Obama atoa fundisho kwa Magufuli

Obama atoa fundisho kwa Magufuli

Obama naye ni intelectual? Huyo Obama maisha yake yote kasaidiwa na Affirmative action ambayo ni quota system USA, mpka uraisi wenyewe kaupata shauri ya quota system, kwa maana nyingine ni upendeleo maalumu wanaopewa watu weusi nchini USA, hivyo hawashindanishwi sawa na jamii ya watu wengine kama Waasia,Wazungu na wengineo!

41ZiflDe7WL.jpg

Aisee wewe ni bogus wa kiwango cha Jupiter, kwanini obama ndiye apewe upendeleo na si blacks wengine au unajua blacks wameanza kuwepo marekani juzi 2008?. Unauliza eti obama naye ni intellectual au hufahamu hata maana ya kuwa intellectual mkuu, kwani obama kabla ya kugombea urais alikuwa wapi akifanya nini?. Unakuja hapa na kitabu kilichoandikwa na Wazungu tena usikute wale wenye chuki na bl
Obama naye ni intelectual? Huyo Obama maisha yake yote kasaidiwa na Affirmative action ambayo ni quota system USA, mpka uraisi wenyewe kaupata shauri ya quota system, kwa maana nyingine ni upendeleo maalumu wanaopewa watu weusi nchini USA, hivyo hawashindanishwi sawa na jamii ya watu wengine kama Waasia,Wazungu na wengineo!

41ZiflDe7WL.jpg
 
Mi sioni hii hoja yako kama inamashiko kiulinganishi kwasababu umeonesha Obama ana dokta ya sheria lakini anaongelea sekta binafsi kusaidia kupunguza hewa ya ukaa na si anazungumzia mchango wa sheria aliyoisomea kuwasaidia watu. Lakini hapo hapo unamtaka Rais atumie PHD yake ya kemia kuonesha mchango wake kitaaluma hauoni vitu unavyovitaja hapa havina mantiki. Pia kama unataka machapisho ya michango ya kitaaluma ya vile walivyosomea nenda kwenye vyuo walivyosomea ili wakupe research au dissertation paper walizozifanya.

Ndg kwani ukiwa na elimu ya sheria huwezi kutoa mchango wakitaaluma kwenye mambo mengine, au ukiwa na PhD ya chemistry kama Rais wetu hawezi kutoa mchango wa kitaaluma kwenye viwanda?. Hizi elimu zetu ni shida tupu, elimu hasa cha kiwango cha PhD inatakiwa ikupe muono mpana sana katika field mbalimbali na uwe na uwezo at least kugusua mambo mengine tofauti na field yako. Lakini sikushangai maana wakati nasoma MZUMBE nimeishi na watu ambao hawakuwahi kushika kitabu kingine nje ya course yake.
 
Ha ha, bavicha bwana, mnahasira zinazopofusha bongo zenu! Jitahidi na wewe uwe unaandika makala za kitaaluma, uwe unapokea email na kukutana na watu waliotumia makala yako na kufanikiwa tehe! This year ntaandika makala nyingine tena!

HAKIKA nakuambia huna elimu yeyote zaidi ya kufuta ujinga kwa form four! Huna narudia hauna
 
Salaam,

Tunaelewa kwamba Rais Magufuli ana PhD katika nyanja ya Kemia. Tunaelewa pia Barack Obama ana Juris Doctor!

Sasa Bwana Obama juzi ka-publish policy piece kwenye journal namba 2 kwa ubora duniani, Science. Cheki Hapa

Humu Obama anaongelea suala la namna gani sekta binafsi inavyoweza kutoa mchango mkubwa katika kupunguza utoaji wa hewa/gesi mkaa (Carbon dioxide) na uendelezaji wa clean energy, utakaochangia ukuaji wa uchumi wa kijani.

Sasa ningependa kuona Rais wetu mwenye PhD katika kemia akitumia muda wake katika kutoa mchango wake wa kitaaluma (intellectual contribution) katika mambo mbalimbali ya kisera ambayo serikali yake inayapigania. Kwa mfano, anaweza kuandika policy opinion kwenye journal mojawapo ya masuala ya maendeleo kuhusu 'msimamo' wake katika kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma.

Alichoandika Obama ni imani yake juu ya taifa lake kupaswa kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi.

Obama katoa fundisho kubwa Rais Magufuli na viongozi wengine wote duniani walio na academic credentials za kushiriki katika intellectual, policy na scientific debates; lakini utumia kisingizio cha kuwa busy na majukumu ya kitaifa.
Nimesoma hii paper. Jamaa YUKO smart sana kichwani, anajaribu kuonyesha namna gani nchi zilivyo imara kiuchumi kama USA zinavyoweza kutumia nafasi hiyo kupunguza Co2 na pia anaonyesha msimamo wa USA kusimamia hili swala ili iweze kufaidika kiuchumi huko mbele. Na anaonekana kumshauri Rais ajaye yaani Donald Trump kulizingatia sana hili swala la mabadiliko ya hali ya hewa namna ya kukabiliana nayo hasa kutokujitoa katika mkataba wa Paris.
 
Fundisho la nini wakati ameshindwa mambo mengi ikiwemo kulifunga gereza la Gwantanamo? Kashiriki kuiharibu Libya, Misri, na hata hajasaidia chochote kuibakiza Uingereza ktk umoja wa Ulaya, kaanzisha bima ya Afya kwa Wamarekani bila kuwashirikisha na imewabana hadi kuwasababishoa shida ndiyo maana Rais mteule na mfanya biashara mahili ameamua kuyafutilia mbali yote machafu ya Obama. Eti leo JPM ahangaike na ujinga aliofanya Obama, haiwezekani hata kidogo.
 
Hapa kuna tofauti kubwa sana, Obama ni mzao wa upendeleo maalumu kuanzia Shule, Chuoni mpka kazini inaitwa Affirmative action! Yaani watu weusi au wanaojiita weusi kama Obama, wanapewa upendeleo maalumu kwenye mambo mengi kwa mfano kuingia elite Universities kama Yale, Harvard &Co. Mzungu au Mchina inabidi akomae na kupata maksi za juu sana lkn mweusi akiwa na wastani tu anachuliwa, ni kama akina Chenge, Sumaye tu & Co. wote hawa waliingia elite Unis za USA kwa njia hiyo lkn siyo kushindanishwa kwenye uwanja ulio sawa na Binadamu wengine ktk sehemu nyingine za Dunia!
Sorr mkuu umeelewa mada lakini? Sis hatuzungumzii historia sijui nn uko tunajadili speech ake mkuu
 
Hapa kuna tofauti kubwa sana, Obama ni mzao wa upendeleo maalumu kuanzia Shule, Chuoni mpka kazini inaitwa Affirmative action! Yaani watu weusi au wanaojiita weusi kama Obama, wanapewa upendeleo maalumu kwenye mambo mengi kwa mfano kuingia elite Universities kama Yale, Harvard &Co. Mzungu au Mchina inabidi akomae na kupata maksi za juu sana lkn mweusi akiwa na wastani tu anachuliwa, ni kama akina Chenge, Sumaye tu & Co. wote hawa waliingia elite Unis za USA kwa njia hiyo lkn siyo kushindanishwa kwenye uwanja ulio sawa na Binadamu wengine ktk sehemu nyingine za Dunia!
hey nifahamishe kuhusu hiki chuo kinamilikiwa na weus ama? Kwanni weus wapendelewe
 
Sio lazima ajifuze kwa obama hata jpm kuna marais wanalo la kujifunza kwake
Unaweza tenda maovu likawa funzo kwa wengine ... katenda lipi na la aina gani likawa funzo kwa marais wengine?
 
Kama fisad si mumpeleke court ? Mnaogopa nn . Na fisad zilizoendelea je !! Tunakujua ww ni rangi ya kijani nyeupe utasema nyeusi
Hata escrow alikula lowasa mkuu.pesa za rambirambi kagera kala lowasa pia.mil 10 juu ya sheria ya habari amekula lowasa.halafu unajiita umekua ata haya hakuyaona.lumumba members wamenyimwa fikra
 
We Nzi kwanini unalinganisha Marekani na Tanzania? Kwanini usiringanishe Marekani na Russia? Au rais wa Tanzania na Uganda?
 
Lowasa hana kazi mbona hajaandika article yeyote au ni kile kibarua cha Gumbaru
 
Obama naye ni intelectual? Huyo Obama maisha yake yote kasaidiwa na Affirmative action ambayo ni quota system USA, mpka uraisi wenyewe kaupata shauri ya quota system, kwa maana nyingine ni upendeleo maalumu wanaopewa watu weusi nchini USA, hivyo hawashindanishwi sawa na jamii ya watu wengine kama Waasia,Wazungu na wengineo!

41ZiflDe7WL.jpg
Mimi nauliza ili nipate kuelewa pale white house Dodoma wagombea wote walishindanishwa? ( Mwandosya, Wasira, Jaji Ramadhani, Lowassa, Pinda n.k) na upande ule mwingine nao wakakopi naona kama vile pande zote za vyama vya siasa huwa hakuna ushindani wa kweli ukienda upinzani shida ukienda chama tawala shida
 
Hata escrow alikula lowasa mkuu.pesa za rambirambi kagera kala lowasa pia.mil 10 juu ya sheria ya habari amekula lowasa.halafu unajiita umekua ata haya hakuyaona.lumumba members wamenyimwa fikra
Hivi ruzuku ya chama miaka 25 sasa inakwenda wapi?
 
Back
Top Bottom