Obama anaswa "akila denda" uwanjani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama anaswa "akila denda" uwanjani

Discussion in 'International Forum' started by Gumzo, Jul 18, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]
  [​IMG]
  Awwwww love is in the air
  [​IMG]
  President Obama and 1st Lady Michelle Obama hit up DC’s Verizon Center for the Brazil VS USA , pre Olympic basketball game! The 1st couple was caught on the kiss cam twice! The 1st time , Presdent Obama was denied a kiss from his wife and the crowd roared in boo’s. Later in the evening the kiss cam caught the 1st couple again and this time, they gave the crowd what they wanted!

  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI: OBAMA ANASWA "AKILA DENDA" UWANJANI
   
 2. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  it was politically very calling na nilitazama jinsi Wamarekani walivyofurahia kitendo cha Obama na Mitchell kula mate live.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,191
  Trophy Points: 280
  Bado kidogo tu watamfanya awe porn star.
   
 4. Zedekiah

  Zedekiah Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  mi nadhan ni poa kinoma
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Ange zaa nje kama rais wa nchi ya kuleee peponi ingekuwaje?
   
 6. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,385
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  utamaduni wao unaruhusu sioni shida , na tena ni mkewe halali
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umekigusa sana kile kibabu kilichokuwa kinataka kwenda ikulu 2010!!
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  obama anaswa?...
   
 9. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hebu msitubabaishe! They were bound to be caught!

  yeye kama rais macho yote hako hapo na basket ball tu! He knew it, they knew it.

  kama they kissed they knew lazima wawe camd coz kuna moments lazima a kapo walioonesha

  intimacy hasa kissing wawe broadcast hapo uwanjani. in this case Obama, who would pass that chance?

  what is so surprising about it and make a big deal of it? this is just kupaishana tu.
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Eti wamenaswa....kiswahili kigumu sana
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu unajua maana ya kunaswa? Hizo mbona ndio tabia zao au wewe unadhani Obama ni muafrika.
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Elewa mantiki ya mjadala mkuu, hapa mjadala ni rais,

  Mimi namlenga yule rais wa nchi ya peponi anaezaa na under 20, simlengi raia mkuu
   
 13. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nafuu yeye anamchum my wife wake. Jamaa yetu je...
   
 14. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  kwa raha zake!!!
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kusema kanaswa sio sahihi kabisa. Hii kiss cam ni kama mchezo, kunakuwa na tv inazunguka. Ikikumulika mnatakiwa kukiss na mnaonekana uwanja mzima. Kama umeenda na shemejio unajijuuuuu

  Kuna mtu nataka kwenda Nae match ya basket hehehee:israel:
  Nitakuwa na Dili na jamaa wa kiss cam wawe wanatutarget kila saa,lol

   
 16. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Hiyo kawaida tu!
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kusema kanaswa sio sahihi kabisa. Hii kiss cam ni kama mchezo, kunakuwa na tv inazunguka. Ikikumulika mnatakiwa kukiss na mnaonekana uwanja mzima. Kama umeenda na shemejio unajijuuuuu

  Kuna mtu nataka kwenda Nae match ya basket hehehee:israel:
  Nitakuwa na Dili na jamaa wa kiss cam wawe wanatutarget kila saa,lol

   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Hahahahahaaaa..."missing" u rejao...where were u?? Naona umerejea na kazi zaidi kama Jei Kei
   
 19. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbona unataka kuanza kuharibu mjadala sheikh?
   
 20. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  What's new??
   
Loading...