Obama atokwa machozi hadharani

Escobar

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
574
440
Hii imeotokea jana wakati anawashukuru wapiga campaign wake kwa kujitolea tena wengine bila malipo yaani volunteers. He suddenly become emotional na kujikuta akitokwa machozi. Jicho langu ni hapa kwetu hivi huwa inakuwaje baada ya mgombea kuwa ameshinda wale wapiga campaign wake wanapokutana naye kwa mara ya kwanza akiwa kama rais huwa wanazungumza nini au mipango gani na anawashukuruje? Au ndiyo huwa wanaanza kugawana vyeo na madeal mengine? Tizama mwenyewe hapa President Obama: "I'm Really Proud of All of You." - YouTube
 
Alijua kabisa kuwa safari hii ngoma ilikuwa nzito. Uchaguzi ulikuwa mgumu sana.
Sasa ndio ana kazi ngumu zaidi kuliko alivyokuwa kipindi kinachoisha.
Amepata urais kwa kujitoa sadaka sana, mpaka kuamua kuunga mkono ushoga ili tu apate urais.
 
Wewe ndo unashindwa kutofautisha mambo, Pinda alitokwa machozi kwa kutuhumiwa kuvunja katiba na akatakiwa ajieleze mbele ya bunge ni kwa nini asiwajibike - badala ya kujieleza akalia ili ahurumiwe na kweli soo ikawa imeishia hapo akahurumiwa, sas hii wewe unaihusanishaje na Obama kama mtoa thread alivyo bainisha, au haukuelewa thread inongelea. Thread haiongelei kulia ila maudhui, sababu na nini kitokanacho baada ya hapo, na je amelia peke yake au na audience nzima iko touched na kulia huko, je kivipi na tafsri yake ni nini kwa wamerekani. Uwe unachekecha ubongo wako kidogo kabla ya kuandika sio kulinganisha mafuta ya taa na maji kwa sababu tu vyote ni colourless basi vimekuwa sawa, matokeo yake utakunywa Petrol ukidhani ni Juice.

Pinda akilia AIBU, Obama kalia eti 'VERY TOUCHING'. Kuongoza watz inabidi uwe na roho ngumu sana
 
pinda akilia aibu, obama kalia eti 'very touching'. Kuongoza watz inabidi uwe na roho ngumu sana
hivi pinda akilia sura yake inakuaje?? Mwenye hiyo picha ya hilo tukio, naomba aniwekee nikamilishe siku yangu ya leo! Kwi kwi kwi, au wasira akilia hivi huwa wanafananaje??? Kwi kwi kwi kwi! Nimepita tu hapa!
 
We were all created by His Almighty! Sio sahihi hata kidogo kumcheka mtu kuhusiana na maumbile aliyopewa na Mungu.
 
Alijua kabisa kuwa safari hii ngoma ilikuwa nzito. Uchaguzi ulikuwa mgumu sana.
Sasa ndio ana kazi ngumu zaidi kuliko alivyokuwa kipindi kinachoisha.
Amepata urais kwa kujitoa sadaka sana, mpaka kuamua kuunga mkono ushoga ili tu apate urais.

kama wenyewe wanataka kupigana bao yeye afanye nini?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Duniani kuna mambo yaani umeomba kuongoza watu umepata fursa unalia ingekuwa kuna medali kama kwenye footbal au olympic ambapo nikishapewa taji sinamajukumu ya muhmu ya kutekelezea mashabki wangu,hapo hata mimi choz lingetoka bt si ktk kuongoza watu wenye mitazamo tofauti.
 
America elects a president, and some of our countrymen makes it seem like its their wives giving birth to a child… the worry and anticipation… and then its born… and its good news all around… Think about our own country's matters, have you voted before…?
kbsa_org.gif

As a Tanzanian Obama or Romney i don't give a sh**t i feel sorry for u people ambao mpo excited. those dudes out there "Amercans" doesn't even care about your problems hapo nyumbani kwako sinza au unga limited ... they have their own ... Ni sawa umepata majibu ya hospital and you are like "Thank goodness I got lung cancer instead of bowel cancel" you cant be serious mate ...
 
Yaaan emotion zake kumtuma kutoa machozi ndo iwe nini???? Furaha kila mtu inamzingua kivyake......yaweza kuwa kafanya ya ajabu zaid ndani kwake achilia mbali kutoa machozi hadharani.....

Akimaliza kulia pia watagawana madaraka tu kwa vigezo vyao na matakwa yao.....wat is the big deal!!!!!

Deal lazima ziwepo kama kawa ya kumuua Osama na wengine zimetiki sasa watakuja na mengine.....may be mafuta na gesi ya TZ au mipango ya Iran!!!!! Deals make life and life is a product of deals especially on political grounds but nature, extent and effects......they are there to stay...............!!!!!!!!!!!!!!
 
kama wenyewe wanataka kupigana bao yeye afanye nini?

Chama
Gongo la mboto DSM

Kuunga mkono ushoga alifanya ili apate urais tu.
Sidhani kama akiulizwa maswali magumu ataweza kujibu vizuri.

Kwa mfano akiulizwa maswli yafuatayo:-
  • 'Utajisikiaje binti zako wakifunga ndoa na wanawake wenzao ??'
  • 'Utajisikiaje ikiwa binti yako atapata mimba halafu akaitoa bila sababu yoyote ya msingi ??'
Hapo mwenyewe atanywea tu.

Obama machozi yanamtoka kwa sababu mwenyewe anajua kuwa amefanya mambo mengi yasiokubalika ili apate urais.
Kaunga mkono ushoga, kaunga mkono utoaji 'ovyo' mimba, n.k. ili tu aungwe mkono na watu wengi.

Kiongozi shupavu anatakiwa kuwa tayari kusimamia anachoamini, hata kama atapingwa na watu wengi.
Mfano wa kiongozi kama huyo ni Nyerere. Alisimamia maadili ya uongozi katika azimio la arusha, ila watu wengi walimpinga na kuleta azimio la zanziba.
Sasa ndio tunavuna matokeo ya zaimio la zanzibar kwa kuwa na mafisadi kila kona.
 
Hata hapa jimboni kwake Illinois alipokuwa gavana vijana wengi wa Tanzania na east africa tulijitolea sana ...
 
Wewe ndo unashindwa kutofautisha mambo, Pinda alitokwa machozi kwa kutuhumiwa kuvunja katiba na akatakiwa ajieleze mbele ya bunge ni kwa nini asiwajibike - badala ya kujieleza akalia ili ahurumiwe na kweli soo ikawa imeishia hapo akahurumiwa, sas hii wewe unaihusanishaje na Obama kama mtoa thread alivyo bainisha, au haukuelewa thread inongelea. Thread haiongelei kulia ila maudhui, sababu na nini kitokanacho baada ya hapo, na je amelia peke yake au na audience nzima iko touched na kulia huko, je kivipi na tafsri yake ni nini kwa wamerekani. Uwe unachekecha ubongo wako kidogo kabla ya kuandika sio kulinganisha mafuta ya taa na maji kwa sababu tu vyote ni colourless basi vimekuwa sawa, matokeo yake utakunywa Petrol ukidhani ni Juice.

....acha uongo wewe pinda alilia kwa sababu ya mauaji ya albino na si kujieleza mbele ya bunge kama unvyosema,watz bwana bado sana
 
Kuunga mkono ushoga alifanya ili apate urais tu.
Sidhani kama akiulizwa maswali magumu ataweza kujibu vizuri.

Kwa mfano akiulizwa maswli yafuatayo:-
  • 'Utajisikiaje binti zako wakifunga ndoa na wanawake wenzao ??'
  • 'Utajisikiaje ikiwa binti yako atapata mimba halafu akaitoa bila sababu yoyote ya msingi ??'
Hapo mwenyewe atanywea tu.

Obama machozi yanamtoka kwa sababu mwenyewe anajua kuwa amefanya mambo mengi yasiokubalika ili apate urais.
Kaunga mkono ushoga, kaunga mkono utoaji 'ovyo' mimba, n.k. ili tu aungwe mkono na watu wengi.

Kiongozi shupavu anatakiwa kuwa tayari kusimamia anachoamini, hata kama atapingwa na watu wengi.
Mfano wa kiongozi kama huyo ni Nyerere. Alisimamia maadili ya uongozi katika azimio la arusha, ila watu wengi walimpinga na kuleta azimio la zanziba.
Sasa ndio tunavuna matokeo ya zaimio la zanzibar kwa kuwa na mafisadi kila kona.
Huna lolote! Nani asiyekujua kuwa wewe ni mwislamu uliye upande wa wapalestina ambao hawakutaka Obama ashinde? Wewe ni mshabiki wa Rob Me, ooh sorry Romney. Unaona tu kibanzi kilicho kwenye jicho la Obama ila boriti iliyoko kwa Romney huioni? Mnafikim wewe, ondoa kwanza boriti iliyoko kwa Romney ili upate kuona vyema kibanzi kilichoko kwa Obama! Mpe huu ujumbe na hawara yako Natalia!
 
Back
Top Bottom