Sidhani kama wangeweza kuunda hii takataka nyingi hivi ya wadudu... me naona kwambaWazungu wametutengenezea janga kama walilofanya kule China na Corona, wanatusubiria tuwaombe msaada wa madawa na helkopta au watukodishie kwa bei juu
Wananuka vibaya sana.Hao nzige ni sawa na balale au panzi.
Ina maana hujawahi kumuona panzi?
Panzi wanaliwa ila hao nzige hawaliwi.
Na hawang'ati lakini wakipita kwenye shamba lako utaambulia tu miti. Wanakula majani yote
Sijui umri wako lakini nzige hujitokeza kila baada ya miaka flani. Ni janga la kawaida sio la kutengenezwa.Wazungu wametutengenezea janga kama walilofanya kule China na Corona, wanatusubiria tuwaombe msaada wa madawa na helkopta au watukodishie kwa bei juu
Wananuka sana nahisi ni sumu pia.Hiyo ni fursa,wakamatwe wakaushwe wawe chakula cha mifugo
Wananuka sana nahisi ni sumu pia.
Napenda sana senene. Ila nahisi jamaa hakuwakaanga alikula wabichiZilikua senene sio nzige...
Ndio yale yana rangi kama majani.?Wananuka vibaya sana.
Ni nzige ziliandikwa hivo. Ila kiuhalisia ni senene.. Bible za zamani kiswahili chake ni complicated sana.
Mfano. Mto naili maji yaligeuka kua damu..
Uhalisia. Mto naili maji yaligeuka kua kama damu.
(Mto naili maji yaligeuka mekundu ajili ya tope lililojaa mtoni.. wakasema maji yalikua damu)
Ndio yale yana rangi kama majani.?
Basi yale yananuka sanaaaa.hata kunguru hali
Sijui umri wako lakini nzige hujitokeza kila baada ya miaka flani. Ni janga la kawaida sio la kutengenezwa.
Wapo kabla ya laboratory hata moja haija tengenezwa Ulaya ya kale.
Wakati wazungu wanaishi nyumba za tope na nyasi.
Kitu kama mzunguko wa tabia nchi maana hujirudia kila baada ya miaka kadhaa.
Sidhani kama wangeweza kuunda hii takataka nyingi hivi ya wadudu... me naona kwamba
Duniani kuna majanga ya aina mbili;
1.majanga ya asili mfano mashambulio ya nzige
2.majanga ya kusababishwa (au kuundwa) na mwanadamu mfano mlipuko wa magonjwa ya ebola na corona
Naona unalainisha mambo, ni kweli Yohana alikula nzige na sio senene na Nile maji yaligeuka kuwa damu, hiyo ya tope ni wewe tu umetunga.Ni nzige ziliandikwa hivo. Ila kiuhalisia ni senene.. Bible za zamani kiswahili chake ni complicated sana.
Mfano. Mto naili maji yaligeuka kua damu..
Uhalisia. Mto naili maji yaligeuka kua kama damu.
(Mto naili maji yaligeuka mekundu ajili ya tope lililojaa mtoni.. wakasema maji yalikua damu)