Acha kuwa mnafiki hapo Tanzania kuna wengi wanafanya mambo mengi kinyume na ukristo wapo wachungaji wengi tu wanatumia makanisa yao kujineemesha kimaisha na kuwaacha waaumini wao masikini ungeanza nao hao kabla ya kumjadili Obama; kumbuka Obama halitimikii kanisa anawatumikia wamerekani anachofuata ni katiba yao na sio Biblia.
Hivi siku moja Obama akitetea madawa ya kulevya utamuunga mkono ??
Mambo haya yanaaza kidogo-kidogo ......
Walianza na utoaji mimba, sasa wamekuja na ushoga !!! Who knows what is next ?? Drugs (cocaine, heroine, etc) ???
Kiongozi wa nchi lazima awe wa kwanza kukemea uovu.
Kiongozi akikumbatia ouvu, nchi yote itapotea.
Angalia Tanzania, viongozi wanakumbatia ufisadi, unaona matokeo yake ??
Sasa imagine viongozi Tanzania wakikumbatia ushoga itakuwaje ??? Obama kapotoka.
Kapotoka kwa makusidi kabisa ili tu apate urais mwaka 2012.
Nasema kapotoka kwa sababu hakuwa hivi alivyo mwaka 2008 !!
Mwaka 2008 Obama alikua saaafi kabisa, mbali ma ushoga, mbali kabisa na utoaji mimba !!!!

Unafurahisha sana kwenye uchaguzi wa juzi Washington state wananchi wake wameruhusu matumizi ya kuvuta bangi; Maryland wameruhusu wananchi wa jinsia moja kuoana hizo ndio siasa za kimarekani ni wengi wape!
Obama hajakubalika na wengi.
Kura zilizopigwa, Obama kapata 51% dhidi ya Romney 49%.
Tofauti ndogo sana ambayo haijawahi kutokea katika historia ya marekani !! Upo hapo ??
Tofauti ni ndogo saaana.
Hii yote ni baada ya Obama kutetea ushoga, kutetea utoaji mimba na kutetea uhamiaji haramu !!
Vigezo hivyo ndio vimempa Obama ushindi mwembamba sana.
Asingefanya hivyo angeshindwa sana.
Angalia,
Obama kapata 73% ya kura za 'Latino' (watu wenge asili ya kutoka Mexico). Hawa ndio wengi wao ni wahamiaji haramu, au ndugu zao na jamaa zao ni wahamiaji haramu !!!
Upo hapo ??
Kwa hiyo 'technically' Obama katumia 'mbinu' za " ... fanya lolote, bora upate ushindi ... "
Unafuatilia nyuzi zako kupitia Fox News? Ushindi wa Obama ni mkubwa kuliko hata alivyoshinda Bill Clinton hakuna raisi kutoka chama Democrat aliyeshinda kwa kishindo kama yeye tangu alivyoshinda Franklin D. Roosevelt; kwa kumalizia nakuuliza upo nchi gani? kama ungekuwa hapa US ungeyajua yote hayo ila kama upo Mbagala huwezi kuyajua; ila huo ndio ukweli wenyewe!
Unafurahisha sana kwenye uchaguzi wa juzi Washington state wananchi wake wameruhusu matumizi ya kuvuta bangi; Maryland wameruhusu wananchi wa jinsia moja kuoana hizo ndio siasa za kimarekani ni wengi wape!
Mkuu siasa za kimarekani wengi wape bangi na ushoga ni siasa za kwenye majimbo yeye hazimhusu; Washington state kura za watu waliotaka bangi ihalalishwe zilikuwa nyingi kuliko walizompa Obama; kama ni ushoga mbona mapadri wengi watumishi wa Mungu wamejiingiza kwenye kuukubali ushoga ungeanza na hao; Obama ni muumini wa kawaida tu!
Unafuatilia nyuzi zako kupitia Fox News? Ushindi wa Obama ni mkubwa kuliko hata alivyoshinda Bill Clinton hakuna raisi kutoka chama Democrat aliyeshinda kwa kishindo kama yeye tangu alivyoshinda Franklin D. Roosevelt; kwa kumalizia nakuuliza upo nchi gani? kama ungekuwa hapa US ungeyajua yote hayo ila kama upo Mbagala huwezi kuyajua; ila huo ndio ukweli wenyewe!
We acha hizo habari wewe !!
Hata kama uko Marekani kwenyewe, ukweli ni huu hapa ..... Swali:-
Kati ya mwaka 2008 na mwaka 2012, ni mwaka gani Obama alishinda ushindi mkubwa zaidi ??
Angalia takwimu hapa chini...
Mwaka 2008 Obama alishinda kwa 52.9%, mwaka 2012 kashinda kwa 50.6%.
Electoral votes, Mwaka 2008 Obama alipata kura 365, mwaka 2012 katapa 303 tu !!
Ameshuka sana hata baada ya kuunga mkono 'maovu' ya ushoga na utoaji mimba ili apate kura !!!
Hapo vipi ???
Bado uko Marekani au umerudi Gongo la Mboto !!!!
hivi pinda akilia sura yake inakuaje?? Mwenye hiyo picha ya hilo tukio, naomba aniwekee nikamilishe siku yangu ya leo! Kwi kwi kwi, au wasira akilia hivi huwa wanafananaje??? Kwi kwi kwi kwi! Nimepita tu hapa!
That is wrong perception,
His attitude, thoughts and action have more value than his appearance, Iam sure he believe in making a Legacy and not worrying about how he look like.loh
Ulimuona Obama alipokua anaapa mwaka 2008 ??
Aliapishwa Kikristo ??
Kama aliapishwa Kikristo, halafu anaupinga Ukristo na kuukumbatia ushoga ??
Itabidi safari hii aapishwe 'kishoga' !!??
Kwa mwendo anaoendanao Obama, itafika wakati atahalalisha madawa ya kulevya, ili apate kura !!
Maana alihalalisha uhamiaji haramu, na wahamiaji haramu wakampigia kura sana !! Akashinda !!
Hapa ni swala la kuhalalisha tu.
Kama ameweza kuhalalisha ushoga na uhamiaji haramu, anaweza kuhalalisha kugombea tena urais !!
Anaweza kufanya hivyo maana kinachotokea hapo ni kutafuta uungwaji mkono na watu wengi, na katika hili Obama ni kinara, maana anaweza kufanya lolote ili apate uungwaji mkono huo !!
Hapa ni swala la kuhalalisha tu.
Kama ameweza kuhalalisha ushoga na uhamiaji haramu, anaweza kuhalalisha kugombea tena urais !!
Anaweza kufanya hivyo maana kinachotokea hapo ni kutafuta uungwaji mkono na watu wengi, na katika hili Obama ni kinara, maana anaweza kufanya lolote ili apate uungwaji mkono huo !!
We acha hizo habari wewe !!
Hata kama uko Marekani kwenyewe, ukweli ni huu hapa ..... Swali:-
Kati ya mwaka 2008 na mwaka 2012, ni mwaka gani Obama alishinda ushindi mkubwa zaidi ??
Angalia takwimu hapa chini...
Mwaka 2008 Obama alishinda kwa 52.9%, mwaka 2012 kashinda kwa 50.6%.
Electoral votes, Mwaka 2008 Obama alipata kura 365, mwaka 2012 katapa 303 tu !!
Ameshuka sana hata baada ya kuunga mkono 'maovu' ya ushoga na utoaji mimba ili apate kura !!!
Hapo vipi ???
Bado uko Marekani au umerudi Gongo la Mboto !!!!
We acha hizo habari wewe !!Hata kama uko Marekani kwenyewe, ukweli ni huu hapa .....Swali:-Kati ya mwaka 2008 na mwaka 2012, ni mwaka gani Obama alishinda ushindi mkubwa zaidi ??Angalia takwimu hapa chini...
Mwaka 2008 Obama alishinda kwa 52.9%, mwaka 2012 kashinda kwa 50.6%.
Electoral votes, Mwaka 2008 Obama alipata kura 365, mwaka 2012 katapa 303 tu !!
Ameshuka sana hata baada ya kuunga mkono 'maovu' ya ushoga na utoaji mimba ili apate kura !!!Hapo vipi ???Bado uko Marekani au umerudi Gongo la Mboto !!!!==============================================================[TABLE="class: infobox vevent"][TR][TD="colspan: 4"][/TD][/TR][TR][TD="colspan: 4"][TABLE="width: 100%"][TR][TD="align: left"]2004 ←[/TD][TD]November 4, 2008[/TD][TD="align: right"]→ 2012[/TD][/TR][/TABLE][/TD][/TR][TR][TD="colspan: 4"][TABLE="width: 100%"][TR][TD="colspan: 4"][/TD][/TR][TR][TH="colspan: 4"]All 538 electoral votes of the Electoral College270 electoral votes needed to win[/TH][/TR][TR][TH="align: left"]Turnout[/TH][TD="colspan: 3"]61.6% (voting eligible)[SUP][1][/SUP][/TD][/TR][TR][TD][/TD][TD][/TD][TD][/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Nominee[/TH][TD]Barack Obama[/TD][TD]John McCain[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Party[/TH][TD]Democratic[/TD][TD]Republican[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Home state[/TH][TD]Illinois[/TD][TD]Arizona[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Running mate[/TH][TD]Joe Biden[/TD][TD]Sarah Palin[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Electoral vote[/TH][TD]365[/TD][TD]173[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]States carried[/TH][TD]28 + DC + NE-02[/TD][TD]22[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Popular vote[/TH][TD]69,456,897[SUP][2][/SUP][/TD][TD]59,934,814[SUP][2][/SUP][/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Percentage[/TH][TD]52.9%[SUP][2][/SUP][/TD][TD]45.7%[SUP][2][/SUP][/TD][/TR][/TABLE][/TD][/TR][/TABLE]=============================================================[TABLE="class: infobox vevent"][TR][TD="colspan: 4"][/TD][/TR][TR][TD="colspan: 4"][TABLE="width: 100%"][TR][TD="align: left"]2008 ←[/TD][TD]November 6, 2012[/TD][TD="align: right"]→ 2016[/TD][/TR][/TABLE][/TD][/TR][TR][TD="colspan: 4"][TABLE="width: 100%"][TR][TD="colspan: 4"][/TD][/TR][TR][TH="colspan: 4"]538 electoral votes of the Electoral College270 electoral votes needed to win[/TH][/TR][TR][TH="align: left"]Turnout[/TH][TD="colspan: 3"]57.560% (Est.)[SUP][1][/SUP][/TD][/TR][TR][TD][/TD][TD][/TD][TD][/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Nominee[/TH][TD]Barack Obama[/TD][TD]Mitt Romney[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Party[/TH][TD]Democratic[/TD][TD]Republican[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Home state[/TH][TD]Illinois[/TD][TD]Massachusetts[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Running mate[/TH][TD]Joe Biden[/TD][TD]Paul Ryan[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Electoral vote[/TH][TD]303[/TD][TD]206[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]States carried[/TH][TD]26 + DC[/TD][TD]24[/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Popular vote[/TH][TD]61,680,412[SUP][2][/SUP][/TD][TD]58,487,232[SUP][2][/SUP][/TD][/TR][TR][TH="align: left"]Percentage[/TH][TD]50.6%[SUP][2][/SUP][/TD][TD]47.9%[SUP][2][/SUP][/TD][/TR][/TABLE][/TD][/TR][/TABLE]========================================================
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.