Oa kicheche!! Hizi ni raha zake!

Oa kicheche!! Hizi ni raha zake!

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,484
1. Akiamua kutulia ameamua
2. Hana aibu za ajabuajabu
3. Bikra yeye atataka kuonja kidogo nje, kicheche hatahisi kama kuna kipya
4. Ana uzoefu wa kutongozwa kwa style nyingi, hataona jipya kutoka kwa mtongozaji mgeni
5. Anajua koni zote, hataona tamaa
6. Mara nyingi wakiamua kupenda wanapenda kweli
7.
8.
9.
10.
 
Fb unakoelekea nina wasi wasi nako. Unapotea moja kwa moja
 
duh kicheche inabidi na wewe uwe mwingi ili muwe noma droo
 
Vicheche wengi ndo wanaoolewa siku hizi na wale wanaojifungia ndani huishia kuzalishwa tu fuatilia utaona hakuna kicheche anayezalishwa ni wajanja mnoo hawakubali kudakishwa mimba kizembe na kudanganywa eti ndoa itafuata baada ya kuzaa wao huwa na dira ya ndoa kwanza mtoto baadaye mwaga ugali namwaga mboga!!
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
tangazo gani?
<br />
<br />
uoni ka anawatangazia biashara hao vicheche watu wakatangaze ndoa?kwani madem waliotulia hawapo?mpaka wafatwe wafanyabiashara aka wauza kuku.
 
Mtoa mada unakoelekea mh:.....................!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom