Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,345
nipo ugenini,nimepanga nyumba ila kwakuwa sijabahatika kuoa,kwa roho safi nimeamua kumchukua mshkaji wangu niliyekuwa nae mtaani tuishi wote kuendeleza mapambano ya maisha!kinachonikera mshkaji wangu huyu mara kwa mara anaita ndugu zake wafikie hapo,huyu atakaa siku tatu huyu tano basi tafrani!naombeni ushauri nifanye nini kiukweli sipendi gozigozi hii......unaita mtu naye anaita mtu!hajistukii mwenyewe tangu nihamie sijaleta ndugu!