Nyunga za ugali siku hizi zinatoa funza

Nyunga za ugali siku hizi zinatoa funza

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Hasa kwa wale tunaonunua package za kilo 5 hadi kilo 10 kwa ajili ya familia kuweni makini, jaribuni kuchekecha hzo nyunga kabla ya kupika na mtajionea wenyewe.. Hili limenitokea zaidi ya mara moja.. Sijajua tatizo ni utunzwaji mmbaya au hz nyunga zinakua zimekaa sana madukani.
 
Wanao uza unga uliofungwa kwenye package wameongezeka sana ila utunzaji umekuwa mbovu .
 
Juzi nilinunua kilo 10 lakini kweli kabisa bila kuchekecha hizi nyunga unaweza kula wadudu,hali ikiendelea hiv,itabid niwe nanua mahind na kusaga tu mwenyewe
 
Juzi nilinunua kilo 10 lakini kweli kabisa bila kuchekecha hizi nyunga unaweza kula wadudu,hali ikiendelea hiv,itabid niwe nanua mahind na kusaga tu mwenyewe
Sure mkuu... Hii kitu ipo siriazi.. Ugali ulisha songwa kupiga tonge hv naona vikambakamba.. Kucheki vzuri nikaona funza
 
Hasa kwa wale tunaonunua package za kilo 5 hadi kilo 10 kwa ajili ya familia kuweni makini, jaribuni kuchekecha hzo nyunga kabla ya kupika na mtajionea wenyewe.. Hili limenitokea zaidi ya mara moja.. Sijajua tatizo ni utunzwaji mmbaya au hz nyunga zinakua zimekaa sana madukani.
Siyo kila kinachoanzia U kwa jina au kitu flani ni lazima kiwe na wingi HAPANA vitu vingine hubakia kama vilivyo kwa umoja wake, huleta wingi kwa namna tofauti ya mwanzo wa viwakilishi vya herufi "NY" kwa kutoa kiwakilishi cha "U" pia huweza kuleta wingi kupitia vifaa vinavyobebea hivyo vitu.
MFANO WA VITU VITOAVYO "U"
Upepo = Pepo,
Ukweli = Kweli,
Ukubwa = Kubwa,
Unene = Nene,
Utamu = Tamu.
MFANO WA VITU VINAVYOWEZA KUTOA "U" NA KUBAKIZA "U" KULINGANA NA MAZINGIRA YA HIVYO VITU KUTUMIKA.
UZURI = UZURI WAKE BINTI,
= NYUMBA NZURI.
Hivyo basi neno unga halina wingi kijana tengua hiyo kauli yako mara 1.
 
Simmekubali mbegu za GMO wenyewe. Mkikataa kama Syria tunawapiga mabomu, dona kantri nyie.
 
Hii issue ya packaging ana utayarishaji kila mtu anafanya anavyojua yeye hakuna anayejali viwango !!
Eeh mwenyenzi Mungu tunaomba utuondolee ukungu kwenye akili zetu!!
 
Back
Top Bottom