Obama na Kikwete: Wanafanana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama na Kikwete: Wanafanana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Boss, Aug 3, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Jamani kila nikiwasikiliza wapinzani wa Obama hasa Donald Trump wanavyo mponda Obama na kumpinga najikuta nawafaninisha na wapinzani wa Kikwete
  hapa bongo....sasa najiuliza je wanafanana???????

  Binafsi naona kuna mfanano fulani hivi

  1.Kikwete rais wa 4 Tanzania, Obama wa 44 Marekani

  2.Kikwete ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya
  Obama yes we can.change...

  3.Kikwete now anaonekana kwa wapinzani wake muislam sana au mdini
  Obama anahisiwa kuwa muislam na republicans wengi

  4.Kikwete anatuhumiwa kuwekwa madarakani kwa pesa za mafisadi
  Obama anadaiwa kuwekwa madarani na wayahudi matajiri toka alipokuwa senator Chicago...

  5.Kikwete aliingia kwa matumaini makubwa labda kupita hali halisi
  Obama hivyo hivyo

  6.Kikwete anadaiwa kuwa hashauriki, haambiliki...
  Obama wapinzani wake wanamwita bigheaded, anajiona ana akili sana..

  7.Kikwete ameondokewa na watu wa mwanzo, timu yake ya mwanzo kuingia nayo Ikulu....
  Na obama nae zaidi ya watu watano wamejiuzulu so far....wakiwemo
  top economists wawili.....

  8.Kikwete anadaiwa kuwa kilaza na wapinzani wake, hakufaulu kwa kiwango
  alipokuwa udsm....
  Obama kwa mujibu wa Donald Trump hakuwa na sifa za kusoma Harvard kabisa
  ni kilaza pia...

  9. Kikwette ..hali ya kiuchumi na inflation ni ngumu kuliko kabla hajaingia ikulu
  ukitazama bei za vyakula kwa mfano na ajira..
  Obama..unemplyoyment ni kubwa mno. Ajira bado sana, hali bado mbaya kiujumla.

  10. Kikwete, wanaomtetea mfano faizafoxy wanatoa very impressive statistics mfano
  kujenga barabara na vyuo na shule nyingi kuliko rais yeyote before..

  Obama kwa mujibu ya wanaomtetea ndie Rais mwenye mafanikio ya kihistoria kwa muda mfupi kuliko wote before. Wanataja healhtcare bill, kubail out detroit car industries, ku avoid depression..
  Kumshughulikia Osama na kadhalika....

  11.Kikwete alipoingia alionekana more of a uniter na sasa anaonekana kama
  a divider zaidi....CCM inagawanyika, watu wanagawanyika kidini, muungano mgawanyiko n.k

  Obama pia alionekana a uniter, bila kujali vyama, rangi na kadhalika..
  Sasa anaonekana a divider, wanaompinga wanaonekana wabaguzi wa rangi, mfano Donald Trump, republican na democrats wamegawanyika na kadhallika.....

  12.Orodha ni ndefu ya mfanano....nyinyi mnaonaje???????????
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Guess you r right !!!
  ... They have something more very common ...`mnt ready to point it out right now.. ngoja kupambazuke!!
   
 3. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,061
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  Nimependa kilaza, wote ni vila. Obama aliingia wakati watu wengi wamempa goodwill, lakini kwa upumbavu wake akaendeleza siasa zile zile za zamani. Hivyo hivyo huyu wetu.
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  1. Wote weusi
  2. Kikwete rais wa kwanza Afrika kukutana na Obama, kama Obama alivyokutana na Kikwete kwa mara ya kwanza

  Lakini wana tofauti pia.

  Mojawapo, wakati chama cha Kikwete kimetangaza kujivua gamba, cha Obama bado.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Emt hebu niwekee picha ya kikwete na obama pamoja kama unaweza ipata
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hilo pozi obama kama anamu enjoy hivi ...lol
  wanasema obama ana kawaida ya kujiona ana akili saana
   
 8. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Yaani unajaribu kulinganisha mto Msimbazi na Mto Ruaha Mkuu. Wapi na wapi; si bora hata kiwete ukamlinganisha na yule mrais aliyebaka kura Kenya. Sijui anaitwaga mao kabaka vile.
   
 9. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kikwete kasafiri mara 314 kwenda abroad kutembeza bakuli etc....sina uhakika na obama na safari zake so nadhani unafananisha mimba na kitambi....otherwise i stand to be corrected!
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Obama kamuuwa Osama, Je Kikwete kamuuwa nani?

  Obama kaokoa viwanda/makampuni mengi makubwa yaliyokopeshwa pesa na Serikali. Sisi je, kiwanda gani kimeokolewa kwa bail out?

  Obama kapitisha huduma ya afya kwa wote, sisi je? Au ipo jina tu?!.......

  Obama ni Profesa na ................

  Mnaweza kuniambia inapokuja kwenye kusafiri nje, wanafana vipi?
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kikwete --alikuwa rais wa kwanza tz kuhojiwa na clouds fm
  obama rais wa kwanza kwenda kwenye talk shows mfano jay leno,na first sitting president kuhojiwa na oprah
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huyu dada alimlima Maswali Magumu George Bush na akaishia kufukuzwa kufanya kazi CNN na Viza yake ya kazi kufutwa.

  Vitu vya ajabu sana sana dunia hii ya wanaojiita wana Demokrasi........

  [​IMG]Tumi Makgabo
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Halafu obama ana sifa za kijaluo,mfani hiyo ya kujiona ana akili ni sifa ya wajaluo hiyo
  so ni sifa ya kikabila
  na kikwete nae ana sifa la kabila lake ,sifa ya kupenda mzaha mzaha sana
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Macho ya Kikwete kama vile yamelenga zaidi kwenye hizo apples. lol. Yep, the same stereotype kuwa black people are less intelligent compared to the white counterpart. Siwezi kumlinganisha Obama na Bush though sim rate juu ya Clinton. Lakini ukiangalia watu kama Clinton na Blair, they ruled the world when the economy was booming.

  Ukiwapa nchi sasa kuna uwezekano waka underscore vibaya. Kitu kingine media ya marekani ambayo inamilikuwa na Republicans inaponda utawala wa Obama ile mbaya kama utawala wa Kikwete unavyopondwa hapa jamvini. Matajiri wamechukia sana ile healthcare law, na huu mpango wake wa kupandisha kodi kwa matajiri.

  Kama unapata news kupitia news providers za marekani then, obviously utamwona Obama hafai. Kwa mfano nawashangaa wale wanamlaumu Obama na utawala wake kwa kuchelewa kuongeza debt ceiling mapema, wakati waliochelesha ni Republics baada ya kugawanyika mara mbili juu ya kuwatoza matajiri kodi zaidi. Trump hawezi kumchukia Obama hivi hivi hasa baada ya kuvikwa kanzu na yale madai yake ya birth certificate.
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mkuu mimi natazama msnbc daily naona wao
  wanamtetea sana obama...
  Naona media house zinagawanyika
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  msnbc afadhalali, lakini kama Fox News and others news providers zilizo chini ya Murdoch empire wako too bias. Ni sawa na vyombo vyote vya habari vinavyomilikiwa na News International Unigereza including Sky News. Nilikuwa mpenzi mkubwa sana wa gazeti la The Times la Ungereza, kiasi kwamba nilikuwa sikosi kwenda British Council kulisoma. Lakini tokea linunuliwe na Murdoch empire, limekuwa ovyo kama gazeti la Rai vile.
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  This might be the most cerebral comparative analysis ever since JF inauguration. Based on substantial criteria and concrete facts, even a wee brain will vacillate to query on its validity.
   
 18. Companero

  Companero Platinum Member

  #18
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 19. Companero

  Companero Platinum Member

  #19
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 20. Companero

  Companero Platinum Member

  #20
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Obama aliteua washikaji zake kibao aliosoma nao Harvard
   
Loading...