Obama invites African leaders to G8 summit; including Kikwete

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
662
251
Another trip for JK?

(AFP) – WASHINGTON — US President Barack Obama has invited the leaders of Benin, Ethiopia, Ghana and Tanzania to take part in a session on food security in Africa at the G8 summit this month, officials said Thursday.

Obama will host the leaders of the rich nation's club at his Camp David retreat in Maryland between May 18-19.

He has now asked Benin's president and African Union chairman Thomas Boni Yayi, Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi, President John Mills of Ghana and Tanzania's President Jakaya Kikwete to join the session on food security.

Fears of famine and drought are stalking several areas of Africa.


Water shortages have hit communities in Somalia, Ethiopia and Kenya.


Aid groups have also sounded alarm over a separate hunger crisis in the west of Africa where the Sahel region of Burkina Faso, Chad, Mali, Mauritania and Niger has been hit hard by drought, high food prices and conflict.


AFP: Obama invites African leaders to G8 summit
 
Hapo lazima aende. Duh hawezi iacha safari kubwa kama hiyo labda kuwe na kikwazo.
 
Atakuwa anafurahia sana, natamani sasa tumpe discpline ndogo! wale jamaa wa hapa dc, tufanyeni kitu sasa huyu mtalii apate akili maana lazima aje!
 
Sababu Ya Msingi Nilipata Mwaliko.........Tunataraji Maagizo yake Foreign Affair kuratibu safari zake safari ataenda na 10 delegates Only!
 
Duuh!!!!
hivi hata aki R.I.P waziri wake ataenda tu wajameni?
huyu rais nae amezidi uzito. hajui kuwa tumembeba mabegani mwetu eeh! kama vipi tumbwage.
 
Safi sana JK, anza kupiga pasi zile suti zako ulizoongwa, delegation ya watu kama 30 muhimu, afu usisahau kwenda na yule mtoto uliye-match nae nguo kwenye ile photo (catherine magige), au kama vp ongea na maximo afanye import ya totoz toka brazil, pia usisahau kuweka sawa mambo ya blad... Check CD5 pia mkuu, akikisha ziko nomo... Wakati wako ndo huu, kula raha...
 
Hakuna lolote. Mwaka jana mlichochea baadhi ya watanzania warship Washington DC eti waandamane kupinga Rais Kikwete , alipofika Washington hakuna aliyejitokeza. Hata viongozi wa maandamamo nao wakaingia mitini . Dua la kuku halimpati mwewe.
 
Atakuwa anafurahia sana, natamani sasa tumpe discpline ndogo! wale jamaa wa hapa dc, tufanyeni kitu sasa huyu mtalii apate akili maana lazima aje!

Hakuna kitu nyie. Hii si mara ya kwanza mnabwabwaja hayo mambo na mwishowe mnadanganyana kwenye keyboard. Hatimaye huwa tunawaona mkilambalamba vijuisi kwenye mnuso anaoandaa balozi kwenye mkutano wa JK na ninyi.
 
JK yaani kama namuona vile, hapa Makamo wa Rais wala Waziri mkuu wasijisumbuwe kuunyemelea huu mnuso wa kwenda kushikana mkono na Obama.
 
nina wasiwasi jk alituma maombi rasmi waalikwe..obama naye bogus,eti aliwahi kuisifia hii nazi!uranium ya namtumbo imemtoa akili obama,na second term asahau
 
nina wasiwasi jk alituma maombi rasmi waalikwe..obama naye bogus,eti aliwahi kuisifia hii nazi!uranium ya namtumbo imemtoa akili obama,na second term asahau labda aibe kura kama bush
 
Haya jamani trip ya USA hiyo, mie sijui nijoin???.... nikale marupurupu ya bure na kufanya shopping etc
 
Huu mwaliko Rais anaruhisiwa kwenda na mpishi na mpiga pasi wake au vyote ni inclusive?
 
Hakuna lolote. Mwaka jana mlichochea baadhi ya watanzania warship Washington DC eti waandamane kupinga Rais Kikwete , alipofika Washington hakuna aliyejitokeza. Hata viongozi wa maandamamo nao wakaingia mitini . Dua la kuku halimpati mwewe.
Thubutu Yao wote wamezamia unataka wakamatwe warudishwe?
 
Back
Top Bottom