kipimo cha akili ni kujitambua(I Q) tu kuhusu elimu et form four wengi wamebahatisha tu ama kukalili tu ,haimanishI ndo kuwa na akili. watu kwenye pepa anafumba macho anapiga ana ana do .anajaza majibu ,uyo utasema ana akili kwa elimu yake? mfano komputa unaweza fananisha kiutendaji na hadi disk? kompyuta unainunua mpya baadae una anza ingiza data kwenye hadi disk, vivyo hivyo kwa mtu unazaliwa una akili tu ila elimu huna,elimu unaikuta duniani.ndomana mwenyewe phd ya biashara anaweza kupewa biashara aka shindwa ila lanne akaweza biashara wakati hajasomea biashara