Obama invites African leaders to G8 summit; including Kikwete

Huyu jamaa Baraka anaalika vilaza wenzake! DDoh, Afrika nzima amekosa watu wenye fikra anaalika hawa? Hapo laba Meles tu niye anaweza kujenga hoja. Huyu wa Benin ni kwa vile nchi yake inafanya vizuri sana kiuchumi. Lakini JK yumo orodhani kwa kipi?
 
Hivi Africa Union (AU) wanashindwa kukaa chini na kutafuta njia ya kupambana na njaa? HQ wajengewe na wachina, food security wapewe 'notes' na wamarekani, AU ina faida gani? Ni lini sisi waafrika tutakubali kuwa hatuwezi ku-import solutions za matatizo yetu toka mataifa ya magharibi? Watu wazima watapanda ndege kwenda USA kuongelea food security kwa nini? Fedheha!

AU is a misplaced oufit, infact regional blocks are doing far much better at influencing the general course of action be it peace in warring states, avoiding coups, hedging internal affairs.....AU is an animal i read on papers only. They lost face when they let the only person with a vision be assassinated by the west, over what exactly? No African can tell, look at Libya.....#going under for a while (exams) buh seems a new breed from Kenya is giving u sleepless naits. Pretty sharp too....
 
Naelewa sababu za kuwaalika wakuu wa nchi za Ethiopia, Benin na Ghana lakini Tanzaia sielewi kwanini.

Regional dynamics, hapa kwa East Africa kwenye tatizo kubwa kabisa la famine ilikuwa waende waKenya akaona kuchagua waKenya watu wanaweza kusema anapendelea kwa baba yake.
 
hili swala la kuitwa JK sijui majirani zetu wamejisikiaje-maana wao wanamchukulia obama kama mwana familia wao 'asiyewajali'
 
jk yupo kwa list kwa sababu:nchi hii is very strategically for americas "investment" hasa madini na misaada ya ukimwi

chezea mzungu wewe....phewww
 
Sasa mbona Somalia na Kenya wameachwa na wao ndo wanakabiliwa na baa la njaa na wakimbizi kibao waliokimbia ukame?
 
..atakwenda kutuaibisha tu huko.

..mmesahau mkutano uliopita alisema "manufacturing teachers"??

..pia mkutano wa IMF hapa dsm alikuwa anajichekesha-chekesha, off point, na alisema atampa zawadi ya tanzanite Isha Sesey.
 
It's all about money nowadayz!
Tanzania has enlisted one of the famous PR companies in the US.
Soma kijarida cha "Foregn Affairs". Ndiyo maana mkulu aliclose wall street one day, akapata slot ya prime time CNN na MSNBC ... it's all about money, you buy these things, they don't just happen.
 
Tumepata habari kwamba mkuu wa nchi ameamua kuanza kutuma wawakilishi kwenda kwenye mialiko isiyo na muhimu sana kwa nchi ili kupunguza gharama kubwa anazobebesha watanzania maskini kwenye safari zake na msafara mrefu unaobeba watu kibao wakiwemo wapiga pasi
kwa kuwa mimi ni mmoja wa watanzania ninayeumizwa sana na safari zisizo na umuhimu kwa taifa letu za huyu mzee nimefarijika sana kwa mpango huo
vilevile tunaona kama huyu mtu ameanza kuelewa majukumu yake ambayo hapo zamani alifikiri kazi yake ni kusafiri tuu!Maombi yetu yamefanya kazi
 
although wanasema its never too late..., I guess in this scenario It is... (too late I mean)
 
kichwa cha habari kinasema mbatia kumwakilisha,habari yako haina sehemu imesema kuwa mbatia atamwakilisha!source ya taarifa pls!
 
Tumepata habari kwamba mkuu wa nchi ameamua kuanza kutuma wawakilishi kwenda kwenye mialiko isiyo na muhimu sana kwa nchi ili kupunguza gharama kubwa anazobebesha watanzania maskini kwenye safari zake na msafara mrefu unaobeba watu kibao wakiwemo wapiga pasi kwa kuwa mimi ni mmoja wa watanzania ninayeumizwa sana na safari zisizo na umuhimu kwa taifa letu za huyu mzee nimefarijika sana kwa mpango huo vilevile tunaona kama huyu mtu ameanza kuelewa majukumu yake ambayo hapo zamani alifikiri kazi yake ni kusafiri tuu!Maombi yetu yamefanya kazi
niliona 'gulf stream' inaruka jana mida ya saa 11-12 jioni hivi ikielekea masafa ya kasikazini. Sijui itakuwa ndio huo ujumbe wa tz!
 
Tumepata habari kwamba mkuu wa nchi ameamua kuanza kutuma wawakilishi kwenda kwenye mialiko isiyo na muhimu sana kwa nchi ili kupunguza gharama kubwa anazobebesha watanzania maskini kwenye safari zake na msafara mrefu unaobeba watu kibao wakiwemo wapiga pasi
kwa kuwa mimi ni mmoja wa watanzania ninayeumizwa sana na safari zisizo na umuhimu kwa taifa letu za huyu mzee nimefarijika sana kwa mpango huo
vilevile tunaona kama huyu mtu ameanza kuelewa majukumu yake ambayo hapo zamani alifikiri kazi yake ni kusafiri tuu!Maombi yetu yamefanya kazi
Nauliza: What is your source? Ametangaza rasmi au ni tetesi? Na hapo Bold: Kwa vigezo gani?
Maana kwa mtazamo wangu G8 summit is one of the most strategic platforms duniani, ana delegate
Lakini msibani Malawi anaenda mwenyewe (tena during a crisis between the parliament and the government)
Sasa naomba kujulishwa, what is important for this country and what is not? Na aliamua lini?
 
Ndugu, priority za JK ni very subjective! Kati ya Davos na Mgomo wa madaktari nchi nzima, Davos stands. Kati ya Bunge na Msiba, msiba stands! Akiwa na safari ya nje Kanumba akifa, Kanumba stands! No wonder as between his personal interests and those of the nation, zake+Riz+Mwanaasha+mbayuwayu stand!
 
Naelewa sababu za kuwaalika wakuu wa nchi za Ethiopia, Benin na Ghana lakini Tanzaia sielewi kwanini.

Strategic location of Tanzania to the Great Lakes and proximity to war torn countries such as DRC and Somalia are some of the reasons behind this invitation. However, on the issue of food security Tanzania is considered to be part of the solution if large scale farming projects currently in pipeline are turned into reality. Refer to large land allocation to AgriSol in Katavi region. AgriSol intends to use huge tracts of land (800,000 acres) and substantial amounts of water to produce biofuels and genetically modified crops for export.
 
Back
Top Bottom