Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 91,915
- 112,266
Mitt Romney hawezai kushindana na Obama sasa hivi upeo wao umepishana sana. Romney anajicontradict kwa kila jambo. Donald Trump ana chuki binafsi
Obama yuko overrated sana. Halafu hana upeo kama unavyodai. Ni wa kawaida sana. Obama hata Bill Clinton huwezi kumlinganisha naye.
Kwenye primaries za 2008 mama Clinton alikuwa akishinda debates zao zote. Sema Obama alikuwa na kismeti tu kwa vile alikuwa mgombea mwenye historical significance.
Halafu unamu underestimate Gov. Romney. Jamaa ana shahada mbili za mkupuo toka Harvard....ya sheria (Juris Doctor) na MBA. Siyo kilaza hata kidogo.