OBAMA vs BUSH: Nani katili zaidi?

Ushasahau enzi za Ben aliua Watanzania wangapi Zanzibar?
 
Naheshimu mawazo yako lakini ukweli ni kwamba wazungu ndio wanaofanya Obama aonekane hafai. Angalia Republicans wanavyowaponda weusi na sera zao za kibaguzi. Wakati mgumu Obama lazima awe nao kwani wazungu wengi hawajakubali bado kuongozwa na mtu mweusi. Watch MSNBC utajua zaidi na si FOX News au CNN mkuu. Kuna mengi ya kupingana katika vyombo vya habari. Swala la Gaddafi hata angekuwa nani rais wa Marekani lingetokea tu. Western countries walishamwona ni tishio kwao na Africa kwa ujumla. Tusilaumu Marekani peke yake kuna nchi nyingi sana ziko nyuma ya hili jambo Europe,N.America,Middle East, Asia na hata Africa yenyewe. People lets be fair sio kuangalia upande mmoja wa shillingi
 
Ngoja Al Shabab waingie hapo mjini waanze kuwalipua ndio mtaelewa kwanini kina obama wanafanya wanachokifanya,hawa Al qaida,shabab or any terrorist ni hatari sana acha walipuliwe tuu na hizo drones...hizi dini zinawadanganya sana nyie,dawa ni kuwalipua kila kona mpaka wasalimu amri
 
gadaff is dead for good
 
They both belong to the same satanic cult, they need to shed blood and cause misery.
Hakuna cha afadhali hapo.
 
Wote hapo mnajadili upupu hakuna la maana kwa nini msijadili mambo ambayo yanaleta au yataleta Tina????
Kujadili ukatili wa Bush au Obama hautatusaidia sisi Watanzania.
 
YES!
why NOT???
mimi nipo tayari kufa to get america and israel flourish
Wewe ni Mwamerika au muisraeli?
Kama ni mtanzania ungesaidia katika kuifanya Tanzania i-flourish.

Kama ni katika wao, then good luck!

I wish all countries flourish but not from abusing other countries or destroying other countries.
 
Obama won the Nobel peace prize kwa ajili ya kutetea na kuhamasisha international peace.

Now that Obama has shown us his true colours by invading Libya kwa kisingizio cha kumuondoa "dikteta" Gadaffi, hana tofauti na Bush wakati wa Sadam Hussen. I think the owner of the Nobel prize should collect their useless prize as Obama has already prove that he did'nt deserve it.
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…