Nyuso zisizo na furaha kwa wakazi wa Dar

Unalazimisha Hicho Kilicho Kichwani Mwako Kiwe na Kwangu, Mimi Sipo Huko Mkuu, Nina Miaka Si Chini Ya Sita tangu niwe Jf, Nije Kutafuta Mrembo Leo?
Social media namaanisha facebook na instagram sio humu JF unaweza tongoza dume lenzio au mtu asiejulikana
 
Social media namaanisha facebook na instagram sio humu JF unaweza tongoza dume lenzio au mtu asiejulikana
Ok! Nimekuelewa! Nina Uwezo wa Kua Na Msichana Nimtakae, Pasipokutumia Nguvu, Hao Wa Social Media nawaachia Nyinyi Vijana Mliokata Tamaa
 
Hayo uliyoshuhudia Dar ni cha mtoto. Hebu ulizia wale ambao wanaishi au waliowahi kuishi jiji la Nairobi.
 

Mkurugenzi kwani kwenye job description yako kunasehemu inasema kuwa una kazi ya kusalimia watu?. Nenda ulaya ndo utachoka ukimsalimia mtu anajiuliza kakukosea nini. So mdogo wangu nakushauri u mind your own business maisha yanasonga kwani society in evolve taratibu.
 
We nawe unataka kufanana na Kiduku Lilo:
 
Ujanja wao woote,wanaongozwa na FaFaFa flani hv ambaye hajawahi simamia jambo likatimia.

Kila siku anawapa stress tu,huwa nawahurumia sana viumbe wa Daslamu.Mungu awarehemu kwa kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…