Obama atokwa machozi hadharani

Obama atokwa machozi hadharani

Huna lolote! Nani asiyekujua kuwa wewe ni mwislamu uliye upande wa wapalestina ambao hawakutaka Obama ashinde? Wewe ni mshabiki wa Rob Me, ooh sorry Romney. Unaona tu kibanzi kilicho kwenye jicho la Obama ila boriti iliyoko kwa Romney huioni? Mnafikim wewe, ondoa kwanza boriti iliyoko kwa Romney ili upate kuona vyema kibanzi kilichoko kwa Obama! Mpe huu ujumbe na hawara yako Natalia!

Hapo kwenye blue, mimi sio muislamu, mimi ni Mkristo safi kabisa. Angalia jina na avatar yangu. Pia soma signature yangu hapo chini.
Sasa hapo kwenye red, mimi napinga sana ushoga na utoaji mimba (maana vyote viwili ni dhambi kama biblia inavyosema). Ndio maana simuungi mkono mtu yoyote anayepigia debe dhambi hizo, hata awe nani.
Romney na Republican wenzake wanasimamia maadili mema, wanapinga ushoga na utoaji mimba.
Je wewe, unaunga mkono ushoga ?? Je wewe unagunga mkono utoaji mimba ??
 
Hii ya Obama ni genuine tears kabisa si hii ya kwetu ya kinafiki na kutaka umaarufu tu. Yule wa kwetu angekuwa na uchungu na wagonjwa wetu wanavyoteseka Muhimbili bila vitendea kazi na jana Waziri bila aibu anasema CT Scan ni mbovu!! Badala yake alilia Albino kinafiki wakati wahusika wenyewe wanapeta mitaani na kuamuru kuuawa kwa Ulimboka Mungu akamnusuru!! Bravo Obama. Machozi ni ya ukweli hayo, you are committed to your people, the People of America regardless of who is who!!!
 
Alijua kabisa kuwa safari hii ngoma ilikuwa nzito. Uchaguzi ulikuwa mgumu sana.
Sasa ndio ana kazi ngumu zaidi kuliko alivyokuwa kipindi kinachoisha.
Amepata urais kwa kujitoa sadaka sana, mpaka kuamua kuunga mkono ushoga ili tu apate urais.

Unamaana ana pinga ushoga?
 
Hapo kwenye blue, mimi sio muislamu, mimi ni Mkristo safi kabisa. Angalia jina na avatar yangu. Pia soma signature yangu hapo chini.
Sasa hapo kwenye red, mimi napinga sana ushoga na utoaji mimba (maana vyote viwili ni dhambi kama biblia inavyosema). Ndio maana simuungi mkono mtu yoyote anayepigia debe dhambi hizo, hata awe nani.
Romney na Republican wenzake wanasimamia maadili mema, wanapinga ushoga na utoaji mimba.
Je wewe, unaunga mkono ushoga ?? Je wewe unagunga mkono utoaji mimba ??

Do you keep all the instructions in the Bible? au unafikiri Ukirsto ni kupinga ushoga tu? by the way ukirsto haupingi kitu chochote kile katika approach unayotumia hapa.
 
Hii imeotokea jana wakati anawashukuru wapiga campaign wake kwa kujitolea tena wengine bila malipo yaani volunteers. He suddenly become emotional na kujikuta akitokwa machozi. Jicho langu ni hapa kwetu hivi huwa inakuwaje baada ya mgombea kuwa ameshinda wale wapiga campaign wake wanapokutana naye kwa mara ya kwanza akiwa kama rais huwa wanazungumza nini au mipango gani na anawashukuruje? Au ndiyo huwa wanaanza kugawana vyeo na madeal mengine? Tizama mwenyewe hapa President Obama: "I'm Really Proud of All of You." - YouTube

Any way. this is too emotional for a president. inamaana yeye analizwa na mambo yanayomfaidisha yeye tu? mbona sijamuona akilia namna un armed watoto na wanawake wanapotandikwa risasi uko syria.
 
Unamaana ana pinga ushoga?

Obama kama 'individual' anapinga ushoga.
Lakini kama mwanasiasa anaunga mkono ushoga !!!!
Mtu akiwa na hali hii anaitwa kuwa yuko 'Politically Correct'.
Yaani kisiasa yuko 'sahihi' kwa kuongea maneno 'matamu' mbele za watu ili achaguliwe !!!!
Upo hapo ????
Hiyo ndio siasa !!!!
 
Unamaana ana pinga ushoga?

Wewe jiulize, kwa nini hakuunga mkono ushoga mwaka 2008 !!!
Ila mwaka 2012 mwamzoni akatamka 'kuunga mkono' ushoga.
Alidai kuwa 'amejadiliana' sana na familia yake na 'wamekubaliana' kuwa na msimamo huo wa kuunga mkono ushoga !!!!!
 
Do you keep all the instructions in the Bible? au unafikiri Ukirsto ni kupinga ushoga tu? by the way ukirsto haupingi kitu chochote kile katika approach unayotumia hapa.

Ukristo unapinga ushoga, angalia hapa:-

01 Wakorintho 06:08-09 inasema hivi
.....
'...8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi...'
 
Do you keep all the instructions in the Bible? au unafikiri Ukirsto ni kupinga ushoga tu? by the way ukirsto haupingi kitu chochote kile katika approach unayotumia hapa.

Kwa kuongezea hapo kwenye kupinga ushoga na utoaji mimba, (Angalia sana pale kwenye red !!!)
Biblia inasema hivi:-

Warumi 01:24-32 inasema......

'24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao. '
 
Huna lolote! Nani asiyekujua kuwa wewe ni mwislamu uliye upande wa wapalestina ambao hawakutaka Obama ashinde? Wewe ni mshabiki wa Rob Me, ooh sorry Romney. Unaona tu kibanzi kilicho kwenye jicho la Obama ila boriti iliyoko kwa Romney huioni? Mnafikim wewe, ondoa kwanza boriti iliyoko kwa Romney ili upate kuona vyema kibanzi kilichoko kwa Obama! Mpe huu ujumbe na hawara yako Natalia!

Mkuu jamaa huyu nilikuwa nafatilia post zake kuhusu OBAMA - atasema lolote kuonyesha OBAMA si lolote si chochote, cha ajabu hazungumzii chochote kuhusu ubaya wa Romney wa kuwadhalau raia wenye kipato cha chini, chuki zake zisizo na sababu kuhusu Wachina, upendaji wake wa kuvuruga DUNIA kwa maslahi ya Wayahudi! Huyu anacho tamani ni kuona Dunia inaingia vitani kuishambulia IRAN kwa ajili ya wajomba zake - mtu wa ajabu sana.

Eti OBAMA alishinda kwa bahati!! Obama katumia latest tekinolojia kulenga lika fulani, raia wazungu wenye kipato cha kati/chini, walatino, native Americans, blacks etc wapiga kura wote kutoka states zote 50+ alikuwa nao kwenye database yake kabambe aliyo tayarisha ndani ya miezi 18 kabla ya upigaji kura wenyewe. Alicho fanya ni kutafuta ma-volunteers wanapatiwa majina kutokana na database wanapitia nyumba hadi nyumba kuwashawishi wapiga kura, kutuma ujumbe kwa clients wa facebook ambao anajuwa ni mashabiki wa chama chake - wanaelezwa nao wasambaze ujumbe kwa marafiki zao ambao wako kwenye facebook zao na wao wanasambaza kwa wengine, akili tu ndio ilitumika pale - siyo kwamba ameshinda bila ya kufanya homework.

Kwa hiyo namshauri mwenzetu huyu a-swallow his pride akubari kwamba OBAMA alimzidi kete Romney, naona Netanyahu mwezi mzima huu atakuwa anaomboleza!! Mwambie asubiri mpaka miaka minne ipite kwanza na sina hakika kama atakuwa yuko bado madarakani - Dunia na Wayahundi wenye kutumia busara kama Eud Barak wamechoshwa na viongozi wapenda VITA.
 
Pinda akilia AIBU, Obama kalia eti 'VERY TOUCHING'. Kuongoza watz inabidi uwe na roho ngumu sana

Good point!! lakini mkuu, kulia mbele ya official public ni udhaifu!! Leader has to hide his/her emotions!! Pinda is the weakest PM we have even seen in the history of this country!!
 
Kwa kuongezea hapo kwenye kupinga ushoga na utoaji mimba, (Angalia sana pale kwenye red !!!)
Biblia inasema hivi:-

Warumi 01:24-32 inasema......

'24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao. '

Haujajibu hoja yangu. huu ndio mwisho wa ukirsto?
 
Haujajibu hoja yangu. huu ndio mwisho wa ukirsto?

Huu sio mwisho wa ukristo.
Ukristo unakataza mambo mengi maovu kama hayo hapo niliyotaja na mengine mengi.
Sasa ikiwa Obama na wengine ni wakristo (Hivi Obama ni mkristo ??), na wanashindwa kukemea hayo machache tu ya ushoga na utoaji mimba ??
Je hayo mengine mengi sana ??
 
Sehemu pekee nnayojua imetajwa kwenye biblia kwamba itaendeshwa kwa mujibu wa maelekezo yaliyo kwenye biblia ni kwenye KINGDOM OF GOD. Sasa marekani ni KINGDON OF GOD? why do you want to hold their president responsible to the Biblia?
 
Kuunga mkono ushoga alifanya ili apate urais tu.
Sidhani kama akiulizwa maswali magumu ataweza kujibu vizuri.

Kwa mfano akiulizwa maswli yafuatayo:-
  • 'Utajisikiaje binti zako wakifunga ndoa na wanawake wenzao ??'
  • 'Utajisikiaje ikiwa binti yako atapata mimba halafu akaitoa bila sababu yoyote ya msingi ??'
Hapo mwenyewe atanywea tu.

Obama machozi yanamtoka kwa sababu mwenyewe anajua kuwa amefanya mambo mengi yasiokubalika ili apate urais.
Kaunga mkono ushoga, kaunga mkono utoaji 'ovyo' mimba, n.k. ili tu aungwe mkono na watu wengi.

Kiongozi shupavu anatakiwa kuwa tayari kusimamia anachoamini, hata kama atapingwa na watu wengi.
Mfano wa kiongozi kama huyo ni Nyerere. Alisimamia maadili ya uongozi katika azimio la arusha, ila watu wengi walimpinga na kuleta azimio la zanziba.
Sasa ndio tunavuna matokeo ya zaimio la zanzibar kwa kuwa na mafisadi kila kona.

Bado unajizungusha tu mashoga ni asilimia ngapi ya waliopiga kura? masuala ya wanawake kutoa mimba ni pana kuliko unavyolifikiria. Kilichompa uraisi Obama ni sera na utendaji wake wa kazi; nenda Unguja ukaone mashoga walivyoshamiri je utasema Dr. Shein naye anaunga ushoga? Obama kakubalika na wengi na hakuna la zaidi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Huu sio mwisho wa ukristo.
Ukristo unakataza mambo mengi maovu kama hayo hapo niliyotaja na mengine mengi.
Sasa ikiwa Obama na wengine ni wakristo (Hivi Obama ni mkristo ??), na wanashindwa kukemea hayo machache tu ya ushoga na utoaji mimba ??
Je hayo mengine mengi sana ??

Acha kuwa mnafiki hapo Tanzania kuna wengi wanafanya mambo mengi kinyume na ukristo wapo wachungaji wengi tu wanatumia makanisa yao kujineemesha kimaisha na kuwaacha waaumini wao masikini ungeanza nao hao kabla ya kumjadili Obama; kumbuka Obama halitimikii kanisa anawatumikia wamerekani anachofuata ni katiba yao na sio Biblia.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Sehemu pekee nnayojua imetajwa kwenye biblia kwamba itaendeshwa kwa mujibu wa maelekezo yaliyo kwenye biblia ni kwenye KINGDOM OF GOD. Sasa marekani ni KINGDON OF GOD? why do you want to hold their president responsible to the Biblia?

Ulimuona Obama alipokua anaapa mwaka 2008 ??
Aliapishwa Kikristo ??
Kama aliapishwa Kikristo, halafu anaupinga Ukristo na kuukumbatia ushoga ??
Itabidi safari hii aapishwe 'kishoga' !!??

Kwa mwendo anaoendanao Obama, itafika wakati atahalalisha madawa ya kulevya, ili apate kura !!
Maana alihalalisha uhamiaji haramu, na wahamiaji haramu wakampigia kura sana !! Akashinda !!
 
Bado unajizungusha tu mashoga ni asilimia ngapi ya waliopiga kura? masuala ya wanawake kutoa mimba ni pana kuliko unavyolifikiria. Kilichompa uraisi Obama ni sera na utendaji wake wa kazi; nenda Unguja ukaone mashoga walivyoshamiri je utasema Dr. Shein naye anaunga ushoga? Obama kakubalika na wengi na hakuna la zaidi

Chama
Gongo la mboto DSM

Obama hajakubalika na wengi.
Kura zilizopigwa, Obama kapata 51% dhidi ya Romney 49%.
Tofauti ndogo sana ambayo haijawahi kutokea katika historia ya marekani !! Upo hapo ??
Tofauti ni ndogo saaana.
Hii yote ni baada ya Obama kutetea ushoga, kutetea utoaji mimba na kutetea uhamiaji haramu !!
Vigezo hivyo ndio vimempa Obama ushindi mwembamba sana.
Asingefanya hivyo angeshindwa sana.
Angalia,
Obama kapata 73% ya kura za 'Latino' (watu wenge asili ya kutoka Mexico). Hawa ndio wengi wao ni wahamiaji haramu, au ndugu zao na jamaa zao ni wahamiaji haramu !!!
Upo hapo ??
Kwa hiyo 'technically' Obama katumia 'mbinu' za " ... fanya lolote, bora upate ushindi ... "
 
Back
Top Bottom