Nywele za chini ni zipi na za juu ni zipi Mpwa? za Chini ya Kidevu hua nanyoa at least mara mbili hadi tatu kwa wiki ila nikiwa na mhadhara hua naziacha zirefuke, za kichwani hua ni mara moja kwa wiki, nadhani hizi ziko juu wewe ulitaka za chini, ok za chini hapa jirani na kitovu hua nanyolewa na shemejio, so inategemea ratiba yake, zikishaanza kumsumbua basi lazima siku hio nikalishwe kwene kigoda panga lipite, na hizi hapa chini ya mkono au kwapa, hua mara nyingi nazisokota nina mpango wa kufuga rasta za chini ndio maana kila siku navaa shati la mikono mirefu halafu jeupe.
Hope mimi tu ndio nimejibu swali vizuri eeeh, haya subiri nimwite wifi yenu nae atoe mawazo yake kabla hajanipikia kitimoto