Onesha wapi nimempangia mtu..Ni nonsense kama unampangia MTU nn cha kuoa, nna historia za watu wengi ambao mama zao hata la4 hawajakanyaga lakin wao wap mbali kielimu
Ni ushauri pia natoa mkuu hamna noma✌Ushauri tu boss wangu..maamuzi ni yako
Tuko amoja mkubwaNi ushauri pia natoa mkuu hamna noma![]()
Naunga mkono hojaMtu wakuzaa nae watoto lazima achaguliwe kwa umakini, bila hivyo unaweza juta sana mbeleni.
Ila kufika Form 4 sio kigezo maana hata kilaza anaweza akafika.
Utakuja kutobolewa macho bure na hizo masters zakoMimi Nina degree in science and technology management na degree in social marketing and economics management , na Masters in Love and feelings and being dump and be dumbing others , Masters in bad mouthing and sex realizing and manufacturing the product to someone I love Sasa nani ataniacha mtu kama Mimi .
😂😂😂 Mkuu heshima yakoKwani Elimu lazima nadhani huo ni ujinga Elimu ya bongo ni upuuzi Mimi nashauri mtu atafute Mwanamke mwenye akili na sio Elimu yetu ya ku-claim kiima na kiarifu.
UongoKuwa na akili siyo lazima afike walau kidato cha nne.
Kuna wenye akili, kuwazidi wanachuo wenu wa BRN, na hawajakanyaga shule.
Kuna wake wenye digrii na bado kulea watoto ni issue,At least awe amefika form four..narudia tena at least awe amefika form four.
As far as unajali future ya watoto wako,oa mwanamke mwenye elimu.
Usiwe mbinafsi kwa kutazama vigezo vyako kingono tu.
Oa mama wa watoto wako,
Kumbuka jinsi mke wako alivo ndio hivo pia watoto wako watakuwa.
Watoto wanarithi akili kwa mama yao ,naongea hili with experience.
Ni ushauri
Mkuu sidhani ,nafikiri kila mtoto huja na sahani yakeKumbe akili ni kitu cha kurithi
Hadi hapa naona kabisa wengi tulipotezwa na hatuku elimishwa.Mkuu sidhani ,nafikiri kila mtoto huja na sahani yake
Afu hao ndo hutoa wasomi sasa mkuuKwa wale wanawake wa form four failure yaani waliopata zero, hao nao wamesoma?
Maisha ni mtazamo wa mtu, hapa lets say uoe mwanamke mwenye maono au mtazamo chanya katika maishaHadi hapa naona kabisa wengi tulipotezwa na hatuku elimishwa.
So kigezo cha Elimu kiwekwe kando.