Obama ataka mageuzi katika jeshi la Polisi

Obama ataka mageuzi katika jeshi la Polisi

tena afadhali hayo yametokea USA!!ingekuwa ni tanzania tungekoma cause mtu anauliwa!!ukiwa kiherehere. Kuhoji na. Wewe. Uko hatarini!! Na mukiandamana munauliwa tena! Yaani ni tena na tena na tena.

Huko mavumbini wala hamna haja ya kuwapiga risasi wala vumbi.

Manake kwa jinsi walivyo waoga ni kiasi cha kuwapiga virungu wawili watatu na waliosalia wote watarudi kwenye vijumba vyao.
 
TATIZO LA U.S.A: ni Umiliki wa silaha kiholela..!! Ujue Police nao ni wanadamu, wanapoenda kumkamata mtu mwenye silaha, alafu aanze kushindana au kukataa kukamatwa na police na ana silaha, HAPO NDIPO HATARI INATOKEA... sbb Police unakuta anaambiwa fulani kaleta fujo hapa na ana bunduki, kisha police wanakuja, wanatoa amri ulale chini, mikono juu, ukikataa, na una silaha WANAKUWAHI KUKUPIGA RISASI...!!
Jua, U.S.A kwa mtu kumpiga risasi police au raia ni kama mchezo tu, na police wakipata taarifa mtu fulani mkorofi ana silaha kafanya vurugu mahali, wakija hawana msalia mtume, as long wanajua una silaha na umeleta nayo vurugu kwa wananchi au hotelini au anywhere, na unataka kumpiga mtu kwa risasi, POLICE WAKIJA HAWANA CHA NN WALA NN.. WATAKUPA AMRI UJISALIMISHE...
Most of time, sbb mweye silaha unakuta ana jeuri na kujiona mbabe sbb ana bunduki.. na anaweza kukataa kusalimu amri... jua Police U.S.A wakitoa amri wanakuwa mbali kidogo na mwenye silaha, na wanajikinga na nyumba au gari zao, huku wakiongea na speaker USALIMU AMRI.... Ukikataa ndio hapo sasa...!!

Swala la kuwa na silaha mtaani U.S.A na kuitumia kutishia watu ni hatari sana.. lazima TABIA ZA BLACKS wajaribu kuacha ujinga... wengi wakorofi sana na wavivu na wengi gangstars tu... Bangi wanavuta sana, sisemi wazungu ndio sio wakorofi, ila ukilinganisha, BLACKS ni wakorofi na wahuni sana.. na kazi ujinga tu..!! Sasa akipata silaha na akiona fulani anamzingua anaanza kukutishia na ukizubaa anakupiga risasi..!!

So,once police wakipewa taarifa lazima wa respond haraka kumkamata.. ndio hapo mtu anapigwa shaba..!! Pia ukikuka black hana silaha kauawa na Police, basi ujue alikuwa hakubali AMRI YA POLISI na anashindana polisi au anataka kupigana na police..

Lazima watu wawe na discipline na bunduki.. pia kutii amri ya polisi...lazima..!!


Mkuu umeangalia video lakini !?
Na hizo silaha ni weusi tu peke yao wanazo !
Umefanya lini utafiti ukaona ni black peke yao wanafujo !?
Je hujawahi kutana na hardcore gangsters white people !?
Au ni kujikataa tu !?
Anyway ,labda uko sahihi ktk maelezo yako lakini nakushauli uangalie video
 
Huko mavumbini wala hamna haja ya kuwapiga risasi wala vumbi.

Manake kwa jinsi walivyo waoga ni kiasi cha kuwapiga virungu wawili watatu na waliosalia wote watarudi kwenye vijumba vyao.
Yaani we kubeba box U. S unaona maisha umeyapatiiiiia, ngoja siku wakurudishe kama ulivyo ndio utajua, labda utakachobeba ni picha tuu
 
Yaani we kubeba box U. S unaona maisha umeyapatiiiiia, ngoja siku wakurudishe kama ulivyo ndio utajua, labda utakachobeba ni picha tuu

Ona huyu mla vumbi mwingine...

Kwanza umeoga wewe leo? Maji yanatoka huko Majohe?
 
Uko sahihi, kwa tukio la Minnesota Polisi wamekosea kabisa..!! I was trying to generalise HALI NA TABIA HALISI YA BLACKS walio U.S.A hasa ambao hawajaenda hadi chuo au Chuo Kikuu na kupata Elimu vema... ni wahuni na wakorofi sana, hili lazima tuseme na akimiliki silaha ndio hapo hasikii la mtu yeyote...!! But ukichukua issue moja ya Minnesote kweli polisi wana kosa la wazi..
But let me tell you something, sbb mm nimeishi U.S.A mara mbili kwa nyakati tofauti, nikiwa chuoni Florida, Fort Lauderdale, U.S.A na pia nikaenda kwa mafunzo tena kuongeza elimu.. UKIWA UNAENDESHA GARI U.S.A... polisi akikukamata kwa kosa lolote lile, before hajakwambia chochote kile, ur two hands must be on STEERING WHEEL... hii ni must...!! Kisha polisi officer
atakuja yuko armed, atakuangalia machoni kwa umakini sana sana na mikono yako ilipo, kisha akifika, atakusalimia, atakwambia naomba licence yako..ndipo unatakiwa sasa utoe mikono yako uchukue driving licence, na si kingine..!! Mm nahisi huenda huyu jamaa wa Minnesota alianza kuchukua driving licence may be kabla polisi hajatoa amri atoe | I said NAHISI, may be | So, kama walikuwa wana taarifa ana silaha, even is becoming worse, sbb polisi akijua una miliki silaha hasa U.S.A na kabla haja kwambia leta licence yako, ukaanza kujigusa gusa ni hatari sana... mikono yako yote must be on steering wheel, na unamsubiria polisi akupe order anataka nn...!! Sometimes anakuuliza hata baada ya licence una silaha..? Sbb kule wakichukua licence wanajua kila kitu chako, kama ni mtu mkorofi wanajua kupitia driving licence ina criminal records zote hata kama ulipigana bar, ukapelekwa polisi, au ulipigana na mkeo, au any case records zako zinawekwa thru centralised system...

So, in general U.S.A masharti ya polisi na usalama C.I.A, F.B.I ni makali sana, ni kufuata orders zao tu, ukileta UBABE utayaona, wako very very sensitive vyombo vya ulinzi na usalama kule.. THEY DON'T TAKE CHANCES...!! Sbb wanajua pia raia wengi wanamiliki silaha pia...

In general, blacks ambao hawajaenda shule hadi level ya chuo, wengi vijana wakorofi sana... mm nawajua, na wababe mno.. One day, utaja niambia

Unachosema in sahihi kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom