Nywele kwapani, huu ni usafi au uchafu?

Kwa mwanamke n uchafu uliokidhir ila kwa boy n usaf murwa ndio anakopata kale kaharufu mwanamke na kanamfnya ukimpiga kibut aumie kila ukisikia lazima alie
 
Aisee huku ni shughuli,just imagine upo kwenye daladala unafuraha zako kugeuka upande unakuta jiran yako kainua mkono kwapan ana bonge la msitu lazima stimu zikate tiketi ya bombadear fasta
Uyo mtoto unamuona wa Daladala ? Hata mnaosema uchafu Uchafu ni tabia ya MTU hiyo ni chachandu ndugu ndio maana mungu aliziumba nendeni unyago mtajua KAZI YAKE nishiiida bola msjijue mtaamia
 
Ukikuta kwapani zipo basi hata kule wizara ya mambo ya ndani ndivyo hivyo. Kwani unyoaji wake huenda sambamba, aliyezembea kuyoa kwaba hali kadhalika kule. Hivyo unaweza kujichunguza mwenyewe au mtu anayetembea kwapa wazi kwa kuangalia kwapa laki ili kujua na kule pakoje.
 
Siku hizi kuna kundi la watu limezuka na linazidi kuongezeka kwa ukubwa linadai hizo na zile za nyetini zipunguzwe tu zisiondolewe kabisa. Na za kule nyetini eti zinapendezesha kuliko kukiwa na upara. Hizi pia inadaiwa zinakuwa na harufu (natural smell) ya muhusika inaongeza kupandisha mizuka.

Huo ni uchafu tuu
 
Aiseee nimesema just imagine(hebu fikiria)

kwan wanaopanda daladala ni watu wa aina gani?acha kuzuzuka kwa sura na umbo,usije bisha kuwa hata choon hawaendi daah
Bola=bora
Uyo mtoto unamuona wa Daladala ? Hata mnaosema uchafu Uchafu ni tabia ya MTU hiyo ni chachandu ndugu ndio maana mungu aliziumba nendeni unyago mtajua KAZI YAKE nishiiida bola msjijue mtaamia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaa na kuwa single pia
hahaha
niteke bas ili niwe nanyoa

ila mbona hata Obama hanyoi na kaoa
76223663162f2cab30807c27203d1ce9.jpg

sema wabongo tu ndio mna complicate mambo
 
Siku hizi kuna kundi la watu limezuka na linazidi kuongezeka kwa ukubwa linadai hizo na zile za nyetini zipunguzwe tu zisiondolewe kabisa. Na za kule nyetini eti zinapendezesha kuliko kukiwa na upara. Hizi pia inadaiwa zinakuwa na harufu (natural smell) ya muhusika inaongeza kupandisha mizuka.
Za chini upara nao hapana aisee, unakuwa kama mtoto bhana....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom