Oa mwanamke mwenye elimu

Oa mwanamke mwenye elimu

Kuna kuzaa mtoto chizi kabisa kaangalie watu kibao mengine ni laana na maagano ya ukoo.

Oa mwanamke mweny akili sio elimu ,elimu haiwezi kurithiwa hata kwa genetic ila akili na tabia zinaweza kurithiwa.


Elimu juu ya watoto ni kuwatengenezea mazingira na kufanya uwekezaji ila ukizaa mtoto chere kama yule kiongozi mwanae aliramba Four pekee yake huko Feza🤣🤣
 
Kuna kuzaa mtoto chizi kabisa kaangalie watu kibao mengine ni laana na maagano ya ukoo.

Oa mwanamke mweny akili sio elimu ,elimu haiwezi kurithiwa hata kwa genitic ila akili na tabia zinaweza kurithiwa.


Elimu juu ya watoto ni kuwatengenezea mazingira na kufanya uwekezaji ila ukizaa mtoto chere kama yule kiongozi mwanae aliramba Four pekee yake huko Feza
sasa mkuu mpaka umefika form four si ndio uthibitisho kuwa angalau una akili..au unazungumzia akili ipi
 
Ukweli mchungu huu ila kwangu mimi angalau diploma ndio minimum ili wakati tunabishana ndani tunabishana kweli na mtu

Unakuta phd holder unabishana na watoto waliokimbia shule!!! Yaani darasa la saba !!!

Lessoning capacity ya Mwanamke ni muhimu Sana kwenye ndoa.

Acha lasaba waonae wao kwa wao!!!
Unamaanisha 'Reasoning capacity'?
 
Hii akili unayoizungumzia ni ya kurithi kwenye DNA au ya wakati wa malezi? Maana ya kwenye DNA huhitaji kwenda darasani kusoma classification. Vipi wazee wetu ambao hawajui darasa (baba na mama) halafu watoto ni vipanga huko shuleni na wamelelewa vizuri au ndo zama zimebadilika!
 
At least awe amefika form four..narudia tena at least awe amefika form four.

As far as unajali future ya watoto wako,oa mwanamke mwenye elimu.

Usiwe mbinafsi kwa kutazama vigezo vyako kingono tu.

Oa mama wa watoto wako,

Kumbuka jinsi mke wako alivo ndio hivo pia watoto wako watakuwa.

Watoto wanarithi akili kwa mama yao ,naongea hili with experience.

Ni ushauri
Katika maisha bn kila MTU anamtazamo wake ko huwezi kumpangia MTU as long as mOyo umependa ko hayo in mawazo yako wew
 
Ukweli mchungu huu ila kwangu mimi angalau diploma ndio minimum ili wakati tunabishana ndani tunabishana kweli na mtu

Unakuta phd holder unabishana na watoto waliokimbia shule!!! Yaani darasa la saba !!!

Lessoning capacity ya Mwanamke ni muhimu Sana kwenye ndoa.

Acha lasaba waonae wao kwa wao!!!
Basi we ni mshamba wa elimu ,hujawahi kuona utendaji wa wafanyakazi wenye elimu tofauti.

Tambua utendaji na uwezo wa kufikiria unatofautiana na elimu, jambo la elimu ni afya unaweza kurudia sana shule mpaka ukapata Degree na masters kwa nyakati tofauti.

Watendaji kazi wengi makazini ni diploma na certificate , Wasomi wakubwa ni blaah balaa nyingi na kucopy strategics katika kuandaa miongozo yao na projects ...Uhalisia hamna kitu wala ubunifu ishu za kuandaa report kawaida sana na wengi wamedumaaa kwa kucopy na kupaste.


Angalau wale malecturers ndo wanakuwa wanajua vitu vingi na akili zao hazijalala ila sio hawa wa kweny board of directors hawana jipya.
 
Back
Top Bottom