Obama alimpongeza Trump kwa ushindi mzuri, kwanini leo anakomalia swala la udukuzi?

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
543
Nimeshangaa wakuu Obama anapita kila kona ya Marekani kuwaaminisha wamerekani na kutaka kufuatilia ile issue ya udukuzi wa uchaguzi, ikumbukwe wote yeye na yule mama walimpongeza Trump kwa ushindi mzuri.

Je, hawajiamini?
 
Udukuzi is not about Trump or individuals. It's about one country interfering with another country's infrastructure.
 
Nimeshangaa wakuu Obama anapita kila kona ya marekani kuwaaminisha wamerekan na kutaka kufuatilia ile issue ya udukuzi wa uchaguzi,ikumbukwe wote yeye na yule mama walimpongeza trump kwa ushindi mzuri je hawajiamini?
Hivi kwa mfano:umenunua switch dukani ukiamini ya kuwa ni original n then umefika nyumban unaanza kuichunguza ukabaini kuwa ni fake na inaweza unguza nyumba yako.....
Je utarudi dukani na kumwambia mwenye duka akubadilishie na akupe original au utaitumia tu coz ushanunua bila kujali kuwa nyumba yako itaweza ungua?
 
Wakati unanunua ilifichwa kwenye gazeti kwa hiyo ukuchunguza?
 
Anatuaibisha waafrika kwamba mwaafrika yeye anaposhindwa kitu lazima aanze kutafuta mchawi na wakati huo anasahau kwamba mchawi ni yeye mwenyewe na fikra zake.
 
Nimeshangaa wakuu Obama anapita kila kona ya marekani kuwaaminisha wamerekan na kutaka kufuatilia ile issue ya udukuzi wa uchaguzi,ikumbukwe wote yeye na yule mama walimpongeza trump kwa ushindi mzuri je hawajiamini?
amefanya mengi mazuri miaka yote aliyotawala, akaja kuboronga mwishoni. ametuaibisha sana watu weusi. hana maana.
 
ya gambia hayo yanataka kujitokeza ila demokrasi ni mfumo mbaya ktk mustakbal wa nchi zilizomo ndan ya mfumo huo
 
Kwa nini ukushangaa wakati wa kampeni Obama aliposema Trump anawasiliana na urusi?
jiulize hata kama wewe si FBI ni kwa nini wakati wa kampeni ndipo mawasiliano yaanze na si kabla na si baada ya wakati wa uchaguzi?
Na je wakati Obama anampongeza Trump, CIA na FBI walishatoa Taarifa ya uchunguzi kuwa Urusi ilimsaidia Trump kushinda? Na kwa nini umshangae Obama na si FBI na CIA.
 
Nimeshangaa wakuu Obama anapita kila kona ya marekani kuwaaminisha wamerekan na kutaka kufuatilia ile issue ya udukuzi wa uchaguzi,ikumbukwe wote yeye na yule mama walimpongeza trump kwa ushindi mzuri je hawajiamini?

Unafikiri ki "ccm vs chadema"/ "mweusi vs mweupe" zaidi! Obama ni amiri jeshi mkuu wa USA! Katiba inamtaka ailinde "USA" kuliko "Obama"/"Trump"/"Clinton" nk. Amerika kwanza! Kama ana ushahidi wa Urusi kufanya udukuzi ana wajibu wa kufanya anachofanya kuilinda Amerika na kulinda interests za Amerika!
 
Back
Top Bottom