kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
Watu no wehu uwezo wq vita sio masilaha tuu hata nguvu za kiuchumi Marekani uchumi wake in mkubwa anaweza pigana vita kwa miaka lakini Russia miazi name amekaa chini
Hahahahaa hao Urusi hawana lolote.
They are way overrated and the USA ain't never scared of them.
Acha kuota kiongozi, wewe uoni wanakimbilia vikwazo. Kuna bomu linaitwa yakhort hilo, linaifuta aircraft carriers kwa seconds chache tu. Usitishike na carrier's group za usa ni mapambo tu kwa mrusi.