtu mzima analia/anatoa machozi mbele za watu.
 
Heshima kwa wakuu wote mliokuwa mnaamini toka siku ya kwanza kwamba Jaluo was good enough kushinda, kama nitawakumbuka kwa karibu ni Icadon, Susuviri, Jasusi, Koba, Rev. Kishoka, Capitol Hill, na GT na wengineo ambao masimamo wenu haukuwa wa kuyumba, mpaka mwisho.

Heshima kwenu wote, ninaomba kusema one thing, kwamba nimefurahishwa na huu ushindi, hoping kwamba kati ya nchi tatu ambazo nimewahi kuishi huko nyuma kama German, Belgium, na France kwamba kuna a minority atakuja kutokea kama Jaluo na kua good enough kuwaongoza, ushindi wa Jaluo hasa ni lazima ukawaguse hawa wabaguzi wa kutupwa.

Heshima Mbele Wakuu
 
Back
Top Bottom