Obama atoa fundisho kwa Magufuli

Obama atoa fundisho kwa Magufuli

Ungeweka kajina kako halisi kesho ungekaona kwenye list ya wateuliwa
Hahaha JPM namkubali tu kwa mambo yake hii nchi tulishafikia mahali pabaya sana hata wewe unajua.....kwasasa anafungua veins...hii nchi ilishafikia pabaya sana.
 
Chama gani imeifikisha pabaya ??
 
Hivi mleta thread una elimu walau ya kidato cha nne?
 
Kudesa imo kwani? Nina chapisho na mimi sema mwenyenalo alishafariki miaka ya 70.
 
Mi sioni hii hoja yako kama inamashiko kiulinganishi kwasababu umeonesha Obama ana dokta ya sheria lakini anaongelea sekta binafsi kusaidia kupunguza hewa ya ukaa na si anazungumzia mchango wa sheria aliyoisomea kuwasaidia watu. Lakini hapo hapo unamtaka Rais atumie PHD yake ya kemia kuonesha mchango wake kitaaluma hauoni vitu unavyovitaja hapa havina mantiki. Pia kama unataka machapisho ya michango ya kitaaluma ya vile walivyosomea nenda kwenye vyuo walivyosomea ili wakupe research au dissertation paper walizozifanya.
 
Chama gani imeifikisha pabaya ??
Wapuuzi wachache waliokuwa CCM ambao tunashukuru Mungu walijivua gamba wenyewe wakahamia kwenye kile chama chetu pendwa(tunawatakia kila kheri huko walipo) wakiongozwa na fisadi mkuu EL....sasa kazi ni kujenga chama upya na kure concile na watanzania kurudisha misingi ya chama katika matendo na ku "make this natio great again"....una swali lingine chief??
 
Mkulu aliandika thesis ya maganda ya korosho kutumika kuondoa kutu.Muendelezo baada ya hyo thesis sifahamu
 
Huu utamaduni uwe ni kwa kila MTU aliyepata degree, sio lazima wanasiasa tu, Mimi pia nimeandika na nimekutana na mwanafunzi aliyetumia andiko langu kama title ya research yake! Inatia moyo kuandika zaidi!
 
Mtu yeyote aliyehitimu law school Marekani na kutunukiwa shahada ni Juris Doctor.

Ila kwa kawaida huwa hawaitwi Dr. kama ilivo kwa ma Dr. wa PhD za fani zingine.

Kwa hiyo si sawa kulinganisha PhD ya Magufuli na JD ya Obama.

Juris Doctor ni shahada ya kwanza tu ya sheria Marekani.

Kila practising lawyer Marekani ana Juris Doctor.

PhD ya Magufuli ndo shahada ya juu kabisa kwenye fani yake.

Sasa si sawa kulinganisha shahada ya kwanza kwenye fani ya Obama na shahada ya juu kwenye fani ya Magufuli.

Nadhani hilo neno 'doctor' kwenye JD limewapotosha baadhi ya watu.
 
Salaam,

Tunaelewa kwamba Rais Magufuli ana PhD katika nyanja ya Kemia. Tunaelewa pia Barack Obama ana Juris Doctor!

Sasa Bwana Obama juzi ka-publish policy piece kwenye journal namba 2 kwa ubora duniani, Science. Cheki Hapa

Humu Obama anaongelea suala la namna gani sekta binafsi inavyoweza kutoa mchango mkubwa katika kupunguza utoaji wa hewa/gesi mkaa (Carbon dioxide) na uendelezaji wa clean energy, utakaochangia ukuaji wa uchumi wa kijani.

Sasa ningependa kuona Rais wetu mwenye PhD katika kemia akitumia muda wake katika kutoa mchango wake wa kitaaluma (intellectual contribution) katika mambo mbalimbali ya kisera ambayo serikali yake inayapigania. Kwa mfano, anaweza kuandika policy opinion kwenye journal mojawapo ya masuala ya maendeleo kuhusu 'msimamo' wake katika kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma.

Alichoandika Obama ni imani yake juu ya taifa lake kupaswa kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi.

Obama katoa fundisho kubwa Rais Magufuli na viongozi wengine wote duniani walio na academic credentials za kushiriki katika intellectual, policy na scientific debates; lakini utumia kisingizio cha kuwa busy na majukumu ya kitaifa.

Tuelekeze tusome ya kwako kwanza mkuu, vinginevyo huna hoja ya msingi aliyekwambia ni lazima Rais aandike ni nani? wewe mpaka leo umeandika ngapi? au ndiyo nyie meno yenu mnatafunia ubwabwa ya wenzenu mwatafunia mchanga ee? Rais Magufuli au Rais yoyote halazimiki kuandika kulingana na majukumu yake lau kama ana nafasi kwa utashi wake anaweza kufanya hivyo. Kama ni fundisho kutoka kwa Obama hata wewe umelipata tayari, haya shime chukua karatasi na kalamu, andika then utualike tusome, sio utuletee uzandiki wako humu.
 
Acha kulinganisha elimu ya obama na vitu vya kijinga kijinga. Kwanza mwanafunzi wa harvard first year ni zaidi ya mwenye mastrz ya tz.

Liberate yourself from mental slavery then come with confidence to discuss with really men!!
 
Wapuuzi wachache waliokuwa CCM ambao tunashukuru Mungu walijivua gamba wenyewe wakahamia kwenye kile chama chetu pendwa(tunawatakia kila kheri huko walipo) wakiongozwa na fisadi mkuu EL....sasa kazi ni kujenga chama upya na kure concile na watanzania kurudisha misingi ya chama katika matendo na ku "make this natio great again"....una swali lingine chief??
akili za namna hii Tanzania zitaisha lini?
 
Kuandika alishaandika akiwa shule nenda UDSM archives....huu ni muda wa [HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]
Tayari mmesha mchapishia!!!!!!!Mungu anawaona...
Salaam,

Tunaelewa kwamba Rais Magufuli ana PhD katika nyanja ya Kemia. Tunaelewa pia Barack Obama ana Juris Doctor!

Sasa Bwana Obama juzi ka-publish policy piece kwenye journal namba 2 kwa ubora duniani, Science. Cheki Hapa

Humu Obama anaongelea suala la namna gani sekta binafsi inavyoweza kutoa mchango mkubwa katika kupunguza utoaji wa hewa/gesi mkaa (Carbon dioxide) na uendelezaji wa clean energy, utakaochangia ukuaji wa uchumi wa kijani.

Sasa ningependa kuona Rais wetu mwenye PhD katika kemia akitumia muda wake katika kutoa mchango wake wa kitaaluma (intellectual contribution) katika mambo mbalimbali ya kisera ambayo serikali yake inayapigania. Kwa mfano, anaweza kuandika policy opinion kwenye journal mojawapo ya masuala ya maendeleo kuhusu 'msimamo' wake katika kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma.

Alichoandika Obama ni imani yake juu ya taifa lake kupaswa kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi.

Obama katoa fundisho kubwa Rais Magufuli na viongozi wengine wote duniani walio na academic credentials za kushiriki katika intellectual, policy na scientific debates; lakini utumia kisingizio cha kuwa busy na majukumu ya kitaifa.
 
Salaam,

Tunaelewa kwamba Rais Magufuli ana PhD katika nyanja ya Kemia. Tunaelewa pia Barack Obama ana Juris Doctor!

Sasa Bwana Obama juzi ka-publish policy piece kwenye journal namba 2 kwa ubora duniani, Science. Cheki Hapa

Humu Obama anaongelea suala la namna gani sekta binafsi inavyoweza kutoa mchango mkubwa katika kupunguza utoaji wa hewa/gesi mkaa (Carbon dioxide) na uendelezaji wa clean energy, utakaochangia ukuaji wa uchumi wa kijani.

Sasa ningependa kuona Rais wetu mwenye PhD katika kemia akitumia muda wake katika kutoa mchango wake wa kitaaluma (intellectual contribution) katika mambo mbalimbali ya kisera ambayo serikali yake inayapigania. Kwa mfano, anaweza kuandika policy opinion kwenye journal mojawapo ya masuala ya maendeleo kuhusu 'msimamo' wake katika kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma.

Alichoandika Obama ni imani yake juu ya taifa lake kupaswa kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi.

Obama katoa fundisho kubwa Rais Magufuli na viongozi wengine wote duniani walio na academic credentials za kushiriki katika intellectual, policy na scientific debates; lakini utumia kisingizio cha kuwa busy na majukumu ya kitaifa.

Kwa hiyo kwa sababu tuu Obama katoa ya kwake na Magufurli naye atoe.? We UKAWA sijui una matatizo gani kichwani.

Kwa hiyo Obama akienda chooni na Magufuri nae aende chooni.?
 
Wapuuzi wachache waliokuwa CCM ambao tunashukuru Mungu walijivua gamba wenyewe wakahamia kwenye kile chama chetu pendwa(tunawatakia kila kheri huko walipo) wakiongozwa na fisadi mkuu EL....sasa kazi ni kujenga chama upya na kure concile na watanzania kurudisha misingi ya chama katika matendo na ku "make this natio great again"....una swali lingine chief??
Over my dead body...[HASHTAG]#kwa[/HASHTAG] siasa zenu za majitaka na kuiba ruzuku za vyama pinzani ??????sahau kuwa great nation under ccm.haya mazingaombwe ya mtukufu ni sawa na mfamaji....
 
Back
Top Bottom