Obama: Tanzania ni mfano wa kuigwa

MkamaP, mkuu utakubaliana nami kuwa tuko hapa ili tujenge logic, za utendaji na hata hizi za kusifiwa. Sasa naomba ni kuulize, je wewe unafikiri ni mambo yapi hayo Mr. Obama anaasa nchi nyingine ziige mfano kutoka hapa Tanzania? Na kwa vile umeanza kwa kuitaja Kenya, itakuwa vyema kama utaendeleza kwa mfano huo huo ukipenda.

Unaona anaongelea fundamentals za kuijenga nchi endelevu ,nusu ya fundamentals tayari tunazo mkononi tofauti na nchi nyingi kabisa za kiafrika.

Nchi iliyoendelea ambayo haikujengwa ktk misingi hiyo anguko lake ni rahisi sana.

Nimekutolea mfano kenya, kenya kuna seikali mbili unayoijuwa na VIRTUAL serikali yani pale kama unamiliki tusema ardhi ama ng'ombe lazima ulipe ushuru serikali pia lazima ulipe ushuru wa Mungiki(virtual),Yani kila kitu unacholipia ushuru lazima ukilipe mara mbili.

Hatuna Tatizo la ukabila ,Kenya ilifikia nadhani bado ipo kuwa ili upate huduma lazima uongee kikuyu.

Tuna tatizo la Rushwa ndiyo na lahitaji kushughurikiwa lakini huwezi linganisha na majirani zetu mkuu.

Watanzania tunapendana kokote tukikutana ni ndugu wala huwa hatuulizani wewe watoka wapi.

Huduma za jamii mfano shule practically tunasoma bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu.Najuwa hapa utabisha nenda kwa majirani.

Afya huduma yake ni affordable sana japo ipo low quality kutokana na uwezo wetu hii inaashilia kwamba tukiwa na uwezo zaidi tutatoa huduma safi na affordable .Nenda kwa majirani ujionee
 
niko na wewe mkuu ukurasa mmoja.It is so akward for people of this conutry to think that someone from outseide will came and tell the good thinks of their own country..we are the citizen of this country and we are the one that we feel what the govt is doing and not doing.By the way mimi miaka minne ya JK madarakani naona hakuna kitu substantial kilichofanyika ni blah blah tu.

hili ni tatizo la kibinadamu.
Naomba nitoke nje kidogo samahani tena naomba usikwazike kwa mfano huu.
YESU mwenyewe sisi tunayemwita Mungu alikili na kwa kusema kweli mwana wa mtu kwao hakubaliki.Sasa basi hata TZ ikiwa inafanya mema gani hamtakubali .
 
STEVED.
Naomba unitajia nchi angalau tano za AFRICA ambazo zinatowa angalau mkopo kwa mwanafunzi wake kwenda kusoma nje ya nchi.
 
Pamoja na 'makaratasi' ya JK, zipo ripoti zinatoka Ubalozi wa Marekani nchini mwetu kuhusu Tanzania. Kwa jicho la 'jumla' Tanzania ni nchi ya Amani na Tulivu na yenye kutafuta maendeleo ya wananchi wake tangu nchi ilipopata Uhuru. Hilo peke yake linaweza kupelekea Rais yeyote anayelinganisha Tanzania na nchi zingine za Bara letu kuweza kusifia na kusema ni mfano wa kuingwa. Ukiweka kando uozo unaojitokeza hapa na pale bado nchi yetu ni mfano mzuri barani Africa. Obama hajakosea!

Heee...yale yale "Siye tuna amani na utulivu kwa hiyo ni bora kuliko wengine!" Wengine wana huduma muhimu kwa wananchi wao lakini hawana amani na utulivu kwa hivyo sisi ni bora zaidi!! heheeee...nawashauri wote mnaosema hivi muende japo hapo Tripoli,Libya mujionee wenyewe jinsi kanali alivyotandaza huduma muhimu kwa wananchi wake pamoja na propaganda zote zinazosemwa juu yake! halafu mulinganishe na bongo yenu muone ni nani hasa anaongoza katika kuwasaidia wananchi wake!...wake uuuuup you people!!!

Wembe.
 
Last edited:
Heee...yale yale "Siye tuna amani na utulivu kwa hiyo ni bora kuliko wengine!" Wengine wana huduma muhimu kwa wananchi wao lakini hawana amani na utulivu kwa hivyo sisi ni washindi!! heheeee...nawashauri wote mnaosema hivi muende japo hapo Tripoli,Libya mujionee wenyewe jinsi kanali alivyotandaza huduma muhimu kwa wananchi wake pamoja na propaganda zote zinazosemwa juu yake! halafu mulinganishe na bongo yenu muone ni nani hasa anaongoza katika kuwasaidia wananchi wake!...wake uuuuup you people!!!

Wembe.

Mkuu
Nafikiri tunaongelea sana nchi zilizo chini ya jangwa la sahara,na hata hivyo unaposema huduma ya jamii unamaana gani ? mimi nafikiri huduma mama ya jamii ni Amani ama wewe wasema je?
 
SteveD.
Mimi nafikiri tatizo letu ni kwanza wananchi hawakuipata/hawajaipata elimu kwa mda muafaka.Huwezi kuwa na taifa endelevu wakati wananchi elimu yao ni tete.Hili tatizo hadi miaka ya tisini wazazi walikuwa hadi wapelekewe polisi ili kuruhusu watoto wao shule.

Pili tatizo letu lingine baada ya nyerere TZ haijapata kiongozi muafaka kwa mda muafaka ,Tz ni kama single phase motor ambayo capacitor yake ni mbovu,ni nchi ambayo ipo na nguzo mhimu ,ni nchi iliyo tayari kuendelea,ni nchi iliyo na sababu lakini inakosa STARTER ya kuanzisha mwendo.
 
mimi nafikiri huduma mama ya jamii ni Amani ama wewe wasema je?
BIG BIG BIG NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!it is a big no in all aspects,

PRACTICALLY-NO
THEORETICALLY-NO
EVEN POLITICALLY(the worst aspects)-NO

no no no no no no no!
 
BIG BIG BIG NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!it is a big no in all aspects,

PRACTICALLY-NO
THEORETICALLY-NO
EVEN POLITICALLY(the worst aspects)-NO

no no no no no no no!

Mkuu
Hebu nieleze kama hakuna amani kuna panga kila kona huduma ya jamii utaipata vipi?

mimi nafikiri kile kitendo cha kupenda ninyi kwa ninyi tayari ni huduma kwa jamii na kile kitendo cha kuinua panga kinakuwa kime violate huduma zote za jamii.
Labda wewe utupe mtazamo wako mkuu maana kila mmoja anadifinisheni yake lakini sio ile iliyoandikwa tu kwenye vitabu vya mzungu.
 
Obama alipashwa kuunga maneno yake kwa Vitendo kwamba TZ safi basi afanye kama alivyo onyesha Dunia kwamba Ghana safari nanaenda huko.Aliitaja Kenya akiwa Ghana hakuitaja Tanzania akiwa Ghana .Jambo moja muhimu .Obama is an American president na wao wana taka sana Africom, kaeni macho mtasikia mengi nyie mnabaki kuwa mawakili wa serikali bure hapa .
 
Obama alipashwa kuunga maneno yake kwa Vitendo kwamba TZ safi basi afanye kama alivyo onyesha Dunia kwamba Ghana safari nanaenda huko.Aliitaja Kenya akiwa Ghana hakuitaja Tanzania akiwa Ghana .Jambo moja muhimu .Obama is an American president na wao wana taka sana Africom, kaeni macho mtasikia mengi nyie mnabaki kuwa mawakili wa serikali bure hapa .
Mkuu Lunyungu, kwa hili mie niko pamoja na wewe. Huyu bwana ni raisi wa America na siku zote wanatetea maslahi yaAmerica. Aliokuja Bill Clinton Mwaka 2000, jambo la kwanza kulifanya ni makataba wa kuruhusu America watumie anga yeu bila kizuizi.

Hawa jamaa huwasifia hata Madikteta wa Middle East ili maradi maslahi yao yamezingatiwa. Na hapa kwetu si bure, lipo jambo na muda si mrefu mtaona matokeo yake?

Hebu tukmbushane kidogo; mnakumbuka ndani ya miaka minne mkuu wetu wa kaya amefanya ziara US mara ngapi?
 

Lakini mimi sishangai maana hawa wamarekani wanasifia mahali wanapodhani watapata maslahi. Si ajabu kapewa ahadi ya mgodi hapo.

Sisi si wamarekani wala hatusubiri wamarekani kuja kuwa kipimo cha maendeleo mfu yetu. Sisi waliwanchi ndio hasa kipimo chenyewe. Tunapima wenyewe Sisi hasa tunaoishi danganyika hii na si watanzania mlioamua kuishi ulaya au kuila nchi. Pole kama mnadhani Obama atakuwa mpima mafanikio yetu.


Does the Great Thinkers (JF members) really think that Obama's words or opinions are ALWAYS RIGHT?

America has PERMANENT INTERESTS, not permanent friends. You are a friend of America just as long as the US benefits from you. Period.

That's the reason the US supports the lack of democracy in countries where public opinion is not in line with the US interests (Read: Egypt, Saudi Arabia, Kuwait, Oman, Bahrain, Jordan, The Emirates), as well as Latin American former military dictatorships, and former successive South Korean military distarorships.

Throughout history, western leaders wave "praised" leaders from other countries who have put western interests above their own populations'. They praised Mobutu, Bongo, Senghor, Houphet-Boighny, Mubarak etc. and they denounced Mandela (they US government put his name in a terrorrists list), Nkrumah (they overthrew him), Nyerere, Sekou-Toure (they overthrew him), Nasser.

So, to be "praised" by a western leader is not a positive thing for our country. They have their priorities and their opinions for their own benefits, not ours, and we must have OURS too. OURS.
 
kwa wale wasio ona kazi na mafanikio ya serikali yetu walau wakubwa huko wanayaona.

Kweli wahenga walisema mitume haikubaliki makwao...

Tupate habari zaidi;



kwa wale wenye wivu.... Just do it!

suicide.jpg



vijana mpo??
tupo tupo tupo kabisa, kwa jeuri ya chama iyeba waaa
 
Angekuja ajionee waTZ tunavyo teseka tunasoma kwenye shule za nyasi chini/sakafu vumbi shule ina walimu 3 nyumba za walimu za nyasi njoo Obama ujionee sio unaletewa makaratasi na bla bla kibao unawaamini hakuna kitu bora ungeisifia Rwanda na sio Tanzania.

Kitanda usicholalia utawajuaje kunguni wake?.....Viongozi wetu tatizo hawako very transparent katika mambo yao, wakienda huko majuu wanajisifia tuuuuuuu...bila kusema ukweli of what is happening on the groung back home!

Sasa na hawa wenzetu wakiyasikia hayo na kuwaona baadhi ya wabongo wanaoishi huko baada ya kufisadi nyumbani wanapata picha ya jumla kuwa wanayoyasema politicians yana ukweli......!
 
JK bomba hata Obama kaona hilo.syo Obama tu na viongozi wengine duniani wameshatambua uwezo wa JK na serikali ya Tanzania katika kuhudumia wananchi.
 
THIS IS NON SENSE...BUT IT IS POLITICALLY PLACED, wapo hata watu wa hapa ndani kwa hali ilivyo wangeweza kusema aliyosema obama, kwakuwa they are blind as well.
Lakini pia hii statement ya Obama inatumiwa kama propaganda za kuonyesha ni kweli seriklai inafanya vizuri...tujipime kwa vigezo halisi na sio maneno ya wahisani, Kila siku tunasikia wahisani wakilalamika kuwa misaada haiwafikii walengwa leo haohao ndio watusifie????
 
Back
Top Bottom