Nyumba Za South Africa kweli ni Bei Rahisi?

Mbona bongo wanasema huwezi kimiliki ardhi mpaka uwe raia na cheti cha kuzaliwa juu?
Bongo sheria zetu za kikoloni. Na hapo sio umiliki ni ukodishwaji wa ardhi...serikali ndio mmiliki! Hilo unaloliita eneo lako kiuhalisia umekodi toka serikalini.
 
Mjomba ukitajiwa mil 500 au 300 unaona pesa ndogo sana co kias kwamba unaona unadanganywa kisa



Kushndwa kwako kulpa pesa ya umeme ucone kila ktu hakiwezekan
 
Mbona bongo wanasema huwezi kimiliki ardhi mpaka uwe raia na cheti cha kuzaliwa juu?

Dubai kuna sheria zake za kumiliki ardhi kuna sehemu ambayo zimetengwa kwa ajili ya wageni usifikiri unanunua tu sehemu The palm ,jumera
 
Wananunua kwa mortgage wanalipa deposit tu, hawalipi hizo pesa zote kwa mkupuo cash.nawaza tu.
 
uchumi wa nchi unapokuwa mbovu watu watu wanaona kimbilio ni kuwekeza kwenye real estate. uwekezaji ukiwa unaongezeka, speculators nao wanaongezeka na gharama inashoot. bei ya nyumba bongo ni kubwa kupita kiasi.
 
Bongo sheria zetu za kikoloni. Na hapo sio umiliki ni ukodishwaji wa ardhi...serikali ndio mmiliki! Hilo unaloliita eneo lako kiuhalisia umekodi toka serikalini.
Sasa tunaposikia fulani kapata HATIMILIKI ni magumashi?
 
Hua najiuliza uwezo wa civil engineers wetu! Hadi Leo tunajenga nyumba kwa tofali za blok na udongo ? A.k.a adobe! Kwanini gharama zisiwe kubwa! Ubunifu/uhamasishaji sifuri.
 
Kwa mantiki hii unataka kusema tusijadili usivyovimiliki au vitu ambavyo wewe si mdau kwa mfano usijadili siasa za Kenya au Uganda kwavile hata huku kwako si mwanasiasa si ndio hoja yako .............???
Vipo vya kujadili lakini sio kwa mtindo huu Wa mada iliyokaa kiumbea umbea tu
 
dalali anataka apate mara mbili zaidi ya mwenye mali
 
Tuanze na wewe mleta mada,una nyumba hapa tz au umepanga nyumba,vyumba au chumba au bado upo kwa wazazi au shemeji?
Ukijibu hapo ndipo tuanze kujadili masuala ya kununua nyumba s.africa
Mkuu shule ulipiga chabo nini au hukwenda kabisa?
 
Hakuna umasikini mkubwa.kama kuacha kufanya yako.na kujadili maisha ya watu.
Kabisa unaona yanayojadiliwa ni maisha ya watu? Hapa kinachojadiliwa ni real estate market baina ya Tanzania na South Africa, kwanini nyumba South Africa zipo cheap compared to Tanzania?
 
Ivi tunawajadili hawa watu ili iweje,tufanyeni kazi jamani wao wakati wakizitafuta sie c tulibaki kuwatizama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…