Obama kaharibu picha

Obama kaharibu picha

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,650
Reaction score
21,485
obama_photo.jpg
Obama kamharibia jamaa pembeni yake pozi lol
 
kwa nini huyu kmuu anapenda sana kupiga picha,nashindwa kuelewa!
 
timing za picha si mchezo, naona kajifikisha 🙂
 
Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!!
 
Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!!

Ndenga kwa tafsiri ya kwetu ni ajali. Mchango wako kwenye hii post umeshabihiana sana na tafsiri ya Jina lako.
 
Doh Baba naniii hapo confo zero maana kazungukwa na mipandikizi ya kiuchumi na kisiasa, hakawii kaambiwa soga hapa dogo na wewe uonekane si unaona sura nyingine hizo zinajiamini sana tu ila ya Baba Riz, dah hana uhakika what neksti
 
Mbona kama anamshangaa BO, chek macho
 
Back
Top Bottom