Obama anaswa "akila denda" uwanjani

he he he he he he he sasa sioni la ajabu hapo ikizingatiwa huko steti kukiss hazarani ishu ya kawaida tu
 
Ukisikia 'romance' za waandishi wa habari ndo hizi sasa,
Mtu anakula 'halali yake' wao wanamfata fata
 
it was politically very calling na nilitazama jinsi Wamarekani walivyofurahia kitendo cha Obama na Mitchell kula mate live.

Kishajizolea kura kibao kwa kula denda hadharani :). Sasa subiri yule Romney naye atataka amuige 'Bama.

 
Last edited by a moderator:
Kishajizolea kura kibao kwa kula denda hadharani :). Sasa subiri yule Romney naye atataka amuige 'Bama.



Wanazi wa Hussein Obama bana....yaani kila kitu wanaki politicize. Hata akijamba hadharani mtasema subiri Romney naye ajambe.....shameful.

Busu na kura havina uhusiano wowote.
 
Last edited by a moderator:
Mie nilivyoona abambwa nikajua na yeye amejipatia "Monica Lewinsky" wake-kumbe mkewe!!
 
hata mie sijaona shida ni mkewe wa ndoa na tamaduni zao zaruhusu.tena safi tu.
 
Hilo wala siyo denda bana. Hiyo ni peck kwenye lips.

Denda ni french kissing. Ndimi lazima zihusike.
 
it's called Kiss Cam, a camera in the stadium randomly chooses people. when it targets you and someone else, you kiss the person. its totally normal.
 
Ya kawaida tuu hayo...

Khamenei_Kiss.jpg


bddde83d3713c643a2c6828cf90f2056.jpg
 

Wakati mwingine utasikia watu wakiulizwa baada ya kupiga kura, "Why did you vote for so and so?" majibu yao ni huwa, "He is cool." au "I like him" hawaangalii sera zake wala nini.

Bill Clinton mwaka 1992 alikuwa anasuasua katika kampeni zake baada ya kuwa nominated as Democrats' presidential candidate huku kukiwa na dalili kwamba Bushi 41 angerudi tena WH. Mtu mzima Arsenio Hall akamuomba Clinton aende kwenye kipindi chake (Arsenio Hall show) kisha akamuomba apulize saxphone na kuwashangaza watu wengi ambao walikuwa ama hawajai kumuona/kusikia Governor Clinton akipuliza saxphone. Alifanya vizuri sana na performance yake ikamfanya aonekane "cool" na kuanza kuvuta umati wa watu kwenye campaign zake na kama wasemavyo, the rest is history.

'Bama wiki chache zilizopita aliimba kipande kidogo sana cha wimbo wa Al Green na perfomance yake ikapata coverage kubwa sana katika television network nyingi sana. Romney naye hakutaka aachwe mbali kuonyesha kipaji chake cha uimbaji, yaliyofuata baada ya uimbaji wake wengi tunayajua

Kupiga saxphone, kuimba kipande kidogo cha wimbo wa Al Green au kukiss mbele ya kadamnasi haihusiani na lolote lile katika kuongeza ajira, kupunguza budget deficit n.k. lakini kwa wapiga kura wengine moja ya vitendo hivyo inaweza kabisa kumfanya amuone mgombea kuwa ni "cool" na hivyo kumpa kura zao ambayo zinaweza kabisa ama kumuingiza mtu WH au kumkosesha nafasi hiyo. Romney kishaambiwa asithubutu tena kuimba hadharani pamoja na kuwa uimbaji wake hauhusiani na lolote lile na uwezo wake wa kuongoza nchi lakini wapambe wake wanajua fika kwamba uimbaji wake unaweza kabisa kupunguza kura chache hapa na pale na hivyo kukosesha nafasi ya kutinga WH.






Wanazi wa Hussein Obama bana....yaani kila kitu wanaki politicize. Hata akijamba hadharani mtasema subiri Romney naye ajambe.....shameful.

Busu na kura havina uhusiano wowote.
 
Last edited by a moderator:
Kishajizolea kura kibao kwa kula denda hadharani :). Sasa subiri yule Romney naye atataka amuige 'Bama.



hahahahahahhaha eti amuige BAK wewe..

inapendeza sana walivyofanya...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom