Obama bar & guest house - esso ndani ya A- town

Obama bar & guest house - esso ndani ya A- town

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Posts
4,517
Reaction score
1,428
wadau weekend hii(juzi ) nilikuwa hapa. nawashauri wadau mlioko arusha.
mpite pite huku. ni fuul kujiachia. huduma zote unapata. ob.jpg
 
nimecheka kweli. hiyo hesabu haijakamilika, hiyo tsh 900 inatokana na huduma gani ?
 
Hiyo 900 ya nini au ndio kupigwa bao? halafu nani kanywa bia mbili kati yako na mdau?
 
Hiyo 900 ya nini au ndio kupigwa bao? halafu nani kanywa bia mbili kati yako na mdau?

Atakuwa kanywa jamaa wkt akisubili demu afike na demu kapiga moja akaona hapa nikuwahi fasta ndani

Hiyo 900 kwa ajili ya services
 
Inaonyesha wikiendi ulivunja amri ya MUNGU tubu sasa.
 
nimecheka kweli. hiyo hesabu haijakamilika, hiyo tsh 900 inatokana na huduma gani ?

nadhani hiyo mia 900 INAUHUSIANO NA MATUMIZI YA KONDOM! maana kapata room,kapata kondom na huko ndani anafanya nini? ndomu anazitumia na nani? Km mia 900 ilitosha kumpata mtu!kweli hapo panafaa!
 
Mi hua siingii gest za 5000, nikuanzia 15,000 kwenda juu hiyo itakuwa uswazi kinoma na haina ac halafu feni linalia pa pa pa pa pa pa pakapapa pa pa. Kitanda kinalia kwechukwechukwechukwechu. Pua lazima uibane kidogo upumulie juu juu maana harufu. Halafu kwenye dust been lazima ukute kuna ndom zilizotumika.
 
Kwa bei ya chumba Tshs. 5000 kwa Arusha, hiyo sehemu itakuwa unga limited. Mkuu hukuibiwa simu kweli????
 
  • Thanks
Reactions: Paw
hiyo mia tisa wamemchomekea hahahaaaas
900 ni kwa ajili ya bahashishi. Kwa kuwa hatuna kawaida ya kutoa "tips", wameiweka hapo kabisa.
Unaruhusiwa kuongeza tip lakini sio kukwepa ilokwishawekwa kwenye bili.
Mambo si hayo, kwa kuangalia tu hicho kikaratasi cha bili utaelewa ni guest ya aina gani.
 
Mkuu sure! hata mimi huwa siendi guest za 5,000. maana unaweza ukaondoka nammagonjwa na kujitibu ika cost 50,000/=

Mi hua siingii gest za 5000, nikuanzia 15,000 kwenda juu hiyo itakuwa uswazi kinoma na haina ac halafu feni linalia pa pa pa pa pa pa pakapapa pa pa. Kitanda kinalia kwechukwechukwechukwechu. Pua lazima uibane kidogo upumulie juu juu maana harufu. Halafu kwenye dust been lazima ukute kuna ndom zilizotumika.
 
Mkuu sure! hata mimi huwa siendi guest za 5,000. maana unaweza ukaondoka nammagonjwa na kujitibu ika cost 50,000/=

Yah unaenda sehemu unaketi kwenye kochi soafa safiiiii, kiyoyozi full kipupwe, unaagiza vyakula na vinywaji ndani kwa simu tu. Mkimaliza majamboz mnaoga swaaaafiiiii. Mnaagana, ukitaka siku nyingi unapiga simu tu kwa reservation kisha unamwambia mtoto atangule ukifika unakuta mtoto katulia anasubiri mle raha. Ila ukimwi nouma. ukimwi unaua
 
Back
Top Bottom