Obama invites African leaders to G8 summit; including Kikwete

Rais Obama amewaalika viongozi wanne wa Afrika kuhudhuria mkutano wa G8 tarehe 19 Mei.
Walioalikwa ni: Atta Mills wa Ghana, Zenawi wa Ethiopia, Kikwete wa TZ na Yayi Boni wa Benin.
 
Ninahakika mkweree ataondoka wiki mbili kabla ya tarehe ya mwaliko ili akavinjali na Snoopy dog dog!!
 
Sipati picha Cameroon angewaalika vyama vya upinzani EA ikiwemo CDM. Kwa Obama sijaona watu wakitoa tafsiri zao.
 
Gayz oriented......why these leaders always if not us puppet....g8? On least developed countries wapi na wapi km sio kutumiwa na wakatumika na hakuna heshima yoyote kwa viongozi hao..kweli nimeamini johari za mtu tena mzima ni mbili.........
 
JK awe makini isije ule ugonjwa wake wa kifafa ukampanda akaanza kuanguka ovyo kwenye huo mkutano, kama anavyofanyaka jangwani...
 
Hao viongozi wa Afrika walioalikwa ndio waliochakachuliwa kuliko wote.TUNAWAPA HONGERA KWA KUZIUZA NCHI ZAO.
Another trip for JK?

(AFP) – WASHINGTON — US President Barack Obama has invited the leaders of Benin, Ethiopia, Ghana and Tanzania to take part in a session on food security in Africa at the G8 summit this month, officials said Thursday.

Obama will host the leaders of the rich nation's club at his Camp David retreat in Maryland between May 18-19.

He has now asked Benin's president and African Union chairman Thomas Boni Yayi, Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi, President John Mills of Ghana and Tanzania's President Jakaya Kikwete to join the session on food security.

Fears of famine and drought are stalking several areas of Africa.


Water shortages have hit communities in Somalia, Ethiopia and Kenya.


Aid groups have also sounded alarm over a separate hunger crisis in the west of Africa where the Sahel region of Burkina Faso, Chad, Mali, Mauritania and Niger has been hit hard by drought, high food prices and conflict.


AFP: Obama invites African leaders to G8 summit
 
Obma hapendi wau wenye akili ambao watamwambia ukweli. Anapenda watu washamba, wenye kuabudu uzungu nk. Mbona haamwaliki Kagame, Museveni au hata Kibaki? Hawa sio 'yes sir'
 
Obma hapendi wau wenye akili ambao watamwambia ukweli. Anapenda watu washamba, wenye kuabudu uzungu nk. Mbona haamwaliki Kagame, Museveni au hata Kibaki? Hawa sio 'yes sir'

.
Hao wenye akili akiwaalika watamhoji juu ya azma yake ya ku-legalize Use-nge. Lakini hao aliowaalika wanasujudu miguuni pake na hata kama wakipewa nafasi wamuulize swali hawawezi ila kumuimbia wimbo wa praise.
.
 
Back
Top Bottom