alberaps
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,568
- 1,002
Wala hata sihitaji kuprove chochote kwako! Haha!
How can you prove something that you don't have!
Wala hata sihitaji kuprove chochote kwako! Haha!
Watoto mna-Shonde!!!??Inaruhusiwa kuweka bandiko LA kiswahili hapo au munatutafuta maneno?
Unanipotezea muda wangu mkuu! Wewe jua tu kua siwezi kukuambia lolote kuhusiana na Mimi maana hustahili kunifahamu! Uwe na siku njema eeh! Kha!How can you prove something that you don't have!
Poor you!Obama naye ni intelectual? Huyo Obama maisha yake yote kasaidiwa na Affirmative action ambayo ni quota system USA, mpka uraisi wenyewe kaupata shauri ya quota system, kwa maana nyingine ni upendeleo maalumu wanaopewa watu weusi nchini USA, hivyo hawashindanishwi sawa na jamii ya watu wengine kama Waasia,Wazungu na wengineo!
![]()
Umepimaje hayo?Ndiyo, hilo liko wazi kabisa, hata IQ ya Pombe Magufuli (PhD) wetu, kamuacha Obama kwa mbali sana!
Mkuu atoe nani thubutu! !Hata miye nategemea atoe hata sehemu tu ya chapisho lake la PhD (lenye kurasa 112) kama makala kwenye mojawapo ya majarida ya Sayansi. Utafiti wake KWELI ni MUHIMU kusaidia uondoaji wa KUTU kutuia maganda ya Korosho.....
Acha upumbavu,wote tuliona battle iliyokuwepo kwenye kugombea urais wa marekani!Uwanja ulikuwa wazi!Hapa kuna tofauti kubwa sana, Obama ni mzao wa upendeleo maalumu kuanzia Shule, Chuoni mpka kazini inaitwa Affirmative action! Yaani watu weusi au wanaojiita weusi kama Obama, wanapewa upendeleo maalumu kwenye mambo mengi kwa mfano kuingia elite Universities kama Yale, Harvard &Co. Mzungu au Mchina inabidi akomae na kupata maksi za juu sana lkn mweusi akiwa na wastani tu anachuliwa, ni kama akina Chenge, Sumaye tu & Co. wote hawa waliingia elite Unis za USA kwa njia hiyo lkn siyo kushindanishwa kwenye uwanja ulio sawa na Binadamu wengine ktk sehemu nyingine za Dunia!
Nakufaa mieeNdiyo, hilo liko wazi kabisa, hata IQ ya Pombe Magufuli (PhD) wetu, kamuacha Obama kwa mbali sana!
Unasemaaa?kwa elimu hii hii ya tz au nyingine?
nauliza kwa elimu hii ya bongo chemistry ya mwaka 54 tunaisoma mpaka leo acha tu atumbue majipuUnasemaaa?
Kwani wewe kwa elimu yako huwezi kutoa chapisho? Au ulisaidiwa kuandika hata thesis/dissertation yako? Manake kweli kuna watu wapenda miteremko hadi basi!!nauliza kwa elimu hii ya bongo chemistry ya mwaka 54 tunaisoma mpaka leo acha tu atumbue majipu
Obama naye ni intelectual? Huyo Obama maisha yake yote kasaidiwa na Affirmative action ambayo ni quota system USA, mpka uraisi wenyewe kaupata shauri ya quota system, kwa maana nyingine ni upendeleo maalumu wanaopewa watu weusi nchini USA, hivyo hawashindanishwi sawa na jamii ya watu wengine kama Waasia,Wazungu na wengineo!
![]()
mkuu mi naweza kutokana na carier yangu lakini ukiangalia maswalaya kisayansi yanhitaji utafiti zaidi ukiangalia sayansi yetu tunayosoma ni outdated ........ kingine wengi wanaandikiwaKwani wewe kwa elimu yako huwezi kutoa chapisho? Au ulisaidiwa kuandika hata thesis/dissertation yako? Manake kweli kuna watu wapenda miteremko hadi basi!!
Kiingereza sio lugha pekee ya kuandikia dunia ina utajiri wa lugha na zote zinathaminiwa na ndio maana huwezi kuta mfaransa akifagilia Kiingereza au mjerumani wa Japan kijapani na wachina kichina kadharika warusi kirusi kwanini iwe lazima kwa mswahili kutumia Kiingereza na si kiswahili chake kitajulikanaje mbele ya lugha zingine?Kingereza hajui,hayo machapisho atoe kwa kisukuma ama???
Hakuna kitu kisichohitaji tafiti, ndio maana tunafeli kwa kudhani kuwa tafiti zinatakiwa kufanywa na wanasayansi tu. Hata hiyo fani yako huwezi tu kujiandikia bila kufanya tafiti, sioni nini Obama aweze kuchapisha na Magu ashindwe, unless kwa ushabiki wetu wa siasa kama kawaida yetu.mkuu mi naweza kutokana na carier yangu lakini ukiangalia maswalaya kisayansi yanhitaji utafiti zaidi ukiangalia sayansi yetu tunayosoma ni outdated ........ kingine wengi wanaandikiwa
Obama naye ni intelectual? Huyo Obama maisha yake yote kasaidiwa na Affirmative action ambayo ni quota system USA, mpka uraisi wenyewe kaupata shauri ya quota system, kwa maana nyingine ni upendeleo maalumu wanaopewa watu weusi nchini USA, hivyo hawashindanishwi sawa na jamii ya watu wengine kama Waasia,Wazungu na wengineo!
![]()
hapa si siasa na wala sijamlenga magu mimi nimelenga elimu ya bongoi in generalHakuna kitu kisichohitaji tafiti, ndio maana tunafeli kwa kudhani kuwa tafiti zinatakiwa kufanywa na wanasayansi tu. Hata hiyo fani yako huwezi tu kujiandikia bila kufanya tafiti, sioni nini Obama aweze kuchapisha na Magu ashindwe, unless kwa ushabiki wetu wa siasa kama kawaida yetu.