SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,409
Ceteris paribusKwahiyo wenye elimu tuanze kuringa au ndo mapema mno?
Ceteris paribusKwahiyo wenye elimu tuanze kuringa au ndo mapema mno?
Lakini reasoning capacity haiji na cheti ujue....😏Ukweli mchungu huu ila kwangu mimi angalau diploma ndio minimum ili wakati tunabishana ndani tunabishana kweli na mtu
Unakuta phd holder unabishana na watoto waliokimbia shule!!! Yaani darasa la saba !!!
Reasoning capacity ya Mwanamke ni muhimu Sana kwenye ndoa.
Acha lasaba waonae wao kwa wao!!!
Rudi kamsome vizuri.anacho zungumzia mdau hapo juu ni akili yaani sio elimu. ukitaka kujua akili ni nini ,uktoa phd,diploma,masters ya kukalili uliyo kichwani kitakacho baki ni akili ya kuzaliwa.so unaweza kuwa na elimu lakini ukawa huna akili.maana elimu zetu tuna kalilishana tu. kumbuka walobuni ndege(right brothers) wa marekani hawa kuwa na darasa kichwani bali akili tu ,ila walifanikiwa kubuni na kutengeneza ndege ambayo ukifikiria unasitajabu( akili ni kipaji tu cha mtu au talanta sio elimu) elimu tunaipata duniani ila akili tunazaliwa nazo,wenye elimu wengi hawana akili,utashangaa la saba ndo wamezaa majiniaz
anacho zungumzia mdau hapo juu ni akili yaani sio elimu. ukitaka kujua akili ni nini ,uktoa phd,diploma,masters ya kukalili uliyo kichwani kitakacho baki ni akili ya kuzaliwa.so unaweza kuwa na elimu lakini ukawa huna akili.maana elimu zetu tuna kalilishana tu. kumbuka walobuni ndege(right brothers) wa marekani hawa kuwa na darasa kichwani bali akili tu ,ila walifanikiwa kubuni na kutengeneza ndege ambayo ukifikiria unasitajabu( akili ni kipaji tu cha mtu au talanta sio elimu) elimu tunaipata duniani ila akili tunazaliwa nazo,wenye elimu wengi hawana akili,utashangaa la saba ndo wamezaa majiniaz
Tatizo watu hujisahaulisha kwamba kuna watu ambao hawajasoma sio kwasababu hawana uwezo wa kiakili bali hawakupata nafasi kwasababu yoyote ile. Hivyo hivyo wako "waliosoma sana" kwakupata nafasi za upendeleo.Utafika mbali Sana daktari.
Watu wasichokielewa ni kuwa akili za darasani ni tofauti kabisa na za maisha.
Kuwa na uwezo wa kutoboa form foo haimaanishi wewe ni mzuri kiakili zaidi ya ambae hakusoma kabisa.
Kusoma na kuandika ni vitu viwili tofauti .Nadhani huyo mama ana akili ni vile labda hajapata bahati ya kupita katika mfumo wa elimu rasmi.
Kuna wale watu hawajui kuandika kwenye karatasi ila ukimpa smartphone anaweza kutype hawa huwa wana nini? Wanakuwa hawajui kuandika lakini wanajua kusoma au hawajui kuumba herufi, i’m confused.
Rudi kamsome vizuri.
Haya uliyoandika umejaribu kuinyumbulisha mada yake ila yeye alichomaanisha ni awe form 4 failure au 6 or whatever muhimu amegusa hivyo vidato basi huyo ni mke wewe beba,huyo la saba hata kama sababu iliyomfanya asiendelee ni umaskini siyo hoja kwake.
Sahihi Sana sijawahi kuamini Kama mapenzi yanahusiana na usomi. Ingekuwa ni hivyo ndoa nyingi za wenye elimu zingefika mbali ila ndio zinazoongoza kwa kuwa na ujinga mwingi.Tatizo watu hujisahaulisha kwamba kuna watu ambao hawajasoma sio kwasababu hawana uwezo wa kiakili bali hawakupata nafasi kwasababu yoyote ile. Hivyo hivyo wako "waliosoma sana" kwakupata nafasi za upendeleo.
Yani watoto wanavyofaulishwa kwa kupewa majibu hata wale wasiojua kusoma wana-pass, tukitumia kigezo cha kumaliza madarasa kupima akili/uelewa wa mtu tunakua tunazingua sana!
binti kiziwi ninekusoma mpenzi, ngoja nitulie ntaandika kidogo kutokana na uelewa/uzoefu wangu.
Anhaaa! Asante nimeongeza kitu katika ubongo wangu.Kusoma na kuandika ni vitu viwili tofauti .
Kauandika kunahusisha musles na ubongo wakati kusoma kunahusisha ubongo pekee, kadiri tunavyopata umri musles nazo zinakomaa na kuji shape ndo maana ukiwa mtoto ni rahisi sana kujifunza kutembea hata kuandika .
Msukuma kule bungeni ni darasa la 7. Lakini ana wa outsmart wabunge wenye phd zao.Exactly. Mleta Uzi kajianika yeye alivyo kilaza kuliko hata watu ambao hawakubahatika kufika form 4.
😂😂Mie bado wataniambia kaburi la baba wa mtoto🙄
mama zetu waliishia darasa lipi!? mbona wametukuza hadi tulipo...At least awe amefika form four, narudia tena at least awe amefika form four.
As far as unajali future ya watoto wako,oa mwanamke mwenye elimu.
Usiwe mbinafsi kwa kutazama vigezo vyako kingono tu.
Oa mama wa watoto wako,
Kumbuka jinsi mke wako alivo ndio hivo pia watoto wako watakuwa.
Watoto wanarithi akili kwa mama yao ,naongea hili with experience.
Ni ushauri
apo ndo nime mkosoa amebesi kwenye akili akimaanisha mwenye elimu ndo mwenye akili,i la ndo utambue unaweza ukawa na elimu ila akili ukawa huna .yaani hapa una fananisha ram ya kompyuta na hadi disk. ishu hapa ame besi kuoa mwenye akili ya ani (I Q) Sio elimu.Rudi kamsome vizuri.
Haya uliyoandika umejaribu kuinyumbulisha mada yake ila yeye alichomaanisha ni awe form 4 failure au 6 or whatever muhimu amegusa hivyo vidato basi huyo ni mke wewe beba,huyo la saba hata kama sababu iliyomfanya asiendelee ni umaskini siyo hoja kwake.