agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
😀😀Marhaba " siku nyingine sio mpaka nikwambie " nitakuja kukupa radhi bure
😀😀Marhaba " siku nyingine sio mpaka nikwambie " nitakuja kukupa radhi bure
Hii yako inafikirisha sanaUkiwa na unga wa mahindi, ulezi, mtama, muhogo n.k kwa pamoja huwezi kusema una unga baali una nyunga!!!
Siyo utunzaji tu wengine huchukua gunia la mahindi Moja wanachanganya na gunia la pumba kwa dona iliwapate unga mwingi.haswaa hili limejiri siku chache home pia ... wamepika ugali " lakini unga haushiki kabisaa yaani .. nikawaambia waumwage wote "....
by the way naomba uniamkie tafadhali
Aisee gunia la mahindi wana mix na pumba "!!!! kweli hawafai wanatulisha chakula cha mifugo ..Siyo utunzaji tu wengine huchukua gunia la mahindi Moja wanachanganya na gunia la pumba kwa dona iliwapate unga mwingi.
Wafanyabiashara huwa ni wanaharamu kabisa hawajali afya ya mteja.
Kibaya zaidi TFDA hawajaweka udhibiti wakutosha katika usagaji wa nafaka zinazotolewa kwenye hivi viwanda vyetu wakilifanyia kazi hili unga mwingi unaouzwa madukani haufai kuliwa na binadamu.
Nawashauri muwe mnanunua mahindi mnasaga wenyewe au mnunue unga kutoka katika brand zinazoeleweka kwa ubora siyo mradi unga tu
Aisee gunia la mahindi wana mix na pumba "!!!! kweli hawafai wanatulisha chakula cha mifugo ..
ushauri wako ni muhimu sana aisee
Kama huu ambao niliamuru umwage tangu ununuliwe hata week haukufikisha mkuuIko hivyo mkuu,
Chakula pekee unachoweza kuwa na uhakika nacho usalama wake kiafya ni ambacho umeguatilia hatua zote za utengenezwaji wake.
Usinunue unga dukani bila kuzingatia
Brand utakula takataka, pia wafanya biashara huchanganya mahindi yaliyobunguliwa sana na mahindi mazuri ili kuaepuka kuyatupa yaliyobunguliwa.
Sasa mahindi yaliyobunguliwa unajua yalivyona vumbi pamoja wadudu unga ukisagwa hauwezi kuwa salama kwa afya mlaji.
Kama huu ambao niliamuru umwage tangu ununuliwe hata week haukufikisha mkuu
Asante sana .. nitalifuatilia hili .. ndio maana kuna unga mwingine ugali wake una kuwa kama mchungu mchungu hivi .. kumbe hayo ma bazazi yana tufanyia hujumaUnga kuoza haraka hutokana na mahindi mabovu kuchanganywa na mahindi safi.
Mahindi yanasagwa yakiwa tayari yameoza hauwezi ukadumu lazima uharibike ndani ya siku wiki tu.
Mahindi ambayo hayajaoza unga unakaa muda mrefu tu bila shida
Asante sana .. nitalifuatilia hili .. ndio maana kuna unga mwingine ugali wake una kuwa kama mchungu mchungu hivi .. kumbe hayo ma bazazi yana tufanyia hujuma
Ama kweli Kiswahili kinakua.Hasa kwa wale tunaonunua package za kilo 5 hadi kilo 10 kwa ajili ya familia kuweni makini, jaribuni kuchekecha hzo nyunga kabla ya kupika na mtajionea wenyewe.. Hili limenitokea zaidi ya mara moja.. Sijajua tatizo ni utunzwaji mmbaya au hz nyunga zinakua zimekaa sana madukani.
Soda》vyodaUnga > Nyunga
Ungo > Nyungo
Uchi > Nyuchi
Uma > Nyuma
Uzi > Nyuzi
Ufa > Nyufa
Ugali > NyugaliHii yako inafikirisha sana
Oni sigala njoo tusaidie hukuSiyo kila kinachoanzia U kwa jina au kitu flani ni lazima kiwe na wingi HAPANA vitu vingine hubakia kama vilivyo kwa umoja wake, huleta wingi kwa namna tofauti ya mwanzo wa viwakilishi vya herufi "NY" kwa kutoa kiwakilishi cha "U" pia huweza kuleta wingi kupitia vifaa vinavyobebea hivyo vitu.
MFANO WA VITU VITOAVYO "U"
Upepo = Pepo,
Ukweli = Kweli,
Ukubwa = Kubwa,
Unene = Nene,
Utamu = Tamu.
MFANO WA VITU VINAVYOWEZA KUTOA "U" NA KUBAKIZA "U" KULINGANA NA MAZINGIRA YA HIVYO VITU KUTUMIKA.
UZURI = UZURI WAKE BINTI,
= NYUMBA NZURI.
Hivyo basi neno unga halina wingi kijana tengua hiyo kauli yako mara 1.