Nyunga za ugali siku hizi zinatoa funza

Nyunga za ugali siku hizi zinatoa funza

Siyo kila kinachoanzia U kwa jina au kitu flani ni lazima kiwe na wingi HAPANA vitu vingine hubakia kama vilivyo kwa umoja wake, huleta wingi kwa namna tofauti ya mwanzo wa viwakilishi vya herufi "NY" kwa kutoa kiwakilishi cha "U" pia huweza kuleta wingi kupitia vifaa vinavyobebea hivyo vitu.
MFANO WA VITU VITOAVYO "U"
Upepo = Pepo,
Ukweli = Kweli,
Ukubwa = Kubwa,
Unene = Nene,
Utamu = Tamu.
MFANO WA VITU VINAVYOWEZA KUTOA "U" NA KUBAKIZA "U" KULINGANA NA MAZINGIRA YA HIVYO VITU KUTUMIKA.
UZURI = UZURI WAKE BINTI,
= NYUMBA NZURI.
Hivyo basi neno unga halina wingi kijana tengua hiyo kauli yako mara 1.
Huu mfano uliotaja hapa ni wa vitu visivyoshikika pia vielezi, sio Nomino
 
Hiku porin tinasaga tu wenywe kilo 2 mbili no problem
Bandiko lako linawahusu huko huko mnapokula sembe
 
Achaneni na unga wa sembe hauna faida yeyote kwenye mwili. Osha mahindi yako vizuri, changanya na mtama,ngano kidogo saga ni lishe ya maana kwelikweli.
 
Sure mkuu... Hii kitu ipo siriazi.. Ugali ulisha songwa kupiga tonge hv naona vikambakamba.. Kucheki vzuri nikaona funza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu lakini hakuna madhara sababu hao wadudu Wana protini nyingi hivyo ni wazuri kwa afya.
 
Naona wadau wengi wanajipa moyo ....but gmo is here guys haijalishi upo kijijini au mjini
 
Naona watu wakikometi kwamba ni matokeo ya mbegu za gmo.
Kusema ukweli nafaka haswa mahindi yamekumbwa na mashambulizi tokea mbegu inapo chipua mpaka kwenye unga wenyewe.
Sijui ni kitu gani kimetokea kwakweli, siku hizi huwezi kuhifadhi kwa namna yoyote mahindi kwa mwaka tofauti na zamani wazee wetu walihifadhi mpaka miaka 3 na mahindi yako salama. Siku hizi ukisaga mahindi unga wake hauhifadhiki miezi 3 bila kubunguliwa. Tokea kuzaliwa mwaka wa 30 sijawahi kuona unga unabunguliwa aisee.
 
Hatari sana.. Sidhani kama unatoboa ata mwezi huu unga...
 
Wanao uza unga uliofungwa kwenye package wameongezeka sana ila utunzaji umekuwa mbovu .
haswaa hili limejiri siku chache home pia ... wamepika ugali " lakini unga haushiki kabisaa yaani .. nikawaambia waumwage wote "....

by the way naomba uniamkie tafadhali
 
Sure mkuu... Hii kitu ipo siriazi.. Ugali ulisha songwa kupiga tonge hv naona vikambakamba.. Kucheki vzuri nikaona funza
ptuuuu aisee .. ningelikuwa mimi ningeishi na sonona ya kinyaa siku nzima
 
Mwisho wa siku watanzania tutakuugua fangus za tumbo balaa
 
Back
Top Bottom