Obama na Kikwete: Wanafanana?

Hilo pozi obama kama anamu enjoy hivi ...lol
wanasema obama ana kawaida ya kujiona ana akili saana

Kaka embu angalia hata Rais wako alivyokaa,.......yaani unaiona 'stage fright' waziwazi......Kikwete anatetemeka, jamaa lazima amu-enjoy!
 
nimependa kilaza, wote ni vila. Obama aliingia wakati watu wengi wamempa goodwill, lakini kwa upumbavu wake akaendeleza siasa zile zile za zamani. Hivyo hivyo huyu wetu.
wote mpo sawa kabisaaaaaa...................................
 
Kwanza mkumbuke Obama amekuwepo pale White House kwa miaka mi 3 tu. Lakini in these 3 short years ameweza kuachieve vitu ambavyo toka Teddy Kennedy aanze siasa alishindwa kuwashawishi marais wa Democrats wafanye, The pinnacle being OBAMACARE kama wanavyoisema. au healthcare coverage to EVERY american ikifika 2013. Lazima ikumbukwe kuwa kwa sasa hivi 45 million americans hawana ANY health insurance cover...

Ameweza kuinject stimulus package ya billions od dollars in to the economy, na lazma watu watambue kuwa the american economy is so huge like manouvering a large oil tanker at sea, while viinchi vingi ukicompare ni kama vispeed boats. Results zimeanza kuonekana, viwanda kama Chrystler iliyokua on the brink of bankruptcy wameshafanya turn around, the full impact ya stimulus package itaonekana siku za usoni. Watu wa Detroit wanasema long live Obama.

Kwenye national security, alisimamia the most daring mission ya US special forces, pale aliporisk kuwatuma Abbotabad, Pakistan kufanya raid iliyomuua Americas most wanted man, Osama bin Laden.

Amekeep promise ya kupunguza majeshi ya US Afghanistan, na baadhi yameshaanza kurudi nyumbani.

He has stood his ground kwenye issue ya kuraise americas debt ceiling, kwa kupata baraka za kuongezewa mpaka AFTER elections za 2012,
despite political arm wrestling aliyotaka kufanyiwa na republican majority congress.

Ameibuka wakati wa mafar right activits a.k.a Tea Party activists ambao hawana lolote jipya zaidi ya kuwa RACISTS. Walikua wapi siku zote BUSH na wenzake walipoplunder US economy. Hasira zao zipo totally misplaced, LEHMAN BROTHERS ilipofall, Major Banks zengine wakafuata in domino effect fashion, but where were the regulators walioachia sub-prime lending ishamiri? In short wamemuachia OBAMA jumba bovu limuangukie. Sio kama OBAMA amemess up anything good alichorithi from Bush.

Ameweza kuwaweka in place kina stubborn Netanyahu wakafuta kauli zao za jeuri na kutaka reconciliation na Obama baada ya Obama kusema permanent solution ya middle east itapatikana kwa kutizama original borders za 1967 na pale ilipokua haiwezekani kuzirudia ni kwa pande mbili kutrade territories. As if haikutosha akarudia maneno yaleyale alipoitwa kwenye AIPAC congress. Ingawa aliinsist america will still be Israels most staunchest ally. Lakini ujumbe aliotaka kuufikisha ni security of the US must come first than that of his allies. Na wakitaka kulindwa lazima waplay their part.

OBAMA has got the spine ya kuchange politics "inside the belt way", au Washington, DC. Anakutana na fierce resistance from entrenched washington politicians waliozoea kuroam corridors of power na kulobby for any thing they want in government, from Defence subcontractors, Gun lobbies, Israel lobbies, Health Insurance lobbies, etc etc

Tukirudi hapa Tanzania, well, nitarudi baade......
 
.......As leaders both are struggling and their negative numbers are very high as compared to positive numbers

August 8, 2011

Is the economy killing Pres. Obama's chances of a 2nd term?
Posted: 06:00 PM ET
President Obama's chances of winning a second term may have been downgraded... right along with this country's credit rating.
Consider the recent rough economic news facing the United States:
art.obama.jpg


corner_wire_BL.gif


  • An unemployment rate that remains stubbornly above 9 percent
  • A tumbling stock market... down more than 630 points today after a 513 point drop last Thursday
That historic downgrade in our credit rating - the first time ever in U.S. history and it happened on President Obama's watch.
There's also a possibility of a further downgrade if we don't straighten out our debt situation. And that's doubtful after watching the charades in Washington that passed for negotiations on the debt ceiling.
  • Economic growth under 2 percent... with many worried we're headed for a double-dip recession
  • Home values worth one-third less than they were five years ago.
  • Only 58% of working age Americans in the labor force... that's the lowest in nearly 30 years.
  • Consumer confidence at two year-lows... and polls showing majorities disapprove of president obama's handling of the economy.
All this is not lost on Republican candidates for 2012... they have already linked President Obama to the S&P credit downgrade and the weak economy and you can believe they will ramp up the criticism as the election gets closer.
Perhaps the only factor working in Mr. Obama's favor is he's got time... the election is still more than a year away.
Suffice it to say if the election was held today he would be back organizing communities.
If the president is going to turn this ship around, he better start soon. Americans who are out of work and seeing their life savings evaporate in the stock market probably don't have much patience left.
 
Next time unapoandika article fanya uchunguzi wa kila kitu pamoja na education uliopata. Kwa kifupi ni hivi sijui nikuanzie wapi ila kikwete angemlinganisha na rostam sana na labda mkapa. Why not put mugabe na gadaffi. This is poor theory as bad as it get.

8E9U9842.jpg


Jamani kila nikiwasikiliza wapinzani wa obama hasa donald trump
wanavyo mponda obama na kumpinga najikuta nawaffaninisha na wapinzani wa kikwete
hapa bongo....sasa najiuliza je wanafanana???????

Binafsi naona kuna mfanano fulani hivi

1.kikwete rais wa 4 tanzania,obama wa 44 marekani

2.kikwete ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya
obama yes we can.change...

3.kikwete now anaonekana kwa wapinzani wake muislam sana au mdini
obama anahisiwa kuwa muislam na republicans wengi

4.kikwete anatuhumiwa kuwekwa madarakani kwa pesa za mafisadi
obama anadaiwa kuwekwa madarani na wayahudi matajiri
toka alipokuwa senator chicago...

5.kikwete aliingia kwa matumaini makubwa labda kupita hali halisi
obama hivyo hivyo

6.kikwete anadaiwa kuwa hashauriki,haambiliki...
Obama wapinzani wake wanamwita bigheaded,anajiona ana akili sana..

7.kikwete ameondokewa na watu wa mwanzo ,timu yake ya mwanzo kuingia nayo i
ikulu....
Na obama nae zaidi ya watu watano wamejiuzulu so far....wakiwemo
top economists wawili.....

8.kikwete anadaiwa kuwa kilaza na wapinzani wake,hakufaulu kwa kiwango
alipokuwa udsm....
Obama kwa mujibu wa donald trump hakuwa na sifa za kusoma harvard kabisa
ni kilaza pia...

9kikwette ..hali ya kiuchumi na inflation ni ngumu kuliko kabla hajaingia ikulu
ukitazama bei za vyakula kwa mfano na ajira..
Obama..unemplyoyment ni kubwa mno.ajira bado sana,hali bado mbaya kiujumla

10.kikwete .wanaomtetea mfano faizafoxy wanatoa very impressive statstics mfano
kujenga barabara na vyuo na shule nyingi kuliko rais yeyote before..
Obama kwa mujibu ya wanaomtetea ndie rais mwenye mafanikio ya kihistoria kwa muda mfupi kuliko wote
before.wanataja healhtcare bill,kubail out detroit car industries,ku avoid depression..
Kumshughulikia osama na kadhalika....

11.kikwete alipoingia alionekana more of a uniter na sasa anaonekana kama
a divider zaidi....ccm inagawanyika,watu wanagawanyika kidini,muungano mgawanyiko n.k
obama pia alionekana a uniter,bila kujali vyama,rangi na kadhalika..
Sasa anaonekana a divider,wanaompinga wanaonekana wabaguzi wa rangi,mfano donald trump
republican na democrats wamegawanyika na kadhallika.....

12.orodha ni ndefu ya mfanano....nyinyi mnaonaje???????????
 
obama na kikwete wanafanana sana,wote wauza sura kila siku misele na kutafuta sifa muda wote wanataka kupay attention kwa media

magufuli na trump nao ni wale wale ukifuatilia sera zao
 
Sounds like he want's to make the
USA a dictator owned country
doesn't he? Retards still blindly
follow him.
 
Back
Top Bottom