msebia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 475
- 361
Pale mheshimiwa anapokuwa na washauri lakini BADALA ya yeye kushauriwa, yeye ndio anakuwa mshauri [emoji23][emoji23]Kweli ukisikia kuishiwa hoja ndo huku! Kitu kinachoitwa ushauri si amri wala si kitu cha lazima kutekelezwa hususani pale mshauri anapotoa ushauri ambao hakuombwa bila hata ya kujua anae mshauri kwa wakati huo anawaza nini au anataka kufanya nini? Siioni mantiki ya vijana wa DJ kua busy na kumshauri Raisi ilihali wakijua kua Raisi anao washauri wa kutosha tena wanaolipwa kwa kazi hiyo badala yake wangeelekeza ushauri wa kwa DJ maana inaonyesha hana mshauri yeyote maana mpaka mbeba mikoba wake kapotea bila yeye kujua kapotelea wapi na kwanini apotee?