Obama invites African leaders to G8 summit; including Kikwete

Another trip for JK?


Water shortages have hit communities in
Somalia, Ethiopia and Kenya.

AFP: Obama invites African leaders to G8 summit

Hili sio jambo jema kwa Tanzania hata kidogo na sielewi rais wa Tanzania anaenda kwa sababu gani? Kwamba Tanzania wana mbinu nzuri sana za kupambana na njaa? Na hata kama nchi za Africa zina ukame kwa nini wakaongelee Marekani? Ukiangalia Tanzania na Ghana ni nchi mbili ambazo Marekani wana interest kubwa sana na huu mkutano ni kisingizio tu lakini kubwa hapa ni kukamilisha mipango yao.

Trip ya Brazil nilikuwa na mashaka nayo sasa naona inafuatiwa na safari nyingine Marekani. Hawa mabwana wanataka uranium yetu kwa nguvu zote na kwa bahati mbaya uongozi wetu hauko makini sana!
 
Another trip for JK?

(AFP) – WASHINGTON — US President Barack Obama has invited the leaders of Benin, Ethiopia, Ghana and Tanzania to take part in a session on food security in Africa at the G8 summit this month, officials said Thursday.

Obama will host the leaders of the rich nation's club at his Camp David retreat in Maryland between May 18-19.

He has now asked Benin's president and African Union chairman Thomas Boni Yayi, Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi, President John Mills of Ghana and Tanzania's President Jakaya Kikwete to join the session on food security.

Fears of famine and drought are stalking several areas of Africa.


Water shortages have hit communities in Somalia, Ethiopia and Kenya.


Aid groups have also sounded alarm over a separate hunger crisis in the west of Africa where the Sahel region of Burkina Faso, Chad, Mali, Mauritania and Niger has been hit hard by drought, high food prices and conflict.


AFP: Obama invites African leaders to G8 summit

Obama atalipia gharama za raisi wetu au ni sisi tunaokatwa P.A.Y.E vinginevyo asiende wakimaliza watutumie minutes
 
Hii ndio safari anayotakiwa kwenda US maana kaalikwa na mkuu mwenzie wa nchi, sio kwenda US kwenye NGO meetings.
 
Hivi Africa Union (AU) wanashindwa kukaa chini na kutafuta njia ya kupambana na njaa? HQ wajengewe na wachina, food security wapewe 'notes' na wamarekani, AU ina faida gani? Ni lini sisi waafrika tutakubali kuwa hatuwezi ku-import solutions za matatizo yetu toka mataifa ya magharibi? Watu wazima watapanda ndege kwenda USA kuongelea food security kwa nini? Fedheha!
 
Naelewa sababu za kuwaalika wakuu wa nchi za Ethiopia, Benin na Ghana lakini Tanzaia sielewi kwanini.

Hapo umenena! Nchi husika zenye matatizo hayo yakiwemo maji na njaa kama zilivyotajwa hapo juu hazijaalikwa, inaalikwa tanzania ambayo haina shida ya njaa wala maji. Mito, maziwa, bahari vyote tunavyo.. Mashamba na mvua ndo usiseme. Nna wasi wasi kikwete kupitia kwa balozi wa tanzania huko marekani au yeye moja kwa moja ameomba mwaliko huo ili kuwaziba midomo wanaolalamikia safari zake nje ya nchi za kujipeleka bila sababu Ya maana ili atajirike kwa posho. Kwa maana ya kwamba akimaliza urais mkimuuliza kuhusu utajiri wake atasema posho za safari hzo. We kama kila tripu ni zaidi ya mil. 10 ukijumlisha na mkewe ndo kabsaa mamilioni.

By the way hii mikutano huwemo ndani ya kalenda ya mikutano duniani ya mwaka mzima, so ni rahisi kuomba.
 
Angalizo...ni food security meeting. Sio agenda za Carl Peter za kugawa mali zetu bure huko kwenye vikao vya wakubwa kama hawa.
 
Duh! term hii ahakikishe amenyoosha suti zake zote mambo ya kwenda na dobi tena kama ile safari ya Brazil hatutaki tena,hela za kodi za Watanzania zinaliwa mno.Wakati wa Ziara ya Brazil kila mmoja alilamba Dollor 6,000 sasa sijui kwa safari hii deligates watalamba dollor ngapi jamani 10,000 kila mmoja? Kama vipi adhibiti watu wengi wasiambatane naye maana mambo ya kwenda na waandishi wawili wawili si sahii!
 
Vasco dagama is on preparation to camp David bila shaka wakati wa safari ya kurudi atapitia na pahala pengine
 
Hapo lazima aende. Duh hawezi iacha safari kubwa kama hiyo labda kuwe na kikwazo.
*

kama alienda kule ulaya kijijini wakati madaktari wamegoma watu wanakufa unategemea nini kuna kikwazo chochote kinaweza mzuia!
 
JK hapo najua ameshaanza kusort mbunge gani wa viti maalum atakaenda naye huko.

Hivi kwenye hiyo trip ataenda na mpishi na mpiga pasi tena?

Safari njema mkuu wakilisha nchi zenye watu wenye maziwa makubwa ukanda huu wa Africa

kwani upishi nao sio kazi?hata nao wanahitaji padiem sawasawa na wabunge.Ishu ni kupunguza idadi ya watu anaoenda nao
 
Kikwete akienda Migwanda itaanza kulalama na kuhesabu hatua zake.

Hivi Watanzania wanaolalamikia safari za Kikwete zisizo na tija ni Chadema peke yake? Kama ni hivyo basi Chadema ndio waliobaki na akili Tanzania.
 
Four African leaders to join food security talks at G8 summit



images.jpg
Meles Zenawi, the Prime Minister of Ethiopia, is among the four African leaders to attend the G8 summit

STORY HIGHLIGHTS

  • Leaders of Benin, Ghana, Tanzania and Ethiopia will attend the talks
  • The summit comes amid fears of famine and drought in some parts of Africa
  • Obama hosts the meeting between May 18-19 in Camp David


(CNN) -- President Barack Obama has invited four African leaders to join food security talks at the annual G8 summit this month.
Presidents Yayi Boni of Benin, John Mills of Ghana and Jakaya Kikwete of Tanzania, and Prime Minister Meles Zenawi of Ethiopia will attend the summit at the presidential retreat in Camp David.
They will join Obama and other leaders of G8 member nations for a session on food security in Africa, the White House said in a statement.
G8 -- or Group of Eight -- comprises Canada, France, Germany, Italy, Japan, Russia, the United Kingdom, and the United States.
The summit planned for May 18-19 comes amid fears of famine and drought in some parts of Africa.
Somalia, Ethiopia and Kenya battled drought last year, and aid groups have warned that several other nations are at risk of a hunger crisis.
"A combination of drought, poverty, high grain prices, environmental degradation and chronic under-development is affecting Burkina Faso, Mali, Mauritania, Niger, Senegal, Chad, northern Cameroon and Nigeria," the United Nations said this year. "More than 10 million people are struggling to get enough to eat, including 5.4 million in Niger."
The food and nutrition insecurity threatens the fragile development the region has made, according to Valerie Amos, the U.N. aid chief.



Source- Four African leaders to join food security talks at G8 summit - CNN.com
 
Back
Top Bottom