Escobar
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 574
- 440
Hii imeotokea jana wakati anawashukuru wapiga campaign wake kwa kujitolea tena wengine bila malipo yaani volunteers. He suddenly become emotional na kujikuta akitokwa machozi. Jicho langu ni hapa kwetu hivi huwa inakuwaje baada ya mgombea kuwa ameshinda wale wapiga campaign wake wanapokutana naye kwa mara ya kwanza akiwa kama rais huwa wanazungumza nini au mipango gani na anawashukuruje? Au ndiyo huwa wanaanza kugawana vyeo na madeal mengine? Tizama mwenyewe hapa President Obama: "I'm Really Proud of All of You." - YouTube