Jamani kila nikiwasikiliza wapinzani wa obama hasa donald trump
wanavyo mponda obama na kumpinga najikuta nawaffaninisha na wapinzani wa kikwete
hapa bongo....sasa najiuliza je wanafanana???????
Binafsi naona kuna mfanano fulani hivi
1.kikwete rais wa 4 tanzania,obama wa 44 marekani
2.kikwete ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya
obama yes we can.change...
3.kikwete now anaonekana kwa wapinzani wake muislam sana au mdini
obama anahisiwa kuwa muislam na republicans wengi
4.kikwete anatuhumiwa kuwekwa madarakani kwa pesa za mafisadi
obama anadaiwa kuwekwa madarani na wayahudi matajiri
toka alipokuwa senator chicago...
5.kikwete aliingia kwa matumaini makubwa labda kupita hali halisi
obama hivyo hivyo
6.kikwete anadaiwa kuwa hashauriki,haambiliki...
Obama wapinzani wake wanamwita bigheaded,anajiona ana akili sana..
7.kikwete ameondokewa na watu wa mwanzo ,timu yake ya mwanzo kuingia nayo i
ikulu....
Na obama nae zaidi ya watu watano wamejiuzulu so far....wakiwemo
top economists wawili.....
8.kikwete anadaiwa kuwa kilaza na wapinzani wake,hakufaulu kwa kiwango
alipokuwa udsm....
Obama kwa mujibu wa donald trump hakuwa na sifa za kusoma harvard kabisa
ni kilaza pia...
9kikwette ..hali ya kiuchumi na inflation ni ngumu kuliko kabla hajaingia ikulu
ukitazama bei za vyakula kwa mfano na ajira..
Obama..unemplyoyment ni kubwa mno.ajira bado sana,hali bado mbaya kiujumla
10.kikwete .wanaomtetea mfano faizafoxy wanatoa very impressive statstics mfano
kujenga barabara na vyuo na shule nyingi kuliko rais yeyote before..
Obama kwa mujibu ya wanaomtetea ndie rais mwenye mafanikio ya kihistoria kwa muda mfupi kuliko wote
before.wanataja healhtcare bill,kubail out detroit car industries,ku avoid depression..
Kumshughulikia osama na kadhalika....
11.kikwete alipoingia alionekana more of a uniter na sasa anaonekana kama
a divider zaidi....ccm inagawanyika,watu wanagawanyika kidini,muungano mgawanyiko n.k
obama pia alionekana a uniter,bila kujali vyama,rangi na kadhalika..
Sasa anaonekana a divider,wanaompinga wanaonekana wabaguzi wa rangi,mfano donald trump
republican na democrats wamegawanyika na kadhallika.....
12.orodha ni ndefu ya mfanano....nyinyi mnaonaje???????????
<br />Halafu obama ana sifa za kijaluo,mfani hiyo ya kujiona ana akili ni sifa ya wajaluo hiyo<br />
so ni sifa ya kikabila<br />
na kikwete nae ana sifa la kabila lake ,sifa ya kupenda mzaha mzaha sana

Huyu dada alimlima Maswali Magumu George Bush na akaishia kufukuzwa kufanya kazi CNN na Viza yake ya kazi kufutwa.
Vitu vya ajabu sana sana dunia hii ya wanaojiita wana Demokrasi........
Tumi Makgabo
There is no comparison!Mwinyi alisema kama Nyerere ni Kilimanjaro basi yeye ni kichuguu, na mimi nasema kama Obama ni Kilimanjaro basi Kikwete ni mchwa!
KATIKA HII PICHA KIKWETE ANAONEKANA HAJIAMINI NA OBAMA ANAJIAMINI. KIKWETE ANAONEKANA HAAMINI KILE ANACHOZUNGUMZA NA OBAMA ANONEKANA YUKO MAKINI NA HAAMINI KILE KINACHOZUNGUMZWA NA KIKWETE. HIVYO HAWAFANANI ATA KIDOGO LABDA KWA MAJINA YA NAFASI ZAO....RAISI, KIWETE ANTOKA BAGAMOYO NA OBAMA ANATOKA ..................
Mmoja alisema "Yes, We CAN......."
Mwingine akasema "Ukitaka kula, kubali uliwe kidogo......."
THIS IS VERY DANGEROUS MBONA KWENYE KAMPENI HUWA HASEMI KAMA HAJUI TANZANIA KWANINI NI MASIKINI? SASA KAMA HAJUI KWELI ANAWESA KUTOA MAWAZO MBADALA YA KUONDOKANANA NA HALI HIYO? ANAFANYA NINI SASA KAMA HAJUI HALI HIYO INASABABISHWA NA NINI? NI KAMA VILE BABA AWAAMBIE WATOTO NA MAMA YAO KUWA HAJUI KWANINI WATOTO WANAUTAPIAMLO. KWA HIYO WALIMCHAGUA RAISI ASIYEJUA KUWA ATAIFANYIA NI NI NNCHI YAKE. EE ALAH TUPE HEKIMA YA KUONDOKANA NAYO HAYA MADHILA. KUWA NA WATU KAMA HAWA 10 TU KATIKA NCHI TUMEUMIA