Obama kutoa vitisho kwa Putin ni Uwoga?

Obama kutoa vitisho kwa Putin ni Uwoga?

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Si angempiga tu, kama unamuweza inaanza tu, siku nyingi ni vitisho vitisho tu.

Marekani chini ya Barack Hossein Obama ina uwezo wa kutishia na kupiga, nafikiri upolisi wa dunia kwa marekani umetosha na sasa ifanye kwa vitendo.

Ipige, inatuhadaa, kama ataigusa Urusi atazisababishia matatizo makubwa baadhi ya nchi za Ulaya.

Nionavyo mimi uwezo na vitisho vya Marekani ishafika mwisho.
 
mkuu mi mda tuu ukifika mda usemi wako utatimia na haitakuwa kam unavyofikria itakuwa vita ya tatu ya dunia jaribu kufikria kidog
 
Hakuna wa kupigana na Urusi, hili Taifa ni balaa. Marekani atapiga Uarabuni na Afrika tuu ila Russia na China hagusi.
 
Hakuna wa kupigana na Urusi, hili Taifa ni balaa. Marekani atapiga Uarabuni na Afrika tuu ila Russia na China hagusi.

Ni kweli mkuu na tukumbuke hapa Vita itapiganiwa kwenye aridhi ya USA kwa mara ya kwanza, make Urusi hahitaji kambi kule CUBA ili aweze kupigana na USA bali makombola yatarushwa kutokea Moscow na kutua popote pale ndani ya USA, na watu wanafananisha nchi za kiarabu na Urusi, Urusi ni taifa la Pili kwa nguv u za Kijeshi na kuna baadhi ya Siraha ambazo Urusi anazo ambazo haziwezi shindanishwa na za nchi yoyote ile.

Na siku vita ikipiganwa baada ya vita si dhani kama kutakuwa na maisha tena,
 
Hahahahaa hao Urusi hawana lolote.

They are way overrated and the USA ain't never scared of them.
 
Ni kweli mkuu na tukumbuke hapa Vita itapiganiwa kwenye aridhi ya USA kwa mara ya kwanza, make Urusi hahitaji kambi kule CUBA ili aweze kupigana na USA bali makombola yatarushwa kutokea Moscow na kutua popote pale ndani ya USA, na watu wanafananisha nchi za kiarabu na Urusi, Urusi ni taifa la Pili kwa nguv u za Kijeshi na kuna baadhi ya Siraha ambazo Urusi anazo ambazo haziwezi shindanishwa na za nchi yoyote ile.

Na siku vita ikipiganwa baada ya vita si dhani kama kutakuwa na maisha tena,

Urusi ni habari nyingine, hilo la kusema kuwa urusi ni taifa la pili kwa nguvu za kijeshi ni propaganda tu, urusi ni taifa kubwa kwenye nyanja za kijeshi.
 
RUSSIAN DEAD HAND SYSTEM'
To deter the possibility of a U.S. nuclear first-strike, the Soviets created a system called Perimeter, also known as "Dead Hand."
The Dead Hand was a computer system that could autonomously launch all of the USSR's nuclear weapons once it was activated, across the entirety of the Soviet Union.
Dead Hand was a weapon of last resort. It was created to ensure that even if the Soviet leadership was wiped out, a nuclear response could still be launched against the West and NATO in retaliation.
After Dead Hand was activated by Soviet military officials, "the first thing it does is check the communication lines to work out if there's anyone alive and in charge of the Soviet military," Alok Jha, author of The Doomsday Handbook, told National Geographic. "If they're not alive, it takes over."
If Dead Hand did not detect signs of a preserved military hierarchy, the system would perform a check for signals of a nuclear attack, such as a change in air pressure, extreme light, and radioactivity.
If the system concluded that a nuclear strike had taken place, Dead Hand would proceed to launch all of the remaining nuclear weapons from all of the silos throughout the Soviet Union at targets across the Northern Hemisphere.
 
nuclear warfare is an entirely different kind of destruction. There's no fronts or fighting involved, just flip of a switch and attempts at missile defense. Within hours not months or years. There could literally be no cities left in the two fighting countries.
 
Ukiingia youtube kuna documentary nyingi sana kuhusu USA kuanzia White house, ndege, marine one, magari wanayotumia etc.
Hawa wapinzani wa marekani wameficha kila kitu hawatoi hata maelezo hapo najua wajua nani mwoga
 
Si angempiga tu, kama unamuweza inaanza tu, siku nyingi ni vitisho vitisho tu.

Marekani chini ya Barack Hossein Obama ina uwezo wa kutishia na kupiga, nafikiri upolisi wa dunia kwa marekani umetosha na sasa ifanye kwa vitendo.

Ipige, inatuhadaa, kama ataigusa Urusi atazisababishia matatizo makubwa baadhi ya nchi za Ulaya.

Nionavyo mimi uwezo na vitisho vya Marekani ishafika mwisho.

Pamoja na kwamba USA wana jeshi imara, ila hawawezi kuipiga Urusi bila na wao kuchechemea. Urusi sio Afghanistan au Iraq au Libya.
 
Haya sasa usa vs russia na iran vs israel north korea vs s.korea
 
Hyo inajulikana live kuwa usa akishambulia iran lazma russia aingie vitan
 
Ni ya ngapi? Usioende kukalili mambo mkuu, Urusi ndo Taifa la pili kwa nguvu za kijeshi kama vipi leta list yako.

sibitisha kwa data sahihi urusi ni ya pili.wewe unakariri muungano wa kisoviet wa urusi zilikuwa nchi nyingi sahivi imebaki urusi pekee haiwezi
 
Putin kafyata mkia.

People are deluded about Russians, hawana lolote hata Ka-Uingereza tu kanawakalisha chini na kuwatoa kamasi, si walijaribu kuingia last month karibu na SE kabalozi kao kakawa matatani .... .... Chezea hangine!

Back
Top Bottom