Mpaka leo Polisi Dodoma haijatoa ripoti ya kifo cha Mc. pilipili, Ila maMc wenzake na wasanii wote wapo kimya hawajampazia sauti mwenzao.
Kila mtanzania anahaki ya kuishi kulindwa na kufurahia maisha kwenye nchi yake, hakuna Mungu mtu wa kupanga nani auawe nani aishi Tanganyika.
Pia soma: Mpoki: Nilitarajia waliomuua MC Pilipili wangekuwa wameshakamatwa