Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 858
- 1,655
Watafiti wamethibitisha kuwa hili ni tukio kubwa zaidi la uvujaji wa taarifa kuwahi kutokea baada ya nywila bilioni 16 pamoja na taarifa za watumiaji wa mitandao mbalimbali kuvuja kuanzia Januari 2025
Wataalamu hao wamedai kuwa taarifa na nywila hizo zilikusanywa kwa kutumia programu hatari za kuiba taarifa (infostealer malware).
Nywila zilizovujishwa ni kutoka akaunti za mitandao ya kijamii kama Apple, Facebook, Telegram na Google, pamoja na huduma za VPN, tovuti za watengenezaji (developers), na majukwaa mengine maarufu mtandaoni. Inadaiwa kuwa taarifa nyingi zilizovujishwa kwa mfumo wa kubonyeza kiungo cha tovuti "Links"
Tukio hilo limepelekea wadukuaji kuiba akaunti za watu, kufanya udanganyifu wa utambulisho (Identity theft) pamoja na kutuma mashambulizi ya kimtandao (phishing) kwa watu wengine

==============For English Audience============
16 billion hit in ‘one of largest data breaches in history’
Security researchers have identified what they call "one of the largest data breaches in history", which includes more than 16 billion logins that include Apple credentials. According to a report from Cybernews, the staggering amount of information is contained in numerous datasets that have been uncovered since the start of the year
With over 16 billion login records exposed, cybercriminals now have unprecedented access to personal credentials that can be used for account takeover, identity theft, and highly targeted phishing.
The data appears to have been neatly compiled, with URLs, usernames and passwords indexed and presented together, which suggests the information was collected by infostealer malware that has been deployed across the web to harvest from misconfigured or unsecured databases.
The single best method you can take to prevent your online accounts is to enable two-factor authentication (2FA)
If you haven't started using 2FA yet, here's how to get started with it.
Here are some other things to consider:
Don't reuse passwords
Delete unused accounts