Oa kicheche!! Hizi ni raha zake!

1. Akiamua kutulia ameamua

2. Hana aibu za ajabuajabu

3. Bikra yeye atataka kuonja kidogo nje, kicheche hatahisi kama kuna kipya

4. Ana uzoefu wa kutongozwa kwa style nyingi, hataona jipya kutoka kwa mtongozaji mgeni

5. Anajua koni zote, hataona tamaa

6. Mara nyingi wakiamua kupenda wanapenda kweli

7.

8.

9.

10.

...umeshawah kuona jogooo aksahau au akiacha kuwika

Mi nafagilia kicheche, yaani mziki mwanzo mwisho daily, nishawahi kuwa nae ikawa nikitoka kazini naingia kazini tena mpaka alinizoesha vibaya, ingawa yuko na jamaake kwa sasa bt nikitaka mzigo ananipa.

sasa huyo ambae alikuwa na mtu wake afu anakupa hakuwa ameamua kuwa na huyo kaka, mi nashauri uwe na yule aliekuwa kicheche wa ukweli akaja kutulia akampenda mmoja tu.

Fb karibu tutakupoteza na unavyowafagilia ho jamaa sijui. Ngoja nifanye utafiti wangu nijue

Similar Discussions

Back
Top Bottom