nyumbani kwangu ila wageni siyo wangu....

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,985
1,344
nipo ugenini,nimepanga nyumba ila kwakuwa sijabahatika kuoa,kwa roho safi nimeamua kumchukua mshkaji wangu niliyekuwa nae mtaani tuishi wote kuendeleza mapambano ya maisha!kinachonikera mshkaji wangu huyu mara kwa mara anaita ndugu zake wafikie hapo,huyu atakaa siku tatu huyu tano basi tafrani!naombeni ushauri nifanye nini kiukweli sipendi gozigozi hii......unaita mtu naye anaita mtu!hajistukii mwenyewe tangu nihamie sijaleta ndugu!
 
pole sana,
je wakati unamuita mliweka mikakati gani au makubaliano gani?
hao ndugu zake anawahudumia au hodari wa kuwaita na hela hatoi?

keti nae mzungumze, mwambie kero yako, kama alitaka kujaza nyumba apange/jenge yake.
next time ukae pekeyako au tafuta mtu ambae mnaendana kitabia uishi nae....
 
kiukweli hatukuwekeana makubaliano nilichukulia mshkaji na nafasi ipo ila naona anajisahau sana!anachukulia vitu simple sana kwa mfano akijua kaka anakuja anaanza kujisemesha dah!tuna bahati ya wageni sana sijui wanatia baraka nyumba sijui nini blah blah nyingi!hajui tu anavyonikwaza....
 
tena weye wamfaa haswa!

masikini jeuri una akili za kuzaliwa na za haraka haraka!......kumbe bibie anaweza nitatulia shida zangu huyu!hahhahhhaah!sema mkuu mshkaji anazingua sana haya maisha si ya kupeana mizigo kama ndugu hata mimi ninao
 
nishamuonyesha kwa vitendo kama sizimikii hiyo tabia ila hajanisoma itabidi nimvalie miwani ya mbao nimchane!

Wewe dini gani na yeye din gani?Naona kitimoto kinaweza kumaliza tatizo...............sorry kama hutumii....
 
Nipe namba yake y simu nikusaidie kumchana.., Mi ntampa kubwa hasa., ila itabidi nifanye ka wrong number though ujumbe utakuwa umefika.., inaonekana ulizaliwa na simile kibao...Lolz.
 
kiukweli hatukuwekeana makubaliano nilichukulia mshkaji na nafasi ipo ila naona anajisahau sana!anachukulia vitu simple sana kwa mfano akijua kaka anakuja anaanza kujisemesha dah!tuna bahati ya wageni sana sijui wanatia baraka nyumba sijui nini blah blah nyingi!hajui tu anavyonikwaza....

ndo umwambie kuwa hupendi.
Mwambie hata wewe una ndg jamaa na marafiki ila mjini mipango ndo maana hawajazani.
Kama vipi kwa ustaarabu mwambie umeshindwa aende tu, au kama kodi yako imeisha hama wewe
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom