Obama anaswa "akila denda" uwanjani

Obama anaswa "akila denda" uwanjani

Mie mzima Rubani afrodenzi....pole kwa kibaridi
 
Last edited by a moderator:
it was politically very calling na nilitazama jinsi Wamarekani walivyofurahia kitendo cha Obama na Mitchell kula mate live.

they should enjoy maana hali ilivyo this cud b their last time in the office...
 
Wakati mwingine huwa ni vigumu kwa watu wa uswahilini kama sie kuelewa akili za Wamarekani!!
 
Wakati mwingine huwa ni vigumu kwa watu wa uswahilini kama sie kuelewa akili za Wamarekani!!

Babu DC habari za siku tele?....hebu weka details basi kuhusiana na hii kauli yako.
 
Babu DC habari za siku tele?....hebu weka details basi kuhusiana na hii kauli yako.

Salama sana kaka BAK.....Mzima wewe?

Unajua sie watu wa huku uswahilini huwa tunaaamini kwamba Wamarekani ni super human beings...Labda ndo maana kila kitu chao tunakihusudu kupita maelezo. Ila mara nyingine kuna vitu vidogo vidogo au vya vya kijinga ambavyo wanaweza kuvipa coverage na attention kiasi kwamba wanatufanya sie tuliojiamisha kuwa ni watu special kujikuta katika mkanganyiko.

Sijui kama nimeeleweka mkuu!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
heh, hawa nao vipi??!!

Ya kawaida tuu hayo...

Khamenei_Kiss.jpg

bddde83d3713c643a2c6828cf90f2056.jpg
 
Salama sana kaka BAK.....Mzima wewe?

Unajua sie watu wa huku uswahilini huwa tunaaamini kwamba Wamarekani ni super human beings...Labda ndo maana kila kitu chao tunakihusudu kupita maelezo. Ila mara nyingine kuna vitu vidogo vidogo au vya vya kijinga ambavyo wanaweza kuvipa coverage na attention kiasi kwamba wanatufanya sie tuliojiamisha kuwa ni watu special kujikuta katika mkanganyiko.

Sijui kama nimeeleweka mkuu!!

Nafurahi kusikia uko salama sana, natumai na Bibi DC naye amesalimika sana. Mie ni mzima kabisa namshukuru Mungu. Umeeleweka sana Babu DC.

Mkifanikiwa kuuona mwezi mchanga basi nawatakia wewe na Bibi DC mfungo mwema wa mwezi mtukufu.

Weekend njema.

Back
Top Bottom