Nywele kwapani, huu ni usafi au uchafu?

Nywele kwapani, huu ni usafi au uchafu?

Mnaosema uchafu kwa maana gani? Uchafu nikitu chochote kilicho katika hali chafu(sio safi) ila kama zinafanyiwa usafi kuna ubaya gani? Hata nywele za kichwani zisipotunzwa ni uchafu
 
Kama makwapa yako hivyo uko kwingine si ni msitu wa Congo Kinshasa
 
Uchafu mtupu ndiyo upande daladala lililojaa hapo ndiyo kashika bombs alf nawewe umeshika bomba kageukia upande usawa wa pua yko [emoji40] [emoji40]
 
Wazungu wao kuziacha hizo makitu wanaona poa tu.
c6b51678612fa7441f3fabba131a51e9.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom